Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Hii ni adhabu kwa Yanga au Fei?
Ni adhabu kwa Fei, Mpira sio kama Mvinyo kwamba unavyokaa ndani muda mrefu ndo thamani yake inaongezeka! Mpira ukisugua benchi sana kiwango kinashuka na automatic bei au dau lako linaporomoka zaidi.

Sijui kwanini watu hawaoni logic ya hii issue.
 
Mama yake ni sehemu ya mkataba?

Umri wa Feisal ni zaidi ya miaka 18. Kwahiyo mama yake hahusiki na mikataba anayoingia Feisal.

Ndio, mama yake pia ni shabiki.
Sijasema ni sehemu ya mkataba nimesema ni sehemu ya wanaowakilisha msimamo wa Feisal
 
Manara ni.mchambuzi mzuri tu wa mpira, tatizo lake ni hasira, anapokuwa kwenye jopo la.wachambuzi anapenda mtazamo wake ndio uheshimiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinichekeshee mie hapa, khaaaah
 
Sijasema ni sehemu ya mkataba nimesema ni sehemu ya wanaowakilisha msimamo wa Feisal
Hatambuliki kisheria. Kwenye mkataba husika, wanatambulika Yanga na Feisal. Wengine wote no third parties!
 
Swala la kuvunja Mkataba sio utovu wa nidhamu. Kajifunze hilo kwanza

Mahakama ikishaamua kwa kutoa hukumu lazima hukumu ifanyike kupitia mamlaka za kimahakama na sio uongozi wa Club

So kama Feisal amegundulika kafanya kosa kuvunja mkataba basi mahakama ndio yenye wajibu wa kutoa adhabu na sio Yanga.

Yanga sio mahakama mpaka itoe hukumu na ndio maana nimekuuliza kwenye ishu ya Morrison uliona Club ndio iliyotoa hukumu ya faini au ni Mahakama?
Mbona morrison amepewa sana adhabu kipindi cha babra
 
Nani kavurugwa mpaka sasa,tokea alivyo ondoka na sasa ww unaona kunautofauti Yanga.

Aliondoka ila kwa kukaa na Barca au kamu unajua tofauti ni juavyo niambie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaa sanaaa wee??
 
Haji manara ni mchambuzi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitake watu wapaliwe kwa kucheka.
Itakuwa umezaliwa Juzi tu hapo, MANARA ni mchambuzi mahiri wa mpira, kama ulivyowaona akina ALI MAYAI pale Azam, huyo Manara alikuwa mchambuzi wa Soka nguli, UEFA, WORLD CUP, FA nk. Sio mchambuzi mdogo, hapo Cloudz sidhani kama kuna mtu anamfikia, tactical, technical nk, kama hujui uliza.
 
Na mie nashangaa hapo tyuuh. Sijui TFF ina nn lakini.
Neymar hakuununua mkataba wake. PSG walilipa release clause, baada ya kupeleka taarifa rasmi kwa Barcelona kua wanayo nia ya kumsajili Neymar.

Ndio maana Yanga wanasema huyo anaetaka kumsajili Feisal, ajitokeze waongee.
 
Mikataba yao haikua na vipengele vya usiri. Alafu sio kila siku ni jumapili.
Huna hata unacho kiandika, yaan TFF ishindwe kufanya sehemu yake kisa usiri wa Yanga na Feisal?? Tatizo hujataka kuwa muelewaaa.
 
Hatambuliki kisheria. Kwenye mkataba husika, wanatambulika Yanga na Feisal. Wengine wote no third parties!
Mi sijasema anatambulika kisheria, nimebainisha kuwa msimamo wa Feisal ndio kile alichokizungumza mzazi wake

Kwa hiyo kama mzazi ali demand kila kitu kiwekwe bayana that's means na Feisal anakubaliana na kitu hicho
 
Itakuwa umezaliwa Juzi tu hapo, MANARA ni mchambuzi mahiri wa mpira, kama ulivyowaona akina ALI MAYAI pale Azam, huyo Manara alikuwa mchambuzi wa Soka nguli, UEFA, WORLD CUP, FA nk. Sio mchambuzi mdogo, hapo Cloudz sidhani kama kuna mtu anamfikia, tactical, technical nk, kama hujui uliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msinichosheee na hizi futuhi zenu mie.
 
Neymar hakuununua mkataba wake. PSG walilipa release clause, baada ya kupeleka taarifa rasmi kwa Barcelona kua wanayo nia ya kumsajili Neymar.

Ndio maana Yanga wanasema huyo anaetaka kumsajili Feisal, ajitokeze waongee.
Naomba kuuliza
Kwenye mkataba si kuna kipengele cha kuvunja?? Na inatakiwa ifanyike hivi na hivi, sasa km mtu kavunja kwa kufuata matakwa shida iko wapi???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msinichosheee na hizi futuhi zenu mie.
We mtoto wa shambani huwezi kujua hiyo habari. Manara alikuwa mchambuzi wa Mpira, CHANNEL TEN, ITV, TVT (TBC), nk nk, kipindi hiko ITV wanaonesha UEFA nk.

We unahisi SIMBA walimchukua kwa bahati mbaya kuwa msemaju wao? Msemaji wa wa timu ya mpira hasa hizi timu za Simba na Yanga mara nyingi unatakiwa uujue mpira.
 
Ni adhabu kwa Fei, Mpira sio kama Mvinyo kwamba unavyokaa ndani muda mrefu ndo thamani yake inaongezeka! Mpira ukisugua benchi sana kiwango kinashuka na automatic bei au dau lako linaporomoka zaidi.

Sijui kwanini watu hawaoni logic ya hii issue.
Kwani lengo la viongozi wa Yanga ni kushusha kiwango cha Fei?
 
Mimi hata hiyo hiyo mahakama naona inatosha

Ila waweke kila kitu mezani kubainisha hukumu imetolewa kupitia references za vifungu gani watu tujue

Hili swala la kufanya vitu kizani ndio ishu nayoikataa.
Hakuna sheria inayomlazimisha kuweka vitu hadharani kama uliona swala la Morrison wameweka hadharani shukuru

Lakini hakuna sheria inamfunga tff kuweka vitu hadharani

Ila mwanangu we ni mbishi kinoma[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom