Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Sababu za undani zitatolewa kwa wahusika ma shauri hilo

Yale yale kufanya mambo gizani kuwaficha watu wasiweze kukosoa endapo kuna ukiukwaji wa sheria umefanyika
Mkuu naomba nikuulize swali, hivi kesi zote duniani huwa zinarushwa live kwenye vyombo vya habari ili watu wasikie? Kesi ya Morrison na Yanga ilipotolewa hukumu ilirushwa live? Vipi na CAS nao huwa wanaposikiliza kesi na kutoa hukumu huwa wanakuwa live kwenye vyombo vya habari?
 
Kuna mechi Yanga hawakucheza kisa fei yupo bench?. Ukijibu hapo Utakua umenielewa
Hapana. Ila Swali langu limebase kwenye kumlipa mchezaji ambaye hata mazoezini haji. Au hatolipwa?
 
🤣🤣🤣Ujue kwenye sheria hawa wanasheria wanakuwa wanabobea katika kusimamia kesi za aina fulani,mfano kuna ambao wanaziweza kesi za mashamba,wengine kesi za kisiasa,wengine za Jinai n.k

Nilipoona mwanasheria wa Fei ni Fatma karume nikasema tu hapa yaleyale hela imeshaenda maana sidhani kama Fatuma ana uwezo wa kuchambua vifungu vya kimichezo vya FIFA kiuweledi kabisa,sidhani maana simjui kiundani ,tatizo limeanzia hapo
 
Mkuu naomba nikuulize swali, hivi kesi zote duniani huwa zinarushwa live kwenye vyombo vya habari ili watu wasikie? Kesi ya Morrison na Yanga ilipotolewa hukumu ilirushwa live? Vipi na CAS nao huwa wanaposikiliza kesi na kutoa hukumu huwa wanakuwa live kwenye vyombo vya gavari?
Sio kuruka live, mimi nimehoji kwanini swala la kutoa mchanganuo wa maamuzi yaliyopelekea ku-dismiss hiyo review yafanyike gizani? yani ihusishe pande mbili zilizohusika bila wana habari na wananchi kufahamishwa

Swala la Manara lilitolewa uamuzi public na kila mtu alisikia, why hili la Fei waliweke confidential?

BTW swala la kuruka live lipo nchi nyingi sana, na juzi nilikuwa naangalia case ya Kodak Black. Kesi ya Young Thug na Gunna zote zilikuwa live na clip ninazo, so what's your point?
 
Sio kuruka live, mimi nimehoji kwanini swala la kutoa mchanganuo wa maamuzi lifanyike gizani yani lihusishe pande mbili zilizohusika bila wana habari na wananchi kufahamishwa

Swala la Manara lilitolewa uamuzi public na kila mtu alisikia, why hili la Fei waliweke confidential?

BTW swala la kuruka live lipo nchi nyingi sana, na juzi nilikuwa naangalia case ya Kodak Black. Kesi ya Young Thug na Gunna zote zilikuwa live na clip ninazo, so what's your point?
Kinachofanyika ni kuweka rekodi sawa kwenye documents. Waliokuwepo washajua maamuzi yote.
 
Back
Top Bottom