Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi


Jamaa alikuwa na sura isiyokubali mafuta tu ila ni maisha bora kitambo[emoji38]
 
1. Nandy hajapata mgao?
2. 2bn zimetokea wapi?
 
Hawajastaafu bado?
 
Una hasira sana, kwani mali ni za baba ako? Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini mbayaa jamani, unapovukwa kwa mali za wazazi wa wenzio, Lol
 
Hawa watt wengine 3 amezaa na nani?
 
Duuuh unatema checheeeee....
Hyo Grid kumbe ipo...
Ujue hawa mastaa wanafanya grid ionekane kama genereta tuu aisee..
 
Mzee hii ni tafiti au unafikiria tu kutokana na uzoefu wako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…