Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Je wana kipunguni wamelipwa au n wewe umetumwa kuwadanganya ili wawe na matumaini ? Picha na nyaraka asaini mwingine halafu eti waje wengine ! wadanganye wajinga sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa awaripe na apunguze uhongo maana ari za wananchi ni mbaya mno.Mwiguru uwaripe tafadhari
Tuliwaonya watu wa kipunguni mapema sana kwamba , Shetani hana rafiki , walitupuuza na wakaendelea kukenua meno , kiko wapi sasa?Wananchi wa kipunguni ukonga wapo ktk Ari mbaya Sana. Nahuku waziri wa fedha akiaidi bungeni mara Kwa mara kuwalipa lakini hatekelezi haadi yake. Muda unazidi kwenda wananchi wanateseka. Sasa mheshimiwa Rai's mama Samia wasaidie wananchi wako. Maana watu ulio wapa nafasi wamekua wahongo Sana. .
Na kushindwa kutekeleza majukumu Yao. Wananchi hao Sasa inapata miaka ishirini na 24 toka wafanyiwe tathimini hiyo hawalipwa.
Well done govtKwako Waziri, nilikuwa nasikiliza majibu ya kwanini pesa za malipo ya kipunguni hazijalipwa. Nikujuze tu kuna upigaji wa kutosha maeneo kadhaa
1. Kuna watu ambao walishalipwa huko nyuma kwa kupewa viwanja, hawa baadhi yao wapo na waliendelea kuwepo naamini mnadili nao vizuri.
2. Katika hawa wapo ambao walihama mazima baada ya kusikia kuna malipo wakarudi kufwatilia viwanja vyao wakakuta vina majina ya watu wengine wametoka wapi wanajua. Mwenyekiti kipunguni huyu anajua uchafu wotee hapa mbaneni atawajibu
3. Wapigaji wa tatu ni wasimamizi wa marehemu mmiliki aliefaiki.
i. Hawa wengi wapo hawakuwahi kupeleka ama kufungua kesi mahakamani lakini wamepeleka majina yao na ac zao za bank malumbano ama migogoro uliosema haiesabiki.
4. Upigaji wa nne ni wa wasimamzi pia wahusika wa familia wengi mpaka sasa hawakuwahi kuonyeshwa kiasi cha pesa wanachipata. Pesa kamili wanazijua wasimamizi na hii imeongeza migogoto mingi isiyo na tija.
5.i.........
Kipunguni mmelipwa ?Well done govt
Mwenyekiti tutaonaana tena milleleleee
Wananchi ndioo mabosiwako ona na uanachama ouuuuuut
HahahaaaabadoosanaaaaaatuKipunguni mmelipwa ?
kicheko cha Malipo hicho , Hongera sana , Mama anaupiga mwingiHahahaaaabadoosanaaaaaatu
Kuna pesa huko za kumwagq,wai kaandikishe jina lako upokee mkwanja mrefu!!Kuna nini huko kipunguni