Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

hahaha yaani nije na mashida yangu kwako? NO way, na NO siwezi kufa na shida, im a hardworker, and yes one day i will make it!
Hard work pekee wont get you any where. Ingikua hardwork inaleta mafanikio madeiwaka wangekua mamillionea. "Lack of connections" will cost you pakubwa. Na kua mwanamke utakosa connections kwa kuponzwa na ubinafsi wenu.

Wanaume wengi wamegundua wanawake hamna utu. Kama kusaidia ni jambo zuri ila KUMSAIDIA MTU MWENYE FADHILA AMBAE ATAMSAIDIA MWINGINE. Mwanamke akisaidiwa imetoka hyo hasaidii wengine NEVER.

Kuna member kakuuliza, Mara ya mwisho umemsaidia rafiki yako mwanaume ni lini ? Hujajibu kwa kua haujawahi na hauko wired kusaidia NA HILO NDIO LINANIFANYA NISIWASAIDIENI KAMWE KAMWE.
 

Umekubali ni catalyst ee?, Elimu, exposure, usiwe successful?? ni wachache sana..

Discipinary strategies ni ku control manipulation ya wanawake..hahaaaa.. yaani kunyima hizo hela za kusukia na vocha ndio zimekufanya uwe hapo?..wewe sema hu sympathize na yeyote!, sio wanawake peke yake...!

Mkeo kutoka famila ya kitajiri, sio sababu ya kukufanya uamini, kuwa hajaolewa na wewe sababu ya fedha... mbona hakuolewa na kapuku?...nimeshakwambia una offer security, her future yeye na wanae iko secured, hio ndio sababu iliyomuweka hapo...usijidanganye ni upendo,,,,,
 
We jamaa unapiga panapouma
 

Pole soma tena vizuri posts nilizojibu acha wenge, rudia upya, sijasema siko wired kusaidia, karudie kusoma upya!

Yes, hard work will get me somewhere, nani ameshakua successful kwa kuwa Lazy???.......

Acha tambo za kijinga, madeiwaka ni watu na ni ajira kama nyingine, wapo kibao waliokua successul walioanzia kazi ya udeiwaka, kisha kuna graduates kibao wanafanya kazi ya udeiwaka, na wana malengo makubwa tu..i believe watakua successful siku moja, na pia nimeona watu kibao hawajawahi kuwa na 'connections' na bado wakawa successful..utasemaje hapo...??? wanawake kukosa connections ..si kweli..sio wanaume wote ni wabinafsi kama wewe...yes kuna wanaume wenzio hawaoni tabu kutoa 'connections'

Lastly, ushaambiwa sio wanawake wote hawana shukrani, na wewe ni mchoyo tu sio kwamba unaogopa ukimsaidia mtu hatashukuru....nonsense
 
sio sheria ila ukiwa mchoyo mchoyo hata nyumbani kwako utakua mchoyo tu, na watoto wako wa kike utawaona mzigo! maana ushazoea kutoa ili upate something in return, (mbunye).
Sasa kwani mahari tunalipa ili tuoate nini sii mbunye
 
Umeshaona ile eti mnafanya ofisi moja,mnakuwa na assignment zinazofanana kwa kiwango sawa,inatokea wewe unawahi kumaliza anakwambia naomba unisaidie yani nimechoka,utafikiri kwenye mshahara na yeye atakupunguzia kidogo...
 
Haa ha haa mkuu ninafurahi sana na kunipa raha unaponiita mchoyo
 
Umeshaona ile eti mnafanya ofisi moja,mnakuwa na assignment zinazofanana kwa kiwango sawa,inatokea wewe unawahi kumaliza anakwambia naomba unisaidie yani nimechoka,utafikiri kwenye mshahara na yeye atakupunguzia kidogo...
Hiyo ilitokea sana nilipokua muajirima HR taasis fulani ya serikakai, kuna kijana alikua anarundikiwa tasks na co-woker mwenzake wa kike siku moja nikamuita nikamwambia aache "ubushoke" nikamwambia nikiona tena anajifanya kufanya tasks zisizo zake nitamuongezea office duty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…