HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Kwahiyo mama yake Fei ndio sheria za TFF? Yaani ukitaka mahakama iandike hukumu kwa lugha unayoitaka wewe ufanye hivyo kwakuwa unataka Dunia nzima ijue?Kwanza sio kweli kuwa mdaiwa aliridhia wasome hadharani na hata ushahidi wa hili najua huna, umeandika tu kuifamya stori yako iwe convincing...
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa vitu vidogo kiasi hiki. TFF hailazimiki kuendesha mashauri yake hadharani, ila ikiona inafaa inaweza kufanya hivyo.
Unaijua lugha ya mahakama vizur? Basi kajifunze ujue kuwa kwasasa ndio limekuja ombi hizi hukumu zitolewe kwa lugha zote 2 rasmi.