#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Sasa kutakua na maana gani ya kudhibiti maambukizi kama kuna watu watasambaza Corona kwa kua tu hawataki chanjo. Na Serikali ya namna gani hiyo itaruhusu hayo.
Tupige tu kelele humu ila mwisho wa siku dunia nzima itachwanjwa.
Kitakachotokea ni kama kinachotokea Marekani sasa hivi.

Marekani haijalazimisha chanjo. Kwa sababu inaheshimu uhuru wa watu kuamua.

Sasa hivi Marekani watu wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni waliokataa chanjo. Watu wanaolazwa mahospitalini kwa Covid zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. The numbers speak for themselves. Soma link ya pili hapo chini wameongelea hili.

Tuliokubali chanjo hatupati maambukizi, tukipata maambukizi kwa nadra sana, hayawi serious kiasi cha kulazwa.

Waliokataa chanjo watakufa sana kwa Covid.

Kwa hivyo, waacheni watu haki zao za kukataa chanjo. Vifo vitawaelimisha.

Na wasipotaka kuelimika hata baada ya kuona vifo kwa wasiochanjwa, hiyo inaweza kuwa ni njia nzuri ya kupunguza idadi ya wapumbavu duniani.

Na wasipotaka kuelimika hata baada ya kuona vifo kwa wasiochanjwa, hiyo inaweza kuwa ni njia nzuri ya kupunguza idadi ya wapumbavu duniani.
Nimecheka kama mazuri sasa wakifa hawa wapumbavu si na kura za CCM zitapungua😂😂
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.
Lakini isiwe lazima,
Kuwa na baiskeli au radio ni hiyali
Pia kuchanja au kutochanja iwe ni hiyali
Lakini huwezi pia kumchagulia mtu atoe maoni namna gani - mmoja anaweza kusema chanjo iwe lazima (ni maoni yake) na mwingine akasema iwe hiari (ni maoni yake).
 
Kabla ya kutoa maoni unapima. Unaangalia Wewe Ni Nani nk. So Acha kukariri. Mbowe sio mtu yeyote.
Ameshasema hivyo, sasa utamfanya nini - utayarudisha kinywani mwake tena? Kwani kupima maoni kabla ya kusema ni kusema chanjo iwe hiari?
 
Mtoa mada mbona una hasira kiasi hicho,jadili mada sio mtu,hii inaonyesha ni jinsi gani hauna tofauti na wale,Mr.Mbowe katoa maoni yake kuhusu Covid 19 vaccines kuwa iwe ni LAZIMA,hayo ni maoni yake na ni haki yake kutoa maoni yake,Sasa wewe kama hukubaliani na wewe toa counter reasons kuhusu maoni ya Mr.Mbowe sio kuandika hapa as if UAMUZI umeshatolewa kuwa ni LAZIMA kupata chanjo,and for your informations Serikali iliyopo madarakani wameshatamka kuwa chanjo ni HIARI,means mkuu wangu just relax
 
Ameshasema hivyo, sasa utamfanya nini - utayarudisha kinywani mwake tena? Kwani kupima maoni kabla ya kusema ni kusema chanjo iwe hiari?
Nyumbu wa makengeza mbowe mkisikia maoni ya mwambaaaaaa mbowe 🤣🤣

images (2).jpeg

images (1).jpeg
 
Nyumbu wa makengeza mbowe mkisikia maoni ya mwambaaaaaa mbowe 🤣🤣

View attachment 1860656

View attachment 1860658
Of course, kwa watu wenye thinking capacity ndogo na wasiojua kujadili jambo, kufanya personal attack ni jambo la kawaida kwao maana that's the best they can do. Ningekushangaa sana kama usingeleta haya maana ningejua unafikiri, lakini umeonyesha uwezo wako wa kuchangia au kujadili hoja whether kuchanja iwe hiari au lazima. Shame upon you!
 
Msukule wa makengeza mbowe🤣🤣

images (4).jpeg

images (1).jpeg
 
Mpumbavu ni wewe na wapumbavu wenzako mlioshindwa kutafuta sources za income mnaleta mambo ya kifirauni. Wewe sio Mbaga lazima utakua wa ujombani, oumbsvu kabisa
Ww andaa tuu hilo wezere kwa ajili ya chanjo mume wenu ameshasema
 
Chadema na Mbowe wote ni wapumbavu, wewe kama unataka chanjo bc tuliza hilo wezere subiri hy chanjo na sio kusema ni lazima.
mpumbavu ni wewe. kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, au bwana wako akija tu hata kama ni saa saba mchana akitaka uchi huwa unampa tu?
 
Kitakachotokea ni kama kinachotokea Marekani sasa hivi.

Marekani haijalazimisha chanjo. Kwa sababu inaheshimu uhuru wa watu kuamua.

Sasa hivi Marekani watu wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni waliokataa chanjo. Watu wanaolazwa mahospitalini kwa Covid zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. The numbers speak for themselves. Soma link ya pili hapo chini wameongelea hili.

Tuliokubali chanjo hatupati maambukizi, tukipata maambukizi kwa nadra sana, hayawi serious kiasi cha kulazwa.

Waliokataa chanjo watakufa sana kwa Covid.

Kwa hivyo, waacheni watu haki zao za kukataa chanjo. Vifo vitawaelimisha.

Na wasipotaka kuelimika hata baada ya kuona vifo kwa wasiochanjwa, hiyo inaweza kuwa ni njia nzuri ya kupunguza idadi ya wapumbavu duniani.

Hampati maambukizi au mnapata ila haifanyi mkaumwa hadi kulazwa na kusababisha kifo? maana nachojua chanjo hazizuii maambukizi hivyo unaweza ukapata maambukizi na usiumwe ila ukaambukiza wengine wasiochanjwa.

Kuhusu suala la vifo kuwaelimisha nadhani hilo hadi sasa lingekuwa limeshawaelimisha, kwa sababu corona imeanza toka mwaka jana mpaka leo kama bado hakuna la kujifunza basi hakuna tena somo litakalopatikana hapo au kwamba hakuna vifo vya kufanya watu wajifunze na kutaka chanjo.
 
mpumbavu ni wewe. kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, au bwana wako akija tu hata kama ni saa saba mchana akitaka uchi huwa unampa tu?
Kwan bwana wako umempa ratiba ya kukupumulia kisogoni.?
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe mwenyewe hayupo serious. Busy kujichanganya bila barakoa. Kasahau (au hajui) kwamba ile chanjo aliyopata haizuii yeye kutopata corona na hakuna ajuaye itaisha nguvu lini apate jab ya pili, tatu, nne…
 
Kwa Tanzania hii, ukiweka chanjo hiari sidhani kuna mtu atachanja..ukiondoa wale wenye uhitaji wa kusafiri nje nk..hasa hasa ukizingatia kauli za nyuma kwamba chanjo zina pandikiza corona.. kwa hiyo maambukizi yatashamiri.

Anyway kupanga ni kuchagua. Mh. Mbowe acha iwe hiari ya mtu.
 
Hivi BSG,Polio na Pepo Punda ni chanjo ya lazma au ni hiari?
 
Back
Top Bottom