Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Avunje mkataba kama anataka hakuna aliemzuiaMpira wetu una mambo mengi ya kipuuzi sana mchezaji hataki kubaki kwenye timu muache aende aka pambane huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avunje mkataba kama anataka hakuna aliemzuiaMpira wetu una mambo mengi ya kipuuzi sana mchezaji hataki kubaki kwenye timu muache aende aka pambane huko
Kila mtu? Nani na nani mkuu?Uonevu tu. Waweke hoja zilizobishaniwa na rejea za vifungu kila mtu aone.
Kwasababu hujui chochote ni bora ukae kimya tuUonevu tu. Waweke hoja zilizobishaniwa na rejea za vifungu kila mtu aone.
Huo wema utatuathiri baadae...anachotaka ni kuachwa huru...ndio lengo lake kuu mpaka kufika huku...kwahiyo ukijifanya una huruma unafanya wema...utakuwa umefuma bomu jingine..wachezaji wengine watafanya kama fei...wakiamini yanga watamwachia tu...hii ni kukaza ili iwe fundisho kwa yeyote atakayediriki kufanya kama fei...Yanga timu yangu pendwa, muachieni kijana aende zake pale nafsi yake inapomtuma, fei amekosea dhahri lakini kukosea kwake isiwe kigezo cha kumkomoa kijana huyu na kumuharibia maisha na kumuumiza kisaikolojia, fanyeni wema huo, aende zake huku mkimpa onyo.
Haikuwa confidential, kuna kesi ambazo ni confidential- zinazohusisha maisha binafsi ya mtu na ambazo sio confidential- taarifa zake hazimchimbi mtu kiundani zaidi.Kesi ya Manara sikufika ila vifungu vilisomwa tena mbele ya camera
Na Kesi ya Morrison haikuwa ya kimkataba?Haikuwa confidential, kuna kesi ambazo ni confidential- zinazohusisha maisha binafsi ya mtu na ambazo sio confidential- taarifa zake hazimchimbi mtu kiundani zaidi....
Lupweko huna Mia 200 ya kwenda choo Cha kulipia?😁😁😁Hukumu haijasema hivyo kwamba anatakiwa arudi mazoezini Kigamboni
Kesi uhukumiwe leo, nakala ya hukumu itoke leo? ama kweli vijana mna angamia kwa ujuajiHoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?
Kuna madudu ambayo TFF imefanya na haitaki watu wayaone kwasababu wataonekana hawajafanya haki?
Mbona kesi za kina Morrison kila kitu kilikuwa wazi?
😁 🏃♂️ 🏃♂️🏃♂️Lupweko huna Mia 200 ya kwenda choo Cha kulipia?😁😁😁
Wapi ulipoona mawakili wa yanga na wa Morrison wakijibizana kwa vifungu na kwa hoja kama unavyotaka iweNa Kesi ya Morrison haikuwa ya kimkataba?
Swala la uelewa bado ni changamoto nayokutana na wadau wengi wa humuKesi uhukumiwe leo, nakala ya hukumu itoke leo? ama kweli vijana mna angamia kwa ujuaji
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ungepunguza ujuaji ukaeleweshwa TFF hawezi muadhibu Fei sababu TFF hawa dili na utoro wa mchezaji huo ni wajibu wa club kesi iliyopelekwa ni uhali wa mkataba wao wamethibitisha kwamba ana mkataba halali hayo mengine ni yakoNo
Hata kwenye maamuzi ya kwanza ilifanyika siasa ya namna hiyo then wakatuacha high way
Zaidi tulisikia manung'uniko kutoka kwa mawakili wa Feisal wakisema kesi iliyofunguliwa sio ile iliyohukumiwa
Kama utakumbuka Yanga walifungua kesi kuhusu Feisal kuvunja mkataba, lakini maamuzi yakaja vice versa kuwa Feisal ni mchezaji wa Yanga
Watu ndio wakawa wanahoji, kama Feisal alikosea na hukumu imeonesha kakosea kwanini hakupewa adhabu ma badala yake ameambiwa arudi Yanga?
