Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

We mtoto wa shambani huwezi kujua hiyo habari. Manara alikuwa mchambuzi wa Mpira, CHANNEL TEN, ITV, TVT (TBC), nk nk, kipindi hiko ITV wanaonesha UEFA nk.

We unahisi SIMBA walimchukua kwa bahati mbaya kuwa msemaju wao? Msemaji wa wa timu ya mpira hasa hizi timu za Simba na Yanga mara nyingi unatakiwa uujue mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungesema mtoto wa porini kabisaaa ili hoja yako iwe na mashiko zaidi,

Hizo futuhi zako, aiiiiiiih hata sihitaji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe umesema mahahakama ndio zinapaswa kuhukumu...kwahiyo kipindi mlipokuwa mnamsimamisha morrison kucheza mlikuwa mnatumia mahakama gani?
Adhabu zilizotolewa na Barbra ziliamuliwa na Mahakama?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungesema mtoto wa porini kabisaaa ili hoja yako iwe na mashiko zaidi,

Hizo futuhi zako, aiiiiiiih hata sihitaji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kaa na mavi yako kichwani, usikariri maisha, watu wana msingi wao wa maisha, na kwa Manara basi alikuwa mchambuzi kama unavyomuona DAUDA na tena Dauda hamfikii huyo MANARA, uliza watu uambiwe.
 
Wewe ndio unijibu sio unaniuliza tena.. Maana umesema hukumu zinapaswa kutolewa na mahakama sio club..!
Ndio maana nakuambia hoja yako ni irrelevant kwasababu inaonesha umeirukia tu post yangu bila kuielewa
 
Basi kaa na mavi yako kichwani, usikariri maisha, watu wana msingi wao wa maisha, na kwa Manara basi alikuwa mchambuzi kama unavyomuona DAUDA na tena Dauda hamfikii huyo MANARA, uliza watu uambiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo ulie?? Si uandike kwa utuilivu.
 
Huna hata unacho kiandika, yaan TFF ishindwe kufanya sehemu yake kisa usiri wa Yanga na Feisal?? Tatizo hujataka kuwa muelewaaa.
Hebu kwanza, kwenye shule ulizopita uliwahi kukutana na kitu kinaitwa Contract Law? Unafahamu maana ya confidentiality?

Nisije nikawa napigia mbuzi gitaa.
 
Mi sijasema anatambulika kisheria, nimebainisha kuwa msimamo wa Feisal ndio kile alichokizungumza mzazi wake

Kwa hiyo kama mzazi ali demand kila kitu kiwekwe bayana that's means na Feisal anakubaliana na kitu hicho
TFF wanamtambua Feisal, sio mama yake Feisal. Hivyo basi, kama kuna demands zozote za kufanyiwa kazi kutoka upande wa Feisal, anatakiwa kuziwasilisha yeye au mwanasheria wake, sio mama yake!

Itoshe kusema kwamba TFF hawawezi kufanyia kazi maneno ya mama yake Feisal.
 
Hebu kwanza, kwenye shule ulizopita uliwahi kukutana na kitu kinaitwa Contract Law? Unafahamu maana ya confidentiality?

Nisije nikawa napigia mbuzi gitaa.
Tatizo hujataka kuwa muelewaaa, hebu tuishie hapa
 
Akili ndogo zilikua zinadai jamaa alikua sahihi kuondoka maana amesharudisha fedha.

Kwani kila mxchezaji akitaka kuondoka kama Fei itakuaje katika vilabu vyao? Éti usiporidhika na mshahara unaondoka

Hivi akijitokeza mtu mwenye uwezo wa kuwapa hela wachezaji kama watano waondoke kwenye klabu moja kwa mtindo wa Fei itakua kuna mpira tena?
Mbona jamaa alinikumbusha enzi za wanasiasa kuunga juhudi mkono. Chama kinalala na wabunge ishirini kinaamka na wabunge pungufu kisa hamahama?
Mimi sijui sheria ila nimetumiatu akili ya kawaida nahakuna klabu itakayokua dhaifu kiasi hicho.

Afanye ushawishi na sio kuondoka kitoto
Mfano kipindi simba Wana Hali nzuri ya kiuchumi wangeweza kufanya hivi kuchukua wachezaji hata watano wa yanga wanaofanya vizuri.. Kwa njia hii ya kuvunja mkataba

Hakuna kitu kama hichi kwenye soka hakuna na Tff lazima wasimamie hili la sivyo references zitakua zinatolewa kwa kesi hii ( Mbona feisal ilikua hivi)
 
Kwani yanga ndio wamemtuma afanye hayo anayofanya?
Hapana hawakumtuma. Kwa hiyo objective ni ipi baada ya kuzikataa fedha zake? Wanachokitaka viongozi wa Yanga ni kumlazimisha Fei aichezee Yanga kwa kipindi kilichobaki? Kupata dau kubwa kutoka kwake? Au kushusha kiwango chake tu?
 
TFF wanamtambua Feisal, sio mama yake Feisal. Hivyo basi, kama kuna demands zozote za kufanyiwa kazi kutoka upande wa Feisal, anatakiwa kuziwasilisha yeye au mwanasheria wake, sio mama yake!

Itoshe kusema kwamba TFF hawawezi kufanyia kazi maneno ya mama yake Feisal.
Mama yake anawakilishwa na mawakili, Mahakamani huko nafasi ya Feisal kuongea ni mdogo sana kuliko wakili wake

Hivyo maagizo yote ya mapendekezo ya mwenendo wa kesi kuna uwezekano yaliwasilishwa kupitia makwakili baada ya kupokea maagizo kutoka kwa boss wao ambaye wana share common goals na familia yake na ndio maana mzazi alikuwa wazi kusema yale maneno
 
Wakati wenzio wanasoma sheria wewe ulikuwa unawinda ndege na Mzee wako mashambani.

Nani kakwambia kuna WAnasheria wa kesi za mashamba?

Anyway issue inaenda CAS ndio utajua Kati ya WAnasheria wa YAnga na Fatma Nani ni Bora !
Amemaanisha wanasheria waliobobea kwenye mambo ya ardhi.
Huwezi kuwa mbobezi kwenye nyanja zote za kisheria.
 
Uonevu tu. Waweke hoja zilizobishaniwa na rejea za vifungu kila mtu aone.
Kwani vifungu vilivyomtia hatiani mwanzoni hadi rufaa yake inadunda umevisahau?..mbn unasahau haraka km ubongo wa kuku?
 
Hapana hawakumtuma. Kwa hiyo objective ni ipi baada ya kuzikataa fedha zake? Wanachokitaka viongozi wa Yanga ni kumlazimisha Fei aichezee Yanga kwa kipindi kilichobaki? Kupata dau kubwa kutoka kwake? Au kushusha kiwango chake tu?
Eng kasema wazi wanaomtaka walete dau sio janja janja
 
Back
Top Bottom