Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Dogo watamuathiri pia Kisakolojia,
Watamuathiri akina nani tena? Na wakati ni yeye mwenyewe ndiyo ameamua kufanya hicho alichokifanya, kwa ushirikiano wa karibu na huyo tapeli aliyemdanganya!

Bora hata ungesema "atajiathiri kisaikolojia" ningekuelewa.
 
Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kwamba mzee wa Ugali na sukari ameangukia pua

Hii ni baada ya TFF kukosa msingi wa kisheria wa kubadili uamuzi wake wa awali

Sasa ni hiyari yake kusuka au kunyoa, bali nawaomba viongozi wa Yanga wamhurumie huyu kijana aende atakako, kumkomoa haitasaidia chochote.

Yanga Mshahara wenu mdogo sana, mwacheni huyo kijana akale Ugali na mboga sasa, milion zenu hizo 4 zinatosha unga, sukari na mkaa tu.

b16c33a3-3c34-402c-b775-292ddb8d8762-jpeg.2535203
kumwacha hakuna shida lakini ni lazima agate sheria za kuvunja mkataba,hakuna njia ya mkato amedanganywa sana fei sasa kagonga mwamba,njia iliyobaki ni ama arudi yanga ili kuomba mkataba uvunjwe ambapo ni lazima timu inayo mtaka inijokeze kuongea na yanga au arudi kucheza hadi mkataba wake uishe au aende cas ya fifa
 
Aondoke kisheria, sio kihuni. Ana/alikuwa na mkataba wa kisheria na Dar Young Africans, angetumia sheria kutengua mkataba wake na Yanga. Kijana anajiumiza na kujimaliza mwenyewe kisoka, soka ni career fupi sana, asipokuwa makini atajutia mda anaopoteza.
Yanga mmsesahau yaliyowakuta na sportpesa, mpaka busara ikatumika ???
 
Haya ale fedha alizotaka kuzitumia kuvunja mkataba, asubiri 2024 aondoke zake bure. Akiendelea kulipwa mshahara huku achezi itapendeza. Au aende mbele kupigana zaidi, binafsi namtakia kila la heri na hili lipite na afanikiwe vita yake ya maslahi.

Kwa upande wa Yanga sioni ushindi wowote wakibaki nae au wakimwachia, labda itokee timu imlipie dau kubwa kuliko alilotoa wakati akivunja mkataba au wampe adhabu ya kutokumlipa mshahara au sehemu ya mshahara, si mchezaji wao, ngoja tuone watakachomfanya.
yanga wana upper hand kwa mujibu wa sheria na we subiri utaona nini yanga watafanya
 
kumwacha hakuna shida lakini ni lazima agate sheria za kuvunja mkataba,hakuna njia ya mkato amedanganywa sana fei sasa kagonga mwamba,njia iliyobaki ni ama arudi yanga ili kuomba mkataba uvunjwe ambapo ni lazima timu inayo mtaka inijokeze kuongea na yanga au arudi kucheza hadi mkataba wake uishe au aende cas ya fifa
Au avunje mkataba wake mwenyewe kwa kuongeza dau. Au hili haliwezekani?
 
Yanga timu yangu pendwa, muachieni kijana aende zake pale nafsi yake inapomtuma, fei amekosea dhahri lakini kukosea kwake isiwe kigezo cha kumkomoa kijana huyu na kumuharibia maisha na kumuumiza kisaikolojia, fanyeni wema huo, aende zake huku mkimpa onyo.
Anajikomoa mwenyewe afate utaratibu ka anataka kusepa..
 
Anapewa mil 4,anakula ugali na chumvi then alikuwa na uwezo wa kulipa 110m Yanga bila kufuata utaratibu na kwenda Dubai kutrain na trainer mkubwa anao watrain wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya.

Hamna logic kabisa, bi mkubwa alizani ana mtetea mwanae kumbe kamwaribia.
Bimkubwa ni Balozi wa mashoga. Atakuwa na hoja gani ya maana ya kumtete kijana huyo mbali na kutaka mtoto wa watu akajifunze kuliwa ili Bimkubwa apate bonus ya kuendeleza ushoga nchini?
 
