actually,
msimamo wa chama chake kuhusu jambo hili ndio wa hovyo na ni hadaa mno kwa waliopotelewa na ndugu, jamaa na wanafamilia wao...
mathalani,
ni sawa sawa na mganga wa kienyeji anavyowandangayaga na kuwahadaa wateja wake wajinga wanao amini ushirikina, kwamba kwa mfano ndugu ameaga dunia kiutatanishi,
then mganga mpiga ramli anawahadaa kwamba huyo ndugu yenu hajafa amechukuliwa tu msukule na mimi mti mkavu najua alipo,
na halafu huyo mganga hawapeleki huko anakodai anajua yupo wala kuwaonyesha huyo ndugu yao alipo....
ama kweli wajinga ndio waliwao..
sina hakika kama nimeeleweka 🐒