Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa [emoji205]

anamuogopa mwenyekiti wa chama chake kuhusu hiyo hiyo rushwa lakini anaogopa hadi anao watuhumu kwa rushwa wasio wa chama chake.?..
uoga gani huo?

uoga ni umaskini mbaya sana, ni sawa na kuomba omba kuchangiwa tu [emoji205]
[emoji7]
 
eti ndio mpinzani huyo🤣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Kwa yanayoendelea watu kutekwa na kupotea, amefanya jambo jema.
 
Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣

Lissu abadili mada sasa

Abdul ni raia tu wa kawaida mbona

Tusikie hoja

Yeye kama presidential Candidate

Lissu lazima abadili mtazamo wa Siasa zake
Tunajua kuwa mnalipwa kwa idadi ya comment ila unajua pia kuna uwezekano wa kuandika point zako zote (pumba kiuhalisia) kwenye comment moja na ukaeleweka?
 
Kwa yanayoendelea watu kutekwa na kupotea, amefanya jambo jema.
actually,
msimamo wa chama chake kuhusu jambo hili ndio wa hovyo na ni hadaa mno kwa waliopotelewa na ndugu, jamaa na wanafamilia wao...

mathalani,
ni sawa sawa na mganga wa kienyeji anavyowandangayaga na kuwahadaa wateja wake wajinga wanao amini ushirikina, kwamba kwa mfano ndugu ameaga dunia kiutatanishi,

then mganga mpiga ramli anawahadaa kwamba huyo ndugu yenu hajafa amechukuliwa tu msukule na mimi mti mkavu najua alipo,

na halafu huyo mganga hawapeleki huko anakodai anajua yupo wala kuwaonyesha huyo ndugu yao alipo....
ama kweli wajinga ndio waliwao..

sina hakika kama nimeeleweka 🐒
 
eti ndio mpinzani huyo🤣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Wapinzani unaowataka wewe Ni TLP, DEMOKRASIA MAKINI, CUF, MZEE CHEYO, MZEE RUNGWE NA SELASINI?
 
actually,
msimamo wa chama chake kuhusu jambo hili ndio wa hovyo na ni hadaa mno kwa waliopotelewa na ndugu, jamaa na wanafamilia wao...

mathalani,
ni sawa sawa na mganga wa kienyeji anavyowandangayaga na kuwahadaa wateja wake wajinga wanao amini ushirikina, kwamba kwa mfano ndugu ameaga dunia kiutatanishi,

then mganga mpiga ramli anawahadaa kwamba huyo ndugu yenu hajafa amechukuliwa tu msukule na mimi mti mkavu najua alipo,

na halafu huyo mganga hawapeleki huko anakodai anajua yupo wala kuwaonyesha huyo ndugu yao alipo....
ama kweli wajinga ndio waliwao..

sina hakika kama nimeeleweka 🐒
Utaelewekaje unaandika Kama mganga wa kienyeji mixer na uchawa uliopitiliza?
 
kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa 🐒

anamuogopa mwenyekiti wa chama chake kuhusu hiyo hiyo rushwa lakini anaogopa hadi anao watuhumu kwa rushwa wasio wa chama chake.?..
uoga gani huo?

uoga ni umaskini mbaya sana, ni sawa na kuomba omba kuchangiwa tu 🐒
Jitu joga kuliko mama yenu anayeagiza mashetan kuuwa watu kwenye Karakana chang'ombe.
 
Lissu ni muwazi sana.
Muwazi kwa lipi zaidi ya kuropoka tu? Kwani kusema "Abduli" alitaka kunihonga ndio kuwa muwazi? Kama ni muwazi mwambie atamke hivi, "Mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Hafidh alitaka kunihonga shilingi kadhaa ili nifanye moja mbili tatu" Tuone kama atasema. Lakini kusema eti Mtoto wa Abdul tu HAITOSHI kusema ni muwazi. Marais Tanzania wako kibao; Yupo Rais wa Manzese, yupo wa Wasafi,yupo wa TFF, yupo wa Yanga...! Awe specific la sivyo ataonekana muwazi kwa wajinga tu!
 
eti ndio mpinzani huyo🤣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Katika hali hiyo ujasiri unatakiwa uonyeshwe na chombo cha habari. Kwa sheria zetu mbovu chombo cha habari kikirusha habari ambayo haipendezi serikali kinapewa adhabu chenyewe na siyo mtoa habari. Kwa hiyo muathirika ni chombo cha habari!
 
Mbobezi wa "evidence" huko mahakamani anashindwa kweli kutuwekea "CCTV FOOTAGE" ya "CAMERA" nyumbani kwake?!!!

Kweli angekuwa anao huo ushahidi, hakika SIMBA ASIYETULIA KWA KURUKARUKA kwa sababu ya "ADHD" angeidhihirishia HADHIRA.....[emoji1787]
Mpelekeni mahakamani muone hiyo footage kama hamtafuta shauri na kusema hamna nia ya kesi tena!
 
Muwazi kwa lipi zaidi ya kuropoka tu? Kwani kusema "Abduli" alitaka kunihonga ndio kuwa muwazi? Kama ni muwazi mwambie atamke hivi, "Mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Hafidh alitaka kunihonga shilingi kadhaa ili nifanye moja mbili tatu" Tuone kama atasema. Lakini kusema eti Mtoto wa Abdul tu HAITOSHI kusema ni muwazi. Marais Tanzania wako kibao; Yupo Rais wa Manzese, yupo wa Wasafi,yupo wa TFF, yupo wa Yanga...! Awe specific la sivyo ataonekana muwazi kwa wajinga tu!
Acha kukurupuka alikwisha sema Samia na mtoto wake Abdul sasa tuone hatua zikichukuliwa!
 
eti ndio mpinzani huyo🤣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Wee wacha..! kaongee wewe basi.
 
Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Labda kwa kuwa unaishi katika nchi iliyokithiri kwa rushwa, hadi unaona hilo ni jambo dogo sana na unataka liishe tu bila kurejelewa kutokana na uzito wake.

Siku ungesikia Mariya Putina alijaribu kumpa rushwa Alexei Navalny ili asimsumbue baba yake, Vladimir Putin, ndipo ungeweza kuelewa uzito wa hoja ya Lissu.

Elewa, rushwa si jambo la kuachwa tu lipite kimya kimya, hata misukosuko mingi aliyoipata Navalny, kama vile kulishwa sumu, kufungwa jela na hata kifo chake akiwa gerezani, ilitokana na kufichua rushwa ya serikali ya Putin.

Ova
 
Inavyoonekana Abdul ndiye anayeendesha Nchi na mama yake ni kama mtekelezaji tu wa maagizo
 
Back
Top Bottom