Mdogomdogo tutaelewana tu.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Nawambia kama chanjo itakuja yakutosha bi, Chokochoko atawachanja kibabe, mtake msitake. Lazima tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelee .Huo ushauri ni wa kijinga.
Kwa sababu maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha watu kuchanjwa.
Kuchanja ni jambo la hiyari.
Hiki ni suala ya maadili ya kitabibu yanayokubalika karibu dunia nzima.
Pia, si kila mtu anafikia vigezo vya kuchanja.
Huo ushauri ni wa kijinga.
Kwa sababu maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha watu kuchanjwa.
Kuchanja ni jambo la hiyari.
Pia, si kila mtu anafikia vigezo vya kuchanja.
Hiki ni suala ya maadili ya kitabibu yanayokubalika karibu dunia nzima.
Unataka chanjo wewe na nani? Peleka huo ukabwela wako, mbowe akikujali wewe na baadhi ya Ufipa wenzako inatosha.Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.
Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.
Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.
Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.
Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.
Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
Eti mapenzi ya Mbowe kwa watanzania[emoji23].Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar.
Watanzania wote tupewe chanjo ili kudhibiti maambukizi.
M/Mungu akuweke Abubakar Mbowe.
Mwenye masikio na asikie. Asante mkuu, umefunga mjadala.
Wengine wanasikilizia. Tusije chanjwa halafu mji mzima tunakuwa wanaume surualiKiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
ukipewa ww inatoshaWatanzania wote tupewe Chanjo kama inapatikana ili kudhibiti maambukizi.
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Chanjo ambayo after 2 years mnaanza kufa kiajabu ajabuMijitu humu inamabichwa lakini haina akili.
Mbowe ameshauli ili kudhibiti maambukizi na maisha yaendelee. Kama chanjo ipo , tuchanjwe tu wote.
Hiki kitu ni hadithi za kijinga.Mbowe ana hoja.
1. Ikumbukwe huku takwimu za Corona hazijatolewa na serikali tangia Apr 2020.
2. Katika kipindi hicho watu wameaminishwa Corona haipo.
3. Wakaaminishwa chanjo ni kuwauwa wao kama watanzania.
4. Upotoshwaji huo umejengwa vilivyo kwenye wengi ambao ni very ignorant.
Logically chanjo haina maana kama idadi ya kutosha ya walio tayari kuchanjwa haitapatikana.
Kuwapata wa kutosha njia zote zitabidi kutumika. Zikiwamo elimu, ushawishi na hata mjeledi ikibidi.
Ng'ombe asiyetaka kurejea zizini kuliko salama ni sahihi kumweka bakora.
Welcome to Africa, where as a nation we have managed to kick out Corona in 3 days of prayers, chaired by our president his excellency mwendazake.
Jibu sahihi kwa mjinga Mbowe (TONDO)"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Mbowe kule uchaggani amepewa jina la TONDO ,yaani mjingaNchi iliongozwa na Mwendawazimu hii, vipi ulipungukiwa na kitu. Au una chuki zako na Mbowe.
Sayansi ya chanjo ndio itafanya hata wewe uchanjwe😅, vikwazo tu vya kusafiri, baadhi ya kazi etc.Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Mbowe,wewe ni kiongozi mkubwa kwa jamii ya watanzania.Unapaswa kuona mambo kwa mbali. Unapaswa kuwaza beyond your emotions.
Najua umejeruhiwa na mengi.Umezika ndugu zako wengi kwa corona.Unashuhudia "nyumbani" kilimanjaro ugonjwa huu ukiwa umeathiri na umegeuka tishio kubwa.Nadhani hili limekupa mtazamo na hisia ulizoonyesha hadi ukatoa kauli hii.
Hata hivyo waza beyond your emotions.You are a leader.Take your time kuijua hii ishu kwa undani.Zimepita chanjo nyingi,dawa nyingi,wazungu wamefanya mengi..jiulize kwanini hili la corona lina maswali mengi?!Take your time bro.Pole sana kwa matatizo.I understand your situation at personal level.
Kukosea kwa mbowe ni lazima kwa kuwa ni mjingaHayo ni maoni yake kakosea dhidi ya standard ipi ?
Mkicheza na mjinga atawalambisha kinyesi huyo ndio Mbowe aka TONDOKiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje