Umeona enh!!!Faraja kwenye familia ni jambo la mtambuka,,, mnaweza mkatimiza akidi na bado faraja ikawa kizungumkuti..
Sema wazazi wote wakiwepo mtoto anapata kusoma maisha kwa vitendo.
Kuwa challenged na kupangiwa ni vitu viwili tofauti!Wanahaki ya kuchallenge maamuzi yangu since nimeamua kushare kwao kwenye hii forum, ntakua sio muungwana kutokubali challenge zao ndo maana najitahidi kuzijibu
Kukataliwa na kutopendwa ni vitu viwili tofauti...Uwe na hela mingi, wanawake wakukatae[emoji848] so Kweli kuna harufu ya upigaji hapa.
Uvuvi haramu unafanyika.
Yes Niko sana honest may ndo weakness unajua wanawake wanapenda wanaume ambao sio honest nikimaanisha inabid utumie uongo ili uweze kupata mwanamke hiki kitu siweziIla mwanaume naye akiwa too honest nako kunafikirisha 😂😂😂
Mim vyote vilikua vinanikuta nakataliwa na sipendwi at the same timeKukataliwa na kutopendwa ni vitu viwili tofauti...
Ukiwa na pesa, chance ya kukubaliwa ni kubwa... the question is: unakubaliwa kwavile unapendwa au unakubaliwa kwavile una pesa!!
'
Mwamba anatafuta kupendwa...
Kukataliwa kunajulikana, but how do you know kwamba hupendwi?!Mim vyote vilikua vinanikuta nakataliwa na sipendwi at the same time
Don't try to figure out what's about life but rather fall in love with something and do it repeatedly. Don't ever try because none ever figured out what's life is.@keisangora Ahsante, shukran Mkuu.
Maneno umeyatema kwa ukuu wa ufahamu wako Mwalim.
Hivi sasa ni saa 11:20 pm nimesoma maneno yako mara kadhaa nakahisi faraja kwa yanayonikuta. Kwangu imekuwa sababu ya kujipa moyo na kuacha kutafakari malimwengu.
Mimi nalala. Akipenda Mungu kuniamsha salama nahakika nitaamka mpya keisangora.
Mungu aibarike JF na lejendi kama wewe mkuu.
"Am always look for less still I don't get, my expectations was very low but it doesn't help me" sometimes love sucksKukataliwa kunajulikana, but how do you know kwamba hupendwi?!
Shaka yangu ni kwamba, isiwe ikawa you're looking for too much...
Kwamba, mapenzi ya kideo...
Fantasizing what a real love is...
Ila mkuu kuna kitu kimoja bado kinanishangaza,yaani wewe uwe na uwezo wa kulipia huduma ya gharama ya milioni 70 halafu ushindwe kupata mwanamke?hii inafikirisha sana,maana ninachojua wanawake wa siku hizi wakikuona una uwezo wa kipesa huwa wanajirengesha wenyewe tu bila hata kuwatongoza,sasa upande wako hii inashindikana vipi?Swala la vigezo nilishaliweka pembeni lakin still mambo yakawa magumu kwenye maisha tunaweza lazimishwa kutafuta ela tukafanikiwa lakin sio kwenye mapenzi Yale hayalazimishwi msingi wake umejengwa kwenye hisia
Kumbuka na mwanamke ana uhuru wa kukataa siongelei prostitute hapana naongelea mwanamke wa kufanya nae maishaHii chai ya mchana, haiwezekani uwe na pesa kiasi cha 70M halafu ukose pisi kali.
Kwa pesa hiyo mbona unajichagulia yeyote unayemtaka
Anything is possible under the sun and remember life is full of suppriseIla mkuu kuna kitu kimoja bado kinanishangaza,yaani wewe uwe na uwezo wa kulipia huduma ya gharama ya milioni 70 halafu ushindwe kupata mwanamke?hii inafikirisha sana,maana ninachojua wanawake wa siku hizi wakikuona una uwezo wa kipesa huwa wanajirengesha wenyewe tu bila hata kuwatongoza,sasa upande wako hii inashindikana vipi?
Kwani mkuu una kasoro gani mpaka uhangaike hivi, labda kuna kitu hujaweka wazi kinachikufanya ukataliweKumbuka na mwanamke ana uhuru wa kukataa siongelei prostitute hapana naongelea mwanamke wa kufanya nae maisha
sio rahisi mkuu labda awe amerogwa tena sio uchawi wa kawaida labda ule wa kutoka Gamboshi.Anything is possible under the sun and remember life is full of supprise
Kama marehemu Remmy Ongala alishikilia rekodi ya mtu mbaya namba moja Tanzania na alioa mzungu itajuwaje kwa watu wengine wa kawaida[emoji3][emoji3][emoji3]sio rahisi mkuu labda awe amerogwa tena sio uchawi wa kawaida labda ule wa kutoka Gamboshi.
Ndio hicho kitu ninachowaza na mimi maana sio kawaidaKwani mkuu una kasoro gani mpaka uhangaike hivi, labda kuna kitu hujaweka wazi kinachikufanya ukataliwe
Wanawake wa Tanzania punguzeni njjaa na poor mindset. Milion 70 ni kama Dola 34,000 unadhani hiyo hela hakuna watanzania wanayoweza kuiteketeza Kwa starehe Tu ?Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma
Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, [emoji23][emoji23][emoji23] surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
Watoto wa Christiano ronaldo wale Mapacha Walipatikana Kwa surrogate Wana maisha mazuri kuliko mamilion ya watoto duniani wenye wazazi wote wawiliTatizