Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kitakachotokea ni kama kinachotokea Marekani sasa hivi.Sasa kutakua na maana gani ya kudhibiti maambukizi kama kuna watu watasambaza Corona kwa kua tu hawataki chanjo. Na Serikali ya namna gani hiyo itaruhusu hayo.
Tupige tu kelele humu ila mwisho wa siku dunia nzima itachwanjwa.
Marekani haijalazimisha chanjo. Kwa sababu inaheshimu uhuru wa watu kuamua.
Sasa hivi Marekani watu wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni waliokataa chanjo. Watu wanaolazwa mahospitalini kwa Covid zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. The numbers speak for themselves. Soma link ya pili hapo chini wameongelea hili.
Tuliokubali chanjo hatupati maambukizi, tukipata maambukizi kwa nadra sana, hayawi serious kiasi cha kulazwa.
Waliokataa chanjo watakufa sana kwa Covid.
Kwa hivyo, waacheni watu haki zao za kukataa chanjo. Vifo vitawaelimisha.
Na wasipotaka kuelimika hata baada ya kuona vifo kwa wasiochanjwa, hiyo inaweza kuwa ni njia nzuri ya kupunguza idadi ya wapumbavu duniani.
Covid-19 hospitalizations and deaths are increasing, and the vast majority were not vaccinated | CNN
The surge in Covid-19 cases fueled by the Delta variant and vaccine hesitancy has now led to increasing rates of hospitalizations and deaths.
U.S. COVID Deaths Are Rising Again. Experts Call It A 'Pandemic Of The Unvaccinated'
Reversing a months-long downward trend, deaths from COVID-19 have begun rising steadily this week. More than 99% of the recent fatalities were among people who had not been vaccinated.