DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sahii kabisa kusemaMkuu why una ‘generalise’ kwamba ni wanawake wote wapo hivo? usha ‘date’ kila mwanamke kwa hii dunia? the act of some few women shouldn’t make you to think every women is like that…… there are some good and kind women outthere relax and kwanza tuombe msamaha kufananisha kila mwanamke na hap uliowapitia.
It’s true us women we are selfish and selfless on both ways….. but kinachokufanya utuone selfish au wabinafsi ni kua hujapata au I can say hujanahatika kupata mwanamke anaekupenda real…. u said u r committed but huenda ulioa au aliolewa just kutimiza sakrameti ya ndoa na si kuwa mnapendana for real yaan I mean the romantic love.
The romantic love sio hii mnayopelekana kwa altare hii tunaiita mnatimiza sakeamenti ya ndoa ila the kind of love that is romantic is the one that two people struggle to build them self toward the lasting life….. Yes na hapa ukipata dada anayekupenda kweli basi na yeye hukupa vizawadi without expecting anything kama wewe unavoeka eti utoe hela upewe sijui ‘mbunye’ hapa tunasema both wewe na huyo dada hampendani so ni shida zenu hizi.
Hivi hujawai sikia dada kamnunulia kiwanja mkaka?, hujawai sikia mdada kamnunulia mkaka gari?, hujawai sikia mdada mdada ndo anaetunza familia? so mpaka hapa sisi ni selfish?. Wanawake wachache uliomeet huko nyuma wasikufanye uwe bitter na kusema wote tupo hivi kubali hukua mchaguzi mzuri wa wawanawake ukaishia kwa hao wa aina hio.
Wanawake sio wabinafsi kwasababu mama yako alikupenda ukiwa tumboni angekua mbinafsi usingezaliwa….. emu jitahidi basi kama mkristo uwe unahudhuria ibada na muslim uswali swala tano kwa maandishi yako inaonesha there’s is something is wrong from ur soul n u need help and counseling.
"Mwanamke hawezi kua mbinafs na mchoyo kwa mwanaume aliyempenda kwa dhati"
Haya mengine ni tunakutana na wadangaji.