Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

Hapo umefanya assumptions.

Mwisho wa siku, hili suala linafanyika kisheria. Iwapo kuna upande wowote utaona hautendewi haki, zipo taratibu za kufuatwa ili haki itendeke.

Ndio maana kuna rufaa na CAS. Wanasheria wa Feisal wanayajua haya, ndio maana huwaoni kulalamika mitandaoni.
 
Utajuaje na huo mwaka haujaisha,umekua mfalme juha?
Nimetumia analysis ya kawaida tu kwa kupima muda wake wa mkataba uliobaki na yaliyotokea. Ila upo sahihi, sijui. Anaweza tokea.
 
we hukujua kuwa fei alikuwa akitetewa na mawakili nguli wa simba? fatma kaja mwishoni uamuzi ulikuwa umeshapita
 
kuna watu wanaitafuta furaha ionekane kamati imekosea na fei ndio mwenye haki!
 
wamuachie wakati anahudumiwa na mawakili wA simba, walituchezea kwenye kesi ya morrison hawakukoma wamerudia kwa fei lazima hii tabia ikomeshwe isijirudie wanataka mchezAji ghAli kwa bei kiduchu
 
Mchanganuo wa hukumu mbona unawekwa wazi

Hata kesi ya mbowe mbona watu tulikuwa tunajua kila nukta inayoendelea, hata jaji akikohoa tunajua
unajitoa ufahamu. sasa watu hukumu waliipataje? detail kamuombe fei jumatatu utupie gazetini
 
Sio assumption ni fact regarding source iliyoleta taarifa ni trustable

Hayo maswala ya kisheria wala sina shida nayo, hata ikitokea Feisal kashindwa kisheria ni sawa

Ila nacho hoji mimi kivipi swala hili liwekwe gizani?
 
unajitoa ufahamu. sasa watu hukumu waliipataje? detail kamuombe fei jumatatu utupie gazetini
Mi nasema nikiwa na mifano sisemi tu kwakua mimi nataka kuona jambo likifanyika hivyo (wishfully thinking)

Ungekuwa umefatilia kesi ya Morrison usingeandika hivi
 
Geuka mzazi, mkataba uweke pembeni, huyu ni kijana, ujana maji ya moto.
usichotaka kujua ni kwamba kati ya azam na simba wanamtaka fei lakini kwa njia ya figisu, wanapima udhaifu wa yanga, yanga haiwezi kukubali hivyo unabyowaza
 
Sio assumption ni fact regarding source iliyoleta taarifa ni trustable

Hayo maswala ya kisheria wala sina shida nayo, hata ikitokea Feisal kashindwa kisheria ni sawa

Ila nacho hoji mimi kivipi swala hili liwekwe gizani?
giza lipi?hukumu huwa haitangazwi hovyo hupewa wahusika,na kamati imesema hukumu ndio hiyo na mwrnendo wa shauri ambao ndio hutoa sababu kwani uamuzi huo umetolewa hivyo watapewa wahusika jumatatu,sasa hapa kuna giza gani?
 
we jamaa hili neno mchanganuo umelipata wapi? umeambiwa detail na vifungu ni jumatatu, na ukumbuke sio kesi mpya hii ni review ya kesi awali
 
Hoja yangu mimi ni kwanini hiyo hukumu isiwekwe open kila mfatilia soka ajue?

Kuna madudu ambayo TFF imefanya na haitaki watu wayaone kwasababu wataonekana hawajafanya haki?

Mbona kesi za kina Morrison kila kitu kilikuwa wazi?
yaani tff hii ya karia iwe upande wa yanga, acha utani bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…