ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kesi ya Morrison ilikua live?Kesi ya Manara sikufika ila vifungu vilisomwa tena mbele ya camera
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya Morrison ilikua live?Kesi ya Manara sikufika ila vifungu vilisomwa tena mbele ya camera
TFF lazima ieleze ni kivipi mkataba umekiukwa na sheria ipi iliyovunjwa inayomfanya Feisal aendelee kuwa chini ya umiliki wa YangaUnachotaka kiwekwe wazi ni kipi?
Maamuzi ya TFF, au mkataba wa Feisal na Yanga?
Understanding capacity yako ni too low
hahahahahaMpira wa bongo miyeyusho. Sitashangaa wakianza kurusha connection za dogo aking'ata godoro
Irrelevant
Hapa hakuna huruma...ni suala na nyeupe nyeusi...IWE FUNDISHO KWA WACHEZAJI WENGINE...KUHUSU UJINGA UJANJA WA KUTAKA UTAPELI...Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kwamba mzee wa Ugali na sukari ameangukia pua
Hii ni baada ya TFF kukosa msingi wa kisheria wa kubadili uamuzi wake wa awali...
![]()
Kuna sehemu unapugukukiwa uelewa mahakama zetu zina ruhusu camera ndani ya mahakama?Watu wanapotoa uwanja mpana wa kutaka utoe mifano ili kuthibitisha, lazima nitoe
Hizo ni kesi ambazo nazifuatilia so inapotokea mnabishana kuwa hakuna swala la live kwenye ishu ya kesi na ukaombwa utoe mifano, sioni kama ni kosa kutoa mfano wa hivyo
Hakuna mchambuzi wa mpira nchi hii kwa hawa Vijana wa kuwashinda EDO KUMWEMBE na HAJI MANARA.Nimependa alichozungumza yule jamaa yake jaydee sijui anaitwa edward kumwembe,ushauri wake mzuri japo mimi simtambui kama mchumbuzi
Maamuzi ambayo yapo supported na explanation ipi ambayo kila mtu anaweza kupima kusema kweli alikosea?Na hii tunayojadili hapa, ni kesi ya Feisal inayohusu mkataba. Maamuzi ya TFF yapo hapo juu kwenye post ya mleta mada!
Sio kesi zote zinazohusu mkataba zinafanana. Na ndio maana maamuzi pia hayafanani.
Kasome kauli ya Fatma karume,hata yeye aliona dogo kafeliSababu za undani zitatolewa kwa wahusika ma shauri hilo
Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Mwache waendelee kumlia mafwezaKasome kauli ya Fatma karume,hata yeye aliona dogo kafeli
Kuna jamaa kasema anashangaa haujangongwa na gari kwa akili ndogo ulizo nazo nmejikuta namuelewaUnderstanding capacity yako ni too low
Na ukifatilia katika maelezo yangu utaona hakuna sehemu nimedai Camera ziwepo mahakamaniKuna sehemu unapugukukiwa uelewa mahakama zetu zina ruhusu camera ndani ya mahakama?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hayo yalikuwa maamuzi yao ambayo mdaiwa aliridhia hukumu yake isomwe hadharani ambaye alikuwa Morrison, nakala ya hukumu haitindikwi tu kama ni mali ya umma.Kesi ya Morrison ilikuwa ni dhidi ya TFF? Mbona waliitisha press kutoa ufafanuzi?
Nyuma ya sakata la huyu dogo kuna dubwana kutoka mikumi/Serengeti ndio chanzo,na sio mala Moja,yalianza Kwa morisson,.Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo...
kinacho kufanya hii Leo uwe na uchungu na fei ni Nini?Uonevu tu. Waweke hoja zilizobishaniwa na rejea za vifungu kila mtu aone.
Nimetoa mfano tu kenge wewe, kuna migogoro ya mashamba(ardhi)kunakuwa na wanasheria wabobezi katika sekta hiyo mfano kampuni ya sheria ya Madega ni maarufu kwa kesi hiziWakati wenzio wanasoma sheria wewe ulikuwa unawinda ndege na Mzee wako mashambani...
Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincingHayo yalikuwa maamuzi yao ambayo mdaiwa aliridhia hukumu yake isomwe hadharani ambaye alikuwa Morrison, nakala ya hukumu haitindikwi tu kama ni mali ya umma. Ndio maana wameambiwa wakachukue Jtatu nakala zao wakizihitaji, Sasa wao wakiamua kuwawekea msome vifungu walivyotumia ni hiari yao, na kama Sheria inakuruhusu unaweza kwenda kuomba nakala ya hukumu hiyo utapewa.
Waende mahakama ya soka Afrika.Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincing...