Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Anayeweza kuniunganisha naye nitamshukuru, nimependa msimamo wakeInaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayeweza kuniunganisha naye nitamshukuru, nimependa msimamo wakeInaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Kweli kabisakweli ishia hapo mkuu ant ni mtata.
Nani kasema haya sio mambo ya Muungano?
Kwa inavyonekana aunt alikuwa analeta ujuaji mpaka ktk ndoa 😆😆Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Alaah.Hako kajamaa hakakuwa Lofa, huyo shangazi kwa status yake hawezi attract mtu wa mentality kama zako.
Ni wasi kbsa Fatma. Ni wale wanawake pasua kichwakwa bahati naifahamu familia ya Karume na naifahamu familia ya mumewe ila kiukweli yule jamaa alimvumilia sana Fatma. Na hao watoto sio wa nje ni wa mke mwengine wa jamaa ambae alimuoa ili kuepuka balaa la huyu kichaa Fatma
Tunafurahishwa na uwepo wake Sasa tumempata wakili wetyluTimu kataa ndoa imepata mwanasheria tena nguli
Akuna aliyesema.Nani kasema haya sio mambo ya Muungano?
Kipimo cha kuongea sana ni nini?Ftm anaongea sana + Ana gubu
Ova
Huyo ftm Ana gubu kwanza ni muda sana walishaachana kwann leo ndy azungumzeKipimo cha kuongea sana ni nini?
Strongly Agree..kwa bahati naifahamu familia ya Karume na naifahamu familia ya mumewe ila kiukweli yule jamaa alimvumilia sana Fatma. Na hao watoto sio wa nje ni wa mke mwengine wa jamaa ambae alimuoa ili kuepuka balaa la huyu kichaa Fatma
That is True..Unajua sababu ya mumewe kurudi alfajiri na kuzalisha nje ya ndoa Kama mbuzi?
Huenda alichoka kuishi na mwanamke jeuri na mwanaharakati hadi ndani ya ndoa.
Hiyo kauli ya shangazi ni one side story. Tungesikia na kwa mumewe.
Nailed it..Kwa inavyonekana aunt alikuwa analeta ujuaji mpaka ktk ndoa 😆😆
Jamaa akaona ngoja ampe maelekezo how men act
Hakuwah kuwa single maza aliolewa kiislamu akazaa watoto 3 .singo wanazaa bila ndoaNdio Mkuu Single mazas wamepitia mengi au kwa ujinga wao au kwa bahati Mbaya wengi wa a maumivu sana...
Lazima Waje Wakitembea Kifua MbeleTimu kataa ndoa imepata mwanasheria tena nguli