Kiswahili 👉nakupiga +unanipiga =tumepiganaNakwambia hivi, nimetoa mahari, nnahudumua familia hiyo haibadilishi msimamo wangu kwamba TUMEOANA. Mtoto wa watu kukubali kuishi nawewe unachukua jambo dogo?
Haya mambo Kila mmoja anapeleka anavyoona inafaa. Wewe kama kutumia neno kuoana inakupa ukakasi, tafuta linalokupa furaha.
Kiswahili 👉nakupiga +unanipiga =tumepigana
Umeoa +amekuoa =mmeoana
Is that so?
Anasimama vipi na hana njia ya kipato, hana ajira, ana degree yake tu? Mkewe ana ajira, ana vikoba, hapo bado bosi hajamuelewa akamuweka mjini.Au wengine wanaishi Maigizo , at the bottom Mwanamke ndo Steering wheel wa KILA kitu .
Mwamba akisimama yeye kama yeye inakuwa tatizo . Mvutano hutokea hapo ambao hauna mfano .
Bora anayemtengeneza mume wake kuliko mwizi wa mume wa mtu.Hapo ndiyo mitihani [emoji23][emoji23]unapoanzia kumtu humu alijaribu kuelezea scenario nilishangaa sana ,huwa wanajifanya wajuaji na ufeminist wao mwisho wasiku wanatafuta mwanaume mwenye muonekano hata Kama Hana maisha ndiyo wanaanza kumuhudumia plus kumfungulia miradi hatimae anaolewa nae anaanza kuvimba nae mjini lakini bila hivyo huishia kubeba waume za watu tu na kuzalishwa hovyo hovyo.
Nimejieleza vizuri kwamba naamini katika ndoa ambayo mwanaume anamuoa mwanamke! Na mwanamke huyo (kwa hiari yake) anaamua Kuolewa na Mwanaume.Seems like I overrated you Chief.
Unaelewa maana ya neno kuoana?
Tuanzie hapo kwanza, achilia nadharia zako na hisia zako kuhusu kuoa, kuolewa na kuoana, neno kuoana unaelewa maana yake?
In that scenario kwa nini aliamua kuoa?Anasimama vipi na hana njia ya kipato, hana ajira, ana degree yake tu? Mkewe ana ajira, ana vikoba, hapo bado bosi hajamuelewa akamuweka mjini.
Unakuta mke ana ukwasi mume hana kitu anajikaza tu barabarani na pete yake ya ndoa kila siku akiomba mambo yakae sawa au mke wake asichoke akamkosea heshima na kumuabisha.
Vijana wanapitia nyakati ngumu sana, wengine wanaposema USIOE ni kuwaelewa tu.
Sisi ni wasaidizi wenu tu boss, maana yake hizo kazi ni zenu sisi tunawasaidia tu.
Nimejieleza vizuri kwamba naamini katika ndoa ambayo mwanaume anamuoa mwanamke! Na mwanamke huyo (kwa hiari yake) anaamua Kuolewa na Mwanaume.
The ship must have a captain so in marriage husband is that captain
Umenijibu lakini kimaandiko sisi ni wasaidizi wa wanaume. Na kazi ya msaidizi ni kufanya majukumu ambayo anapaswa mwanaume kuyafanya sisi tunamsaidia tu.Pamoja na kuwa nitakuwa nipo nje ya mada, naamini kuwa Head of Household haina jinsi (sex). Head of Household inategemea na uwezo wa kifedha wa member of the household anaocontribute katika household husika. Kama mwanamke ana uwezo wa kifedha katika hiyo household na ndiye anacontribute lion share, basi yeye ndiye mkuu wa household.
Ndiyo maana ukitaka kujidhatiti katika ukuu wa household, lazima utoe fedha kuliko mtu yeyote katika ustawi wa Household.
Nikija suala la kuoana na kuoa/kuolewa. Hii inatokana na cotribution ya mwanamke katika mchakato wa ndoa. Ukiruhusu mwanamke achangie mahari, hiyo ni kuoana. Ila dume ukivimba na kuhakikisha mahari unatoa wewe hapo unaoa.
