Ndo hivyo mkuu, maisha yamebadilika. Mabinti wazae, walee watoto wao na maisha yandelee, zama za kulialia kutaka matunzo ya mtoto yalishapitwa na wakati. Anayetaka kuhudumia ahudumie na asiyetaka pia asifanye hivyo. Kupanga ni kuchagua...utajua mwenyewe na watoto wako huko uzeeni.Mmmmh
To all men who became successful after a breakup, please give one piece of advice to a man going through one right now.🤣🤣🤣🤣🤣 daaah
Ujue nini..
Kesho asbhi kuna maza anakuja getto ..
Huyu maza namkanda kesho najua nikisha muonjesha tuu atataka kila alhamis utamu anyway mi takula tuuu kila day..
Mbele za watu tunaitana kaka na dada ila deep down anataka....
Kuhusu ushauri wako kwa vijana ni kweli kabisa aiseeee wasiwazalie hiyo haitakiwi
Acha kuwatisha wenzako ?Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
- Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
- Kama huna kipato cha kueleweka na hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amekutelekeza, mmeachana au bahati mbaya amefariki.
- Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).
- Zaa kwa ajili yako pale utakapokua tayari kiuchumi, kiakili na kimwili. Usizae ili uolewe au ili umtulize mwanaume, fahamu kuwa jukumu la malezi kwa kiasi kikubwa ni lako kama mama na yakitokea matatizo, atakayehangaika na mtoto / watoto ni wewe.
- Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)
Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.
Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.
Ni hayo tu, siku njema kwenu!
********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_
Cc:
Wanawake wa JF:
waifu material * Mallerina
Atoto * Sister Abigail
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
Anastasia21 * ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
Donatila *Jackcharty * Kelsea * Braying * Mrs Byesige
Umenena vyema sana ila hao mabinti kuelewa hadi muwaue, hawana akili upeo.......Ndo hivyo mkuu, maisha yamebadilika. Mabinti wazae, walee watoto wao na maisha yandelee, zama za kulialia kutaka matunzo ya mtoto yalishapitwa na wakati. Anayetaka kuhudumia ahudumie na asiyetaka pia asifanye hivyo. Kupanga ni kuchagua...utajua mwenyewe na watoto wako huko uzeeni.
😅😅kuoa kwa enzi hizi ni sawa na kufuga kijini kidogo ndani yako kinacho kuangamiza taratibu. Unaingia kwenye ndoa na mtua anayewaza 'Je ukifariki' huu ni ushetani wa hali ya juu sana
Ni kweli lakini wapo wachache watakaoelewa. Tunawafunza vyema kwenye vikao vyetu vya kila mwezi.Umenena vyema sana ila hao mabinti kuelewa hadi muwaue, hawana akili upeo.......
Atakujia usiku 😈Kuna huyu mmoja mumewe ni mganga ila mi sijari wala nn maana kila siku anasema nimfunge shanga..
Mi ntakataa sasa et...
Sema mwanangu unapoongea ki ngereza unanikata moto kudadek 😂😂😂😂To all men who became successful after a breakup, please give one piece of advice to a man going through one right now.
Ahahahahah unajua nini..Atakujia usiku 😈
Hahahaha sijui anakuwaje tu, mwenyew nachoka sana japo ninajua vyema lugha hiyo ila sasa mtu kuongea ma kiingereza naona michoresho tuSema mwanangu unapoongea ki ngereza unanikata moto kudadek 😂😂😂😂
Ahahahahah alafu na ukifatilia wanaojua ndo wale wanakuaga kimya hawana mbambamba etHahahaha sijui anakuwaje tu, mwenyew nachoka sana japo ninajua vyema lugha hiyo ila sasa mtu kuongea ma kiingereza naona michoresho tu
You're a man.Sema mwanangu unapoongea ki ngereza unanikata moto kudadek 😂😂😂😂
Nishajifanya uadui kugombana na yeyeeeeeYou're a man.
Never tolerate Disrespect
Whether online or offline,
Whether on X, WhatsApp, or in person,
Whether in dating, marriage, or business.
The moment someone crosses the line, shut the door.
Next time I will teach you how to handle disrespect....
Badala yake tumekuwa na jamii ya ovyo kiasi kwamba hata wanyama wanaonekana wamestaharabika.Siku mwanamke akielimika/kuwa na akili. Jamii itakombolewa 🤣
Huwezi ukajua kama kuna gender division pamoja na chuki kali sana ya kijinsia inayokua kwa kasi kwenye jamii yetu kwa sababu wewe uko kwenye advantageous side(jinsia ya kike) ambao unatetewa na serikali pamoja na vyombo vyote vyenye nguvu kwenye dunia hii.Kumbe kuna vita ya kijinsia na wengine hata hatujui, aiseeh 🤦♀️!
Napata usumbufu Sana kutoka kwa mishangazi amini kwamba. Wanataka niwape chata😎, SASA hao mishangazi ndio kama hawa unaowapamba sasahivi wasitupe mipapa baadae wanaanza kutafuta anaepumua Tu.Unataka kusema wewe ni mkaka handsome au 🤣 🤣 🤣
Kuna wanaume wengi sana wajinga wajinga kwenye jamii yetu na wana maisha ambao wako tayari kuoa hata mwanamke aliyezalishwa watoto wa tatu.Waambie hao wajitunze ukizaa kabla hujaolèwa huolewi tena
Elimu ni muhimu kwa jinsia zoteBadala yake tumekuwa na jamii ya ovyo kiasi kwamba hata wanyama wanaonekana wamestaharabika.
Kuna professor mmoja aliwahi kutamka kuwa "women empowerment is one of the biggest scams to humanity"