joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unajua Yanga wameandika barua TFF kwamba hawamuoni Fei,ile barua ina maana kubwa sana kwani Feisal mpaka sasa bado mkatataba wake umebakia mwaka na nusu, sema wanasheria wake Fei wanamdanganya.Ile barua bado TFF hawajapanga siku ya kuisikiliza,kwani Fei atapewa adhabu na kurudi kuitumikia Yanga kwa sehemu ya mkataba uliobakia (mwaka na nusu).Umebaki mwaka 1. Aondoke bure, Kuna timu italeta ofa kubwa kweli mezani?
Katafuteni Intv aliyo ifanya Rage YouTube ndio mtaelewa, iliyo barua ya pili ni mtego mwengine wa kisheria wa Fei na yy kishajaa.