Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Sahii kabisa kusema
"Mwanamke hawezi kua mbinafs na mchoyo kwa mwanaume aliyempenda kwa dhati"

Haya mengine ni tunakutana na wadangaji.
 
Apa umeharibu[emoji26]
 
Hapo ulivyosema Be a man, stay Talibani umenichekesha sana
 
Anzia page ya kwanza ndo utajua kwamba tumeshakubaliana kwa pamoja, halafu nikukumbushe; wanaume tunapendana, nyinyi wanawake wenyewe kwa wenyewe tu hampendani ndo mtupende sisi!?
Naona kijana unaupiga kwenye mshono
 
Sahii kabisa kusema
"Mwanamke hawezi kua mbinafs na mchoyo kwa mwanaume aliyempenda kwa dhati"

Haya mengine ni tunakutana na wadangaji.
Usiburuzwe kifala wala usidanganyike kijinga. Wanawake 99% ni mazimwi tu.
 
Apa umeharibu[emoji26]
Ndio maana nkakwambia usiburuzwe kifala wala usidanganyike kijinga mkuu. Kosa kubwa sana utakalolifanya mkuu ni kuoa mwanamke eti mwenye career yake. Hao ndio mashetani kabisa kudaadeki zao. I am telling you! Usije ukarogwa ukaoa hao wanaojidhania kuwa "wasomi" . Bora hata ukatafute mshambamshamba flani tu huko.
 
Wife Ni mama wa nyumbani
 

ROHO MBAYA

UCHOYO

Hili ndio nimelisema kwenye comment yangu hapo juu...
Ndugu WANAUME,, ukiona mwanamke anakuita hayo majina basi ujue njia ya mafanikio yako ipo karibu sana... Shikilia hapo hapo

Don't get offended... Usijisikie vibaya hata kidogo... Mpuuze....hio ni Manipulation.

Be a Man,, Stay taliban..
 
Hapo ulivyosema Be a man, stay Talibani umenichekesha sana
😂😂😂😂kuna koment moja nyuma nayo inasema mwanaume unatakiwa uwe na moyo wa KIKUSHI NA AKILI YA KIKATILI 😂😂

Wadau wanafurahisha 😂😂
 

Be like them— watalia Na kusaga meno.
Infact wanaume wakijitambua wanawake watapata tabu sana- na inaonekana wazi now thanks to JF, mens channels YouTube na kwingineko.

Wanawake wanakua decoded ile thinking pattern yao so wanatia huruma tuu.
Men going the way of women [emoji28]MGTOW
 
Pole. Wewe uliyeanzisha huu Uzi kongore sana. Umenifanya nikaokoa 100k kwa parasite mmoja alitaka kunikamua. Alianza mazoea oooh nikopeshe hela ya mtaji mwezi ujao narudisha mara ajibebishe mazoea ya ajabu ajabu tu.

Nikausoma huu Uzi nikaanza kumpanga tu asubiri kidogo mambo yangu hayajakaa sawa, heee alioona hivo akapunguza mawasiliano na Mimi nimempotezea mazima. Kweli Kuna wanawake wengine mashetani wanyonya damu
 
mzee wangu upo?
 
Mnakutana na wasomi ambao hawajielewi. Mwanamke anayejielewa hawezi kutamani hela ya mwanaume. Uwe umesoma au hujasoma hama hujielewi ni bure kabisa. Sasa unafanya kazi na una mshahara mzuri halafu unampiga vizinga mpenzi wako, si bora uache kazi ijulikane moja. Huo ni ujinga. Ndio maana familia nyingi haziendelei sababu wanaume wanahangaika wenyewe kulisha familia ili hali mke anafanya kazi. Eti nina hela niache kulipa ada ya mtoto wangu niliyezaa nimsubirie mwanaume sababu ni jukumu lake loh. Mimi nafurahi kabisa kuona nafanya mchango kukuza familia yangu.
 
