Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji7]kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa [emoji205]
anamuogopa mwenyekiti wa chama chake kuhusu hiyo hiyo rushwa lakini anaogopa hadi anao watuhumu kwa rushwa wasio wa chama chake.?..
uoga gani huo?
uoga ni umaskini mbaya sana, ni sawa na kuomba omba kuchangiwa tu [emoji205]
Kwa yanayoendelea watu kutekwa na kupotea, amefanya jambo jema.eti ndio mpinzani huyo🤣
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...
sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Lissu abadili mada sasa
Abdul ni raia tu wa kawaida mbona
Tusikie hoja
Yeye kama presidential Candidate
Tunajua kuwa mnalipwa kwa idadi ya comment ila unajua pia kuna uwezekano wa kuandika point zako zote (pumba kiuhalisia) kwenye comment moja na ukaeleweka?Lissu lazima abadili mtazamo wa Siasa zake
MBATIA Je yuko wapi gwiji la maadili.Unataka mpinzani yupi, Zitto. Hivi bado yupo au kahama nchi?
actually,Kwa yanayoendelea watu kutekwa na kupotea, amefanya jambo jema.
Wapinzani unaowataka wewe Ni TLP, DEMOKRASIA MAKINI, CUF, MZEE CHEYO, MZEE RUNGWE NA SELASINI?eti ndio mpinzani huyo🤣
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...
sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Utaelewekaje unaandika Kama mganga wa kienyeji mixer na uchawa uliopitiliza?actually,
msimamo wa chama chake kuhusu jambo hili ndio wa hovyo na ni hadaa mno kwa waliopotelewa na ndugu, jamaa na wanafamilia wao...
mathalani,
ni sawa sawa na mganga wa kienyeji anavyowandangayaga na kuwahadaa wateja wake wajinga wanao amini ushirikina, kwamba kwa mfano ndugu ameaga dunia kiutatanishi,
then mganga mpiga ramli anawahadaa kwamba huyo ndugu yenu hajafa amechukuliwa tu msukule na mimi mti mkavu najua alipo,
na halafu huyo mganga hawapeleki huko anakodai anajua yupo wala kuwaonyesha huyo ndugu yao alipo....
ama kweli wajinga ndio waliwao..
sina hakika kama nimeeleweka 🐒
Jitu joga kuliko mama yenu anayeagiza mashetan kuuwa watu kwenye Karakana chang'ombe.kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa 🐒
anamuogopa mwenyekiti wa chama chake kuhusu hiyo hiyo rushwa lakini anaogopa hadi anao watuhumu kwa rushwa wasio wa chama chake.?..
uoga gani huo?
uoga ni umaskini mbaya sana, ni sawa na kuomba omba kuchangiwa tu 🐒
Aliulizwa swali naye alikuwa anatoa majibu.Lissu abadili mada sasa
Muwazi kwa lipi zaidi ya kuropoka tu? Kwani kusema "Abduli" alitaka kunihonga ndio kuwa muwazi? Kama ni muwazi mwambie atamke hivi, "Mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Hafidh alitaka kunihonga shilingi kadhaa ili nifanye moja mbili tatu" Tuone kama atasema. Lakini kusema eti Mtoto wa Abdul tu HAITOSHI kusema ni muwazi. Marais Tanzania wako kibao; Yupo Rais wa Manzese, yupo wa Wasafi,yupo wa TFF, yupo wa Yanga...! Awe specific la sivyo ataonekana muwazi kwa wajinga tu!Lissu ni muwazi sana.
hana konakona anafaa kuwa Raisi wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaLissu ni muwazi sana.
Katika hali hiyo ujasiri unatakiwa uonyeshwe na chombo cha habari. Kwa sheria zetu mbovu chombo cha habari kikirusha habari ambayo haipendezi serikali kinapewa adhabu chenyewe na siyo mtoa habari. Kwa hiyo muathirika ni chombo cha habari!eti ndio mpinzani huyo🤣
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...
sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Mpelekeni mahakamani muone hiyo footage kama hamtafuta shauri na kusema hamna nia ya kesi tena!Mbobezi wa "evidence" huko mahakamani anashindwa kweli kutuwekea "CCTV FOOTAGE" ya "CAMERA" nyumbani kwake?!!!
Kweli angekuwa anao huo ushahidi, hakika SIMBA ASIYETULIA KWA KURUKARUKA kwa sababu ya "ADHD" angeidhihirishia HADHIRA.....[emoji1787]
Ulitaka wamuongelee msagaji?Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Kwahiyo unataka hoja ya kukuingilia kinyume cha maumbile?Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Acha kukurupuka alikwisha sema Samia na mtoto wake Abdul sasa tuone hatua zikichukuliwa!Muwazi kwa lipi zaidi ya kuropoka tu? Kwani kusema "Abduli" alitaka kunihonga ndio kuwa muwazi? Kama ni muwazi mwambie atamke hivi, "Mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Hafidh alitaka kunihonga shilingi kadhaa ili nifanye moja mbili tatu" Tuone kama atasema. Lakini kusema eti Mtoto wa Abdul tu HAITOSHI kusema ni muwazi. Marais Tanzania wako kibao; Yupo Rais wa Manzese, yupo wa Wasafi,yupo wa TFF, yupo wa Yanga...! Awe specific la sivyo ataonekana muwazi kwa wajinga tu!
Nenda wewe kalete hoja mpyaKila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Wee wacha..! kaongee wewe basi.eti ndio mpinzani huyo🤣
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...
sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Labda kwa kuwa unaishi katika nchi iliyokithiri kwa rushwa, hadi unaona hilo ni jambo dogo sana na unataka liishe tu bila kurejelewa kutokana na uzito wake.Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