SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Hapo umefanya assumptions.Mama yake anawakilishwa na mawakili, Mahakamani huko nafasi ya Feisal kuongea ni mdogo sana kuliko wakili wake
Hivyo maagizo yote ya mapendekezo ya mwenendo wa kesi kuna uwezekano yaliwasilishwa kupitia makwakili baada ya kupokea maagizo kutoka kwa boss wao ambaye wana share common goals na familia yake na ndio maana mzazi alikuwa wazi kusema yale maneno
Mwisho wa siku, hili suala linafanyika kisheria. Iwapo kuna upande wowote utaona hautendewi haki, zipo taratibu za kufuatwa ili haki itendeke.
Ndio maana kuna rufaa na CAS. Wanasheria wa Feisal wanayajua haya, ndio maana huwaoni kulalamika mitandaoni.