Haya ale fedha alizotaka kuzitumia kuvunja mkataba, asubiri 2024 aondoke zake bure. Akiendelea kulipwa mshahara huku achezi itapendeza. Au aende mbele kupigana zaidi, binafsi namtakia kila la heri na hili lipite na afanikiwe vita yake ya maslahi.

Kwa upande wa Yanga sioni ushindi wowote wakibaki nae au wakimwachia, labda itokee timu imlipie dau kubwa kuliko alilotoa wakati akivunja mkataba au wampe adhabu ya kutokumlipa mshahara au sehemu ya mshahara, si mchezaji wao, ngoja tuone watakachomfanya.
Kumbe wewe ni mweupe wa sheria kiasi hicho? mkataba wa Fei huwezi kuisha 2024 kama hajautumikia utamdai huko mbele hapa anapoteza mda wake bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kwamba mzee wa Ugali na sukari ameangukia pua

Hii ni baada ya TFF kukosa msingi wa kisheria wa kubadili uamuzi wake wa awali

Sasa ni hiyari yake kusuka au kunyoa, bali nawaomba viongozi wa Yanga wamhurumie huyu kijana aende atakako, kumkomoa haitasaidia chochote.

Yanga Mshahara wenu mdogo sana, mwacheni huyo kijana akale Ugali na mboga sasa, milion zenu hizo 4 zinatosha unga, sukari na mkaa tu.

b16c33a3-3c34-402c-b775-292ddb8d8762-jpeg.2535203
Inafikirisha sana. Yaani kutoka kula ugali na sukari, mpaka kuilipa klabu milioni 110 cash from nowhere, kwa ajili ya kuvunja mkataba!!
 
Kumbe wewe ni mweupe wa sheria kiasi hicho? mkataba wa Fei huwezi kuisha 2024 kama hajautumikia utamdai huko mbele hapa anapoteza mda wake bure

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
JF ukishajua unavimba kwa kejeli. Haya nifundishe, huyu fei mkataba utaisha lini badala ya 2024 na kwa nn?
 
Huyo dogo mnampa promo ya bure tu, wala sio kwamba bila yeye Yanga ndio basi tena
 
Yanga timu yangu pendwa, muachieni kijana aende zake pale nafsi yake inapomtuma, fei amekosea dhahri lakini kukosea kwake isiwe kigezo cha kumkomoa kijana huyu na kumuharibia maisha na kumuumiza kisaikolojia, fanyeni wema huo, aende zake huku mkimpa onyo.
Wamuache kwa utaratibu gani na wakati alikuwa yupo kwenye mipango ya timu mpaka 2024!

Na kila timu ikiamua kuruhusu madudu ya aina hii, si itatokea siku wachezaji wote wameondoka!!

Mimi naona wachezaji wetu wanatakiwa kupewa semina maalum kuhusu mikataba, ili kuondoa changamoto za aina hii.
 
Sababu za undani zitatolewa kwa wahusika ma shauri hilo

Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Brother, mkataba ni siri kati ya muajiri na muajiriwa. Ndio maana sio rahisi sisi tusiohusika kuonyeshwa yaliyomo.
 
Sio kuruka live, mimi nimehoji kwanini swala la kutoa mchanganuo wa maamuzi yaliyopelekea kundismmiss hiyo review yafaanyike gizani? yani lihusishe pande mbili zilizohusika bila wana habari na wananchi kufahamishwa

Swala la Manara lilitolewa uamuzi public na kila mtu alisikia, why hili la Fei waliweke confidential?

BTW swala la kuruka live lipo nchi nyingi sana, na juzi nilikuwa naangalia case ya Kodak Black. Kesi ya Young Thug na Gunna zote zilikuwa live na clip ninazo, so what's your point?
[emoji23][emoji23]ila wewe jamaa yaani unaleta reference za kuna Young Thug, Kodak black?

Back
Top Bottom