Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".

View attachment 2866860

Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.

Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Kwa inavyonekana aunt alikuwa analeta ujuaji mpaka ktk ndoa 😆😆

Jamaa akaona ngoja ampe maelekezo how men act
 
kwa bahati naifahamu familia ya Karume na naifahamu familia ya mumewe ila kiukweli yule jamaa alimvumilia sana Fatma. Na hao watoto sio wa nje ni wa mke mwengine wa jamaa ambae alimuoa ili kuepuka balaa la huyu kichaa Fatma
Ni wasi kbsa Fatma. Ni wale wanawake pasua kichwa
 
Mh! ... Bahati mbaya, hili tukio, halinisogezi hata milimita moja na Bi Fatma!
😱😱😱😭
1704922641838.png


View: https://youtu.be/DIMBuD_IP7w
 
Back
Top Bottom