DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Je wana kipunguni wamelipwa au n wewe umetumwa kuwadanganya ili wawe na matumaini ? Picha na nyaraka asaini mwingine halafu eti waje wengine ! wadanganye wajinga sana .
 
Sasa uyo unae mwambia haya YY ndio kiboko kwa rushwa.kama hujui
 
Wananchi wa kipunguni ukonga wapo ktk Ari mbaya Sana. Nahuku waziri wa fedha akiaidi bungeni mara Kwa mara kuwalipa lakini hatekelezi haadi yake. Muda unazidi kwenda wananchi wanateseka. Sasa mheshimiwa Rai's mama Samia wasaidie wananchi wako. Maana watu ulio wapa nafasi wamekua wahongo Sana. .
Na kushindwa kutekeleza majukumu Yao. Wananchi hao Sasa inapata miaka ishirini na 24 toka wafanyiwe tathimini hiyo hawalipwa.
 
Naunga mkono hoja Kipunguni bila Rais kuingilia watalipwa baada ya miaka hamsini. sijui wafanyeje maana waziri wa fedha na mbuge wamewauza wananchi. Wanasheria wa eneo hili wajipange kwenda mahakamani.
 
Kwani huko Kipunguni kulitokea nn? Au nn serikali iliwapora wananchi?

Tuwekee maelezo hapa ili tuwasidie kuikumbusha serikali (siyo kila mtu humu ni wa Kipunguni)
 
Mi nashauri serikali iachane na utaratibu wa kulipa fidia badala yake iwe inajenga nyumba wananchi wanaishi Kama ilivyo ulaya apo akutaku Tena na malalamiko ya kudai fidia
 
Tuliwaonya watu wa kipunguni mapema sana kwamba , Shetani hana rafiki , walitupuuza na wakaendelea kukenua meno , kiko wapi sasa?
 
Well done govt

Mwenyekiti tutaonaana tena milleleleee
Wananchi ndioo mabosiwako ona na uanachama ouuuuuut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…