Kuhusu usafi wa nyumba na kupika, si kazi za Head of Household. Nadhani nimekujibu Hannah
Msaidizi hupangiwa kazi. Makamo wa Rais na Waziri Mkuu ni wasaidizi wa Rais, hivyo Rais anawapangia kazi. Na kama mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, mwanaume anampangia kazi za kudeki, kupika na kufua nguoUmenijibu lakini kimaandiko sisi ni wasaidizi wa wanaume. Na kazi ya msaidizi ni kufanya majukumu ambayo anapaswa mwanaume kuyafanya sisi tunamsaidia tu.
Kwa hiyo kazi ya kuosha vyombo.kupika, ni za mwanaume haijalishi anatengeneza shingapi ila sisi tunawasaidia tu.
Hivyo msijisahau.
Naomba nichangie mifuko ya cement 50 na lori moja la kokoto kwa ajili ya ujenzi wa sanamu lako [emoji119]Acha niwe wife material niendelee kufaidi huduma za huyu baba jaman kuliko kujitutumua kushindwa kumnyenyekea halali yangu nianze kuvamia ndoa za watu nizae kila mtoto na baba yake kisa tu nimeshindwa kuwa mtii kwa mme wangu ambaye Mungubamemfananisha na kanisa mpaka kamuita kichwaaaa......nawashangaa wanawake wanaoshupaza shingo kujidai super women huku wanavizia waume za watu wanaanza kupata mb** za foleni!!! Ndoa Ina raha yake bhana,watt wanafaidi kuona baba na mama mnaishi pamoja!!!
kuna sehem flan nilitembelea; kule mwanamke akiachika anatengwa na familia(hatakiwi kuwa karibu na wadogo zake wa kike)Feminist wengi ni mishangazi wameachika wanawarubuni mabinti wadogo wanao chipukia , kwahiyo hii inapelekea ongezeko la single mom kila kukicha .Mim nilishasema mwanamke kama nimekutolea mahari jua kabisa mfumo dume utakuhusu, siwezi kukubali kuharibu future za watoto kwa ujinga huo wa feminists
ukweliKumbe unafanya hvyo ili uendelee kufaidi huduma za huyo baba. Sasa unajua tatizo lilipo? Tafuta pesa zako mwenyewee ili ujihudumie, acha kuhudumiwaaa.Acha niwe wife material niendelee kufaidi huduma za huyu baba jaman kuliko kujitutumua kushindwa kumnyenyekea halali yangu nianze kuvamia ndoa za watu nizae kila mtoto na baba yake kisa tu nimeshindwa kuwa mtii kwa mme wangu ambaye Mungubamemfananisha na kanisa mpaka kamuita kichwaaaa......nawashangaa wanawake wanaoshupaza shingo kujidai super women huku wanavizia waume za watu wanaanza kupata mb** za foleni!!! Ndoa Ina raha yake bhana,watt wanafaidi kuona baba na mama mnaishi pamoja!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchunguu huu.Wanaume pia wamepungukiwa uwezo wa kuoa. Wengi hawana uwezo huo, wanaweza kuoana au kuolewa. Wanawake wameweza kutafuta kipato kuliko baadhi ya wanaume, maofisini wanawake wamepewa nafasi nyingi za ajira ilihali wanataka kuolewa, wanaotakiwa kuwaoa wapo mtaani wanabeti. Huko tunakoelekea huenda wanaume watatolewa mahari na kutunzwa ndani.
Kama kazi za kupika, kuosha Vyombo, kufua,kudeki ndani ni kazi ya mwanaume kunaulazima gani wew uingie ndoani Kama hata majukumu yako tu huyafahamuUmenijibu lakini kimaandiko sisi ni wasaidizi wa wanaume. Na kazi ya msaidizi ni kufanya majukumu ambayo anapaswa mwanaume kuyafanya sisi tunamsaidia tu.
Kwa hiyo kazi ya kuosha vyombo.kupika, ni za mwanaume haijalishi anatengeneza shingapi ila sisi tunawasaidia tu.
Hivyo msijisahau.