Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Wee kuna siku nilikuchana wazi, usijifichee wee ni shabiki wa yanga kuwa huruuu,.etii oooh mie shabiki wa mpira, niko neutral nasimama kwenye ukweli...
Siwezi kutetea Jambo lililo kinyume na sheria kisa mtaniita shabiki wa Yanga. Najua sheria nimeisoma sheria Kwa hiyo siwezi kukiuka taaluma yangu nikiogopa mtaniona shabiki wa Yanga. Tangu siku ya Kwanza nilisema Feisal hawezi kushinda mkaleta ushabiki.
 
Hakuna mchambuzi wa mpira nchi hii hawa Vijana wa kuwashinda EDO KUMWEMBE na HAJI MANARA.

Hao ni wachambuzi haswa, huyo Manara anajua kuchambua mpira si kitoto.
Haji manara ni mchambuzi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitake watu wapaliwe kwa kucheka.
 
Sio sheria ila ni utaratibu

Unapoona jambo fulani ambalo watu wanategemea kulisikia public kama walivyozoea na wewe ukalifanya kwa siri wakati jambo kama hilo lilishawahi kutokea na ukaliweka bayana basi utaonekana kuwa kwemye jambo hili una interest zako binafsi, kama ambavyo watu wamekuwa wakikushuku.

So point ilikuwa ni kama kweli haki imetendeka kwanini wasiitwe waandishi qa habari watu wakahoji kilichotolewa hukumu?
Kama lengo ni kujua kama haki imetendeka kwanini hivyo vyombo vya habari visimfate upande wa walioona wameonewa hapo mwanzo ili kujua kama wamerudhika na maamuzi ama lah na kama hawajaridhika ni hatua zipi watazichukua?

Kuhusu utaratibu

Ni kwamba TFF ndio hao hao walioamua kutoa ufafanuzi hadharani ndio hao hao wameona hakuna sababu ya kutoa ufafanuzi hadharani na hakuna sheria waliyovunja.

Kufikiria kuwa hukumu imetolewa kwa interest zao TFF hilo linaweza kuwazwa na mtu aliyekosa uelewa wa mambo, kwasababu kesi kama ni ya pande mbili kisha wakapeana vigezo na vifungu halafu pande zote zimeridhika na maamuzi ya hukumu halafu wewe mwenzangu na mimi kwavile haujapewa ufafanuzi unabaki kulaumu maamuzi.
 
Mimi hata hiyo hiyo mahakama naona inatosha

Ila waweke kila kitu mezani kubainisha hukumu imetolewa kupitia references za vifungu gani watu tujue

Hili swala la kufanya vitu kizani ndio ishu nayoikataa.
Tupo pa1.
 
Haipo hivyo

Ukisema hivyo utajikuta unawakataa hata mawakili wanaomtetea Feisal kwasababu nao hawahusiki kwenye mkataba wa Yanga na Feisal ila wapo

Point yangu ilikuwa kuonesha msimamo wa mzazi kumuwakilisha mwanae

Yani alichokisema mzazi ndio kile ambacho Feisal anakiamini. Kwa hiyo hoja yako ya kusema Feisal hakutoa idhini sidhani kama itakuwa na mashiko kwasababu tukisikiliza kauli ya mzazi wake pamoja na wakili wake wote walitaka hili jambo liwe public
Brother, mkataba ni makubaliano ya pande mbili. Kwa hiyo hata kama upande wa Feisal ukiamua kuweka mambo hadharani, itabidi Yanga waridhie kwanza. Tofauti na hapo, watakua wameenda kinyume na mkataba (endapo kuna makubaliano ya usiri kwenye mkataba wao).

Kwahiyo suala la kuweka mambo hadharani, sio suala la Feisal pekee. Lazima Yanga pia wahusike!

Mwisho wa siku tunarudi pale pale, kuna kanuni inayowalazimisha TFF kuweka hadharani mwenendo wa hiyo kesi?
 
Dogo hajautumikia mkataba wake ile barua ya Yanga kwa TFF ni mtego itafika mda Yanga watadai mda amabao Fei hakua eneo lake la kazi firikia hii kesi ikienda CAS inaweza chukua miezi 6 ikitokea akashindwa atahesabiwa mda wote ambao hakuwa na timu means itabidi alipe huo mda watalipana vipi? tusubiri tuone

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna mkataba wa namna hiyo, acha kudanganya watu hapaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Kama lengo ni kujua kama haki imetendeka kwanini hivyo vyombo vya habari visimfate upande wa walioona wameonewa hapo mwanzo ili kujua kama wamerudhika na maamuzi ama lah na kama hawajaridhika ni hatua zipi watazichukua?

Kuhusu utaratibu

Ni kwamba TFF ndio hao hao walioamua kutoa ufafanuzi hadharani ndio hao hao wameona hakuna sababu ya kutoa ufafanuzi hadharani na hakuna sheria waliyovunja.