Hayo ndio maswali ambayo tulitegemea watu wayaulize siku ambayo TFF wanatoa ufafanuzi wa sheria iliyotumika
Ila kitendo cha TFF kuweka usiri ndio kunaibua maswali mengi na kuhisi kuna sintofahamu imefanyika hapo kumhadaa mchezaji
Chukua buku kanunue akiliWapi ulipoona mawakili wa yanga na wa Morrison wakijibizana kwa vifungu na kwa hoja kama unavyotaka iwe
Ushauri wangu ni kwamba mtafute Feitoto kisha umpambanie mpaka aipate haki yake, maana kwa maswali yako unayouliza inaonesha ni wazi hauna Imani na wanaomsimamia Feitoto upande wa sheria hadi kupeleka Feitoto kushindwa. Nafasi ni yako sasa na wengineo kumtafuta Feitoto na kujivisha mabomu ya kumsaidia ikibidi mpelekeni hadi CASNo
Hata kwenye maamuzi ya kwanza ilifanyika siasa ya namna hiyo then wakatuacha high way
Zaidi tulisikia manung'uniko kutoka kwa mawakili wa Feisal wakisema kesi iliyofunguliwa sio ile iliyohukumiwa
Kama utakumbuka Yanga walifungua kesi kuhusu Feisal kuvunja mkataba, lakini maamuzi yakaja vice versa kuwa Feisal ni mchezaji wa Yanga
Watu ndio wakawa wanahoji, kama Feisal alikosea na hukumu imeonesha kakosea kwanini hakupewa adhabu ma badala yake ameambiwa arudi Yanga?
Hayo ndio maswali ambayo tulitegemea watu wayaulize siku ambayo TFF wanatoa ufafanuzi wa sheria iliyotumika
Ila kitendo cha TFF kuweka usiri ndio kunaibua maswali mengi na kuhisi kuna sintofahamu imefanyika hapo kumhadaa mchezaji
Utatoaje hati wakati mlalamikiwa kaomba review?Swala la uelewa bado ni changamoto nayokutana na wadau wengi wa humu
TFF haijasema siku itayotoa nakala ya hukumu itatolewa public
Kwenye hukumu ya mwanzo TFF walisema hivyo hivyo kuwa watatao, watu tulikuwa tunangojea press release au conference tusikie hiyo hukumu
Siku waliotoa ahadi kuwa watatoa hiyo hati ya hukumu ilipopita waru ndio wakaanza minong'ono "mbona hati hatujaiona" ndio tulipowasikia TFF wakitoa kauli kuwa hati imetolewa pande mbili za wahusika na kesi walishapokea hati ya hukumu siku ileile
Kwa hiyo hata ukisema hati ya hukumu haitolewi leo bado unakuwa huelewi hoja, kwasababu hata hiyo siku itayotolewa bado itakuwa confidential kaka ilivyofanyika awali
Sio ujuaji, halafu nawewe una inferior ya kishamba sanaUngepunguza ujuaji ukaeleweshwa TFF hawezi muadhibu Fei sababu TFF hawa dili na utoro wa mchezaji huo ni wajibu wa club kesi iliyopelekwa ni uhali wa mkataba wao wamethibitisha kwamba ana mkataba halali hayo mengine ni yako
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Akili zako za buku ndio zinakupoteza, TFF wamesema tar 6. March watafanyaje?Chukua buku kanunue akili
Mi nazungumzia mchanganuo wa hukumu kuwa public we unaleta habari za debate za mawakili?
Sijataja ushauriUshauri wangu ni kwamba mtafute Feitoto kisha umpambanie mpaka aipate haki yake, maana kwa maswali yako unayouliza inaonesha ni wazi hauna Imani na wanaomsimamia Feitoto upande wa sheria hadi kupeleka Feitoto kushindwa. Nafasi ni yako sasa na wengineo kumtafuta Feitoto na kujivisha mabomu ya kumsaidia ikibidi mpelekeni hadi CAS
Tarehe 6 march TFF wamesema hati inawekwa public?Akili zako za buku ndio zinakupoteza, TFF wamesema tar 6. March watafanyaje?
Acha kutangaza uzuzu wako bwana
Haya mambo ni oversize kwako, Feisal atapewa adhabu na club yake kwa utovu wa nidhamu kama atarudi kambini endapo ata kaidi Yanga wata fungua kesi nyingine ya kuto futatwa kwa vipengere vya mkataba pamoja na hilo la kutoitumikia timu akiwa na mkataba ulitaka wamuadhibu vipi wakati kesi ilikua ni kupitia uhali wa mkatabaSio ujuaji, halafu nawewe una inferior ya kishamba sana
Swala ambalo limetolewa hukumu na Mahakama linaanzaje kwenda tena kuamuliwa kupitia muongozo wa Club?
Maana yake Mahakama haitoshi kwenda kuamua?
Ishu ya Morrison uliona Club ndio imetoa adhabu ya faini au ni mahakama?