Wewe ni muongo mzandiki. Nyie mnaojifanya wasomi ndoa is not for you. Kwanza wengi wenu huko maofisini mnaliwa tu na wafanyakazi wenzenu au maboss. Nyie mnaojifanya wasomi kutwa kucha viguu na njia. Mara semina mara sijui upumbavu gani, hamna lolote
 
Wewe ni muongo mzandiki. Nyie mnaojifanya wasomi ndoa is not for you. Kwanza wengi wenu huko maofisini mnaliwa tu na wafanyakazi wenzenu au maboss. Nyie mnaojifanya wasomi kutwa kucha viguu na njia. Mara semina mara sijui upumbavu gani, hamna lolote
Tatizo umekutana na wasiojielewa. Mwanamke yoyote akijirahisisha hata kama hafanyi kazi ataliwa hata na bodaboda. Mapenzi kazini loh, huo ni uchafu. Ni kukosa kujiheshimu. Mwanamke yeyote ambaye hajielewi ataliwa tu iwe kazini au mtaani. Dunia ya leo kila mzazi anataka mwanae aende shule na apate kazi , hata wewe si ajabu mwanao wa kike anasoma shule nzuri ili baadae awe na kazi nzuri.
 
Namkumbuka sana yule mwanamke niliyempenda sana. Nilimsaidia sana nilipokuwa nacho ila aliponiona sina mwelekeo wala kazi vitimbi vikaanza. Nikagongewa, mwanamke unampigia simu anakwambia nina kazi nitakutafuta ila ukipiga baadae simu haipatikani
Mwingine nilimpa laki 260,000 kama mtaji. Alipoanza biashara ya mgahawa, akawa mzito kupokea simu. Ukimwambia nitafute baadae hakutafuti.
Akaja kunitafuta anadai aje mkoa nilipo nikamwambia subiri kwanza kipindi hicho hali siyo nzuri. Kuna siku aliniomba 5,000 nikamwambia sina akaniambia futa namba yangu, mm na yeye basi. Ikawa hivyo
Kuhonga wanawake nishaacha kabisa, naangalia maendeleo yangu. Hata mwanamke niliyenaye huwa nampa kwa tahadhari sana uzuri huwa haniombi hela. Labda km anashida ila ukimwambia sina nimuelewa.
Huyu mtoa uzi anafaa ajengewe sanamu kabisa la makumbusho. Hawa wanawake hawana shukurani, utajitolea utamhurumia mwisho wa siku anakupiga chini. Hiyo 50,000 unayotaka kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo ni bora ukamtumia mama yako au nunua nguo zitakusaidia.
Na hili limenisaidia sana kupiga hatua kimaendeleo. Nina mtazamo kama wa mtoa uzi kabla hata hajatoa huu uzi.
Hata mkeo anatakiwa umpe hela kwa tahadhari sana, zingine wekeza kwa watoto na maendeleo. Unamnunulia simu nzuri, anatumia kuongea na mabwana zake halafu wewe anakuiita boya.
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
 
sasa mbona umejikanyaga lakini mwishoni umejua ukweli ulipo. hao wengine hawakukupenda mkuu ,huyo wa sasa ndio anayestahili kupewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Empty kabisa. Mwanangu hatokwenda shule ili apate kazi. Nyie ndio nendeni shule kwa lengo la kupata kazi. Ndio maana nkimaliza shule hamjapata kazi basi mpo tayari kwa lolote hata muuza miili yenu mpate kazi. Mkuu, ninachoongea kuhusu wanawake wanaojiona wasomi nakijua. Of course sio wote but 99% ni majanga matupu. Hamna faida yoyote, wabinafsi, wachoyo, hamtimizi majukumu yenu ya nyumbani, washindani, wajeuri na wanaliwa na staff wenzao huko. I know what I am saying
 
Point!! Hawa na wakuwageggeda tuu. Hamna kupenda wala kuoa. Tuheshimu maauzi ya kikao cha mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…