Kufikiria kuwa hukumu imetolewa kwa interest zao TFF hilo linaweza kuwazwa na mtu aliyekosa uelewa wa mambo, kwasababu kesi kama ni ya pande mbili kisha wakapeana vigezo na vifungu halafu pande zote zimeridhika na maamuzi ya hukumu halafu wewe mwenzangu na mimi kwavile haujapewa ufafanuzi unabaki kulaumu maamuzi.
Kuna vitu vinachekesha mpaka unaamua kukaa kimya tu. Mtu anakomaa eti Feisal alivunja mkataba Yuko huru. Yaani Mtumishi ujikalie nyumbani tu eti nimeshaacha kazi na mshahara wa mwezi nimewalipa huko siji?
 
Hakuna usiri wa Mkataba linapofika swala la hukumu

Hata wewe mwenyewe ukianza ku-imagine kwemye mkataba wa Feisal kitu gani ambacho kitakuwa ni siri, jibu la kwanza kufirikia itakuwa nini?

Pesa ya makubaliano yao?

Mbona inajulikana kuwa ni 4M per month

Au ni thamani ya mkataba?

Mbona inajulikana ni 100M

Usiri uko wapi wakati viongozi na mawakili wa Yanga maredioni wanapigiwa simu kuongelea mkataba na wanasema hadi vifungu vya mkataba?
Nakupinga. Usiri wa mkataba upo na unaheshimiwa hadi mahakamani.

Pia kwenye soka, thamani ya mkataba pamoja na mshahara mara nyingi huwa vinawekwa wazi. Ila kuna vitu kadhaa huwa vinafichwa. Kwani hatujui mshahara anaolipwa Ronaldo pale uarabuni? Tunajua, ila ndani ya mkataba wake kuna mambo mengine ambavyo hubaki kua siri.

Kuna haki za matumizi ya picha kwaajili ya matangazo, kuna bonus kwa kilatarget wanazowekeana, kuna makubaliano ya matangazo na promotions mbalimbali, na mambo mengine ambayo sisi third party hatuwezi kuambiwa.

Kuna wachezaji wanaweka vipengele vya kutokushiriki matangazo fulani yanayopingana na imani zao, yote hayo yanaweza kufanywa siri.
 
Hakuna mkataba wa namna hiyo, acha kudanganya watu hapaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
Kwa hiyo atakaa nyumbani tu na bado itakuwa poa?
 
Siwezi kutetea Jambo lililo kinyume na sheria kisa mtaniita shabiki wa Yanga. Najua sheria nimeisoma sheria Kwa hiyo siwezi kukiuka taaluma yangu nikiogopa mtaniona shabiki wa Yanga. Tangu siku ya Kwanza nilisema Feisal hawezi kushinda mkaleta ushabiki.
Wee ni shabiki lia lia wa yanga unajulikana mbna, wala usitumie nguvu kubwaa kujifichaa unajichoshaa bureee.

Kuwa huru shabiki wa Yanga kindaki ndaki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo umejua kujiweka waziiii aseeeeeh!!! Mahaba yamezidi kiwango ukajisahau mweeeeeh
 
Kama lengo ni kujua kama haki imetendeka kwanini hivyo vyombo vya habari visimfate upande wa walioona wameonewa hapo mwanzo ili kujua kama wamerudhika na maamuzi ama lah na kama hawajaridhika ni hatua zipi watazichukua?

Kuhusu utaratibu

Ni kwamba TFF ndio hao hao walioamua kutoa ufafanuzi hadharani ndio hao hao wameona hakuna sababu ya kutoa ufafanuzi hadharani na hakuna sheria waliyovunja.

Kufikiria kuwa hukumu imetolewa kwa interest zao TFF hilo linaweza kuwazwa na mtu aliyekosa uelewa wa mambo, kwasababu kesi kama ni ya pande mbili kisha wakapeana vigezo na vifungu halafu pande zote zimeridhika na maamuzi ya hukumu halafu wewe mwenzangu na mimi kwavile haujapewa ufafanuzi unabaki kulaumu maamuzi.
Haya uliyoyaandika ni kama mtu ambaye hajafatilia hili sakata

Ni mara ngapi waandishi wa habari wamefata wakili wake kuhoji kuhusu kuridhishwa na maamuzi ya TFF na yeye akasema hajafurahishwa akitaja na sababu?

Na ndio sababu ya watu kuanza kutilia shaka swala hili

Unajua uovu wote unafanyikia gizani

Kwanini kesi zingine zimetolewa ufafanuzi halafu hii imewekwa kizani? TFF ina maslahi gani na hii kesi?
 
Brother, mkataba ni makubaliano ya pande mbili. Kwa hiyo hata kama upande wa Feisal ukiamua kuweka mambo hadharani, itabidi Yanga waridhie kwanza. Tofauti na hapo, watakua wameenda kinyume na mkataba (endapo kuna makubaliano ya usiri kwenye mkataba wao).

Kwahiyo suala la kuweka mambo hadharani, sio suala la Feisal pekee. Lazima Yanga pia wahusike!

Mwisho wa siku tunarudi pale pale, kuna kanuni inayowalazimisha TFF kuweka hadharani mwenendo wa hiyo kesi?
TFF lazima waweke wazi ili wadau wa soka wajue mbivu na mbichi, suala LA usiri kwa feisal na yanga libaki kwao wenyewe.
Ila TFF ifanye sehemu yake.
 
Unaposema "lazima" unamaanisha nini?

Kwamba kuna kanuni inayowalazimisha kufanya hivyo? Ni kanuni ipi?
 
Nakupinga. Usiri wa mkataba upo na unaheshimiwa hadi mahakamani.

Pia kwenye soka, thamani ya mkataba pamoja na mshahara mara nyingi huwa vinawekwa wazi. Ila kuna vitu kadhaa huwa vinafichwa. Kwani hatujui mshahara anaolipwa Ronaldo pale uarabuni? Tunajua, ila ndani ya mkataba wake kuna mambo mengine ambavyo hubaki kua siri.

Kuna haki za matumizi ya picha kwaajili ya matangazo, kuna bonus kwa kilatarget wanazowekeana, kuna makubaliano ya matangazo na promotions mbalimbali, na mambo mengine ambayo sisi third party hatuwezi kuambiwa.

Kuna wachezaji wanaweka vipengele vya kutokushiriki matangazo fulani yanayopingana na imani zao, yote hayo yanaweza kufanywa siri.
Usiri wa mkataba ni wewe mchezaji kuto leak taarifa za mkataba kwenye taasisi nyingine au sehemu nyingine

Usiri wa mkataba hauzuii watu kujadili yale yaliyokiukwa ndani ya mkataba

Nitajie mfano wa kitu gani ambacho kinafichwa kwenye mkataba hakijulikani

Au ndio huwezi kwasababu hakijulikani?

Okay sasa hayo unayoyasema wewe kuhusu kutoshiriki matangazo ndio yale ambayo yanakuwa siri kati ya mchezaji na Club kwamba hatakiwi kwenda kutangaza nje

Ila ikitokea mgongano wa jambo hilo akalazimishwa kufanya matangazo unafikiri watasema Yanga imekosea bila kutanabaisha wamekosea wapi kwasababu hicho kitu ni siri?

Tuna mifano mingi sana kama hiyo na mwisho wa siku lilipokuja swala la mahakama kila kitu kilikuwa wazi
 
Hebu tukubaliane kutokukubaliana kwenye "usiri wa mkataba". Nataka nikuulize, kwanini wanaolalamika kwamba TFF wanafanya siri ni mashabiki wa Feisal badala ya Feisal na wakili wake?
 
Haji manara ni mchambuzi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msitake watu wapaliwe kwa kucheka.
Manara ni.mchambuzi mzuri tu wa mpira, tatizo lake ni hasira, anapokuwa kwenye jopo la.wachambuzi anapenda mtazamo wake ndio uheshimiwe.
 
Akili ndogo zilikua zinadai jamaa alikua sahihi kuondoka maana amesharudisha fedha.

Kwani kila mxchezaji akitaka kuondoka kama Fei itakuaje katika vilabu vyao? Éti usiporidhika na mshahara unaondoka

Hivi akijitokeza mtu mwenye uwezo wa kuwapa hela wachezaji kama watano waondoke kwenye klabu moja kwa mtindo wa Fei itakua kuna mpira tena?
Mbona jamaa alinikumbusha enzi za wanasiasa kuunga juhudi mkono. Chama kinalala na wabunge ishirini kinaamka na wabunge pungufu kisa hamahama?
Mimi sijui sheria ila nimetumiatu akili ya kawaida nahakuna klabu itakayokua dhaifu kiasi hicho.

Afanye ushawishi na sio kuondoka kitoto
 
Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kwamba mzee wa Ugali na sukari ameangukia pua

Hii ni baada ya TFF kukosa msingi wa kisheria wa kubadili uamuzi wake wa awali

Sasa ni hiyari yake kusuka au kunyoa, bali nawaomba viongozi wa Yanga wamhurumie huyu kijana aende atakako, kumkomoa haitasaidia chochote.

Yanga Mshahara wenu mdogo sana, mwacheni huyo kijana akale Ugali na mboga sasa, milion zenu hizo 4 zinatosha unga, sukari na mkaa tu.

b16c33a3-3c34-402c-b775-292ddb8d8762-jpeg.2535203
Mchanganyiko wa kipaji kikubwa, shuleless na tamaa! Anashindwa kupanga namna ya kukabiliana na matatizo kistaarabu.

Ameshaharibu credibility yake kama mcheazji wa kutegemewa. Hata timu itakayomchukua haitakuwa inamtegemea tena kwani imeshajulikana kama ana mchanganyiko huo wa kipaji kikubwa, shuleless na tamaa. Anaweza kuwakimbia wakati wowote akishawishiwa.
 
Back
Top Bottom