Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Na muhimu zaidi najivunia kua mchoyo kwa wanawake, na ninatamani wanaume wote tuwe wachoyo tujali malengo yetu ndio maana nileteta uzi huu mujarabu.
which is sad really, na wanaume twisted kama wewe wakakuona Mungu wao!,tutawarekebisha tu hayo matatizo yenu..lol
 
Nani anakuchukulia kama ATM? pole naona mmekutana, wewe unamchukulia kama chombo cha starehe, na yeye anakuchukulia ATM, 🀣
Wala tusiende mbali nimetongkza madwmu humu jf kwa magreat thinker wote kwanza unapiggwa mzinga wa laki🀣🀣🀣🀣🀣

Nikagundua kumbe wanawake wanatuona kama atm basi wacha na mie niwachukulie kama chombo cha starehe
 
Watu wa your type yako huwa mna attract watu wa type yenu...lol
 
Wala tusiende mbali nimetongkza madwmu humu jf kwa magreat thinker wote kwanza unapiggwa mzinga wa laki🀣🀣🀣🀣🀣

Nikagundua kumbe wanawake wanatuona kama atm basi wacha na mie niwachukulie kama chombo cha starehe
Ni vyombo vya starehe tu, hawana cha zaidi
 
Naunga mkono hoja.
 
hahahaha eti perfect??? haahhahhahahahahhahahahahahahahahahahaha..... wewe ni msomi kama una digest kinachoandikwa humu, ushajijua uko kundi gani..!
Kinachoandikwa humu ni wewe tu ndio unapinga mkuu, 99.9% wanakubaliana na mimi. Sasa unasemaje nidigest kinachoandikwa?! Actually wewe ndio nikupe wito kudigest kinachoandikwa humu.
 
Kinachoandikwa humu ni wewe tu ndio unapinga mkuu, 99.9% wanakubaliana na mimi. Sasa unasemaje nidigest kinachoandikwa?! Actually wewe ndio nikupe wito kudigest kinachoandikwa humu.

ahhaha wewe jinsi navyoendelea kukusoma ndivyo navyoendelea kukuona umesoma ila mweupe na hauko wise, utasemaje 99% ya wanaume wamekubaliana na wewe, unajua kuna wanaume wangapi humu??? au mapoyoyo yaliyokua twisted kwenye malezi na wenye 'profile' kama lako..walivyoku support ukajua wanaume wote wanakusupport????... mtu anakuja na wanawake ni chombo cha starehe, huyu ana tofauti gani na wewe? au unadhania mwanaume mwenye aliyetoka kwenye malezi mazuri akatoka well rounded person ata support huu utumbo ulioandika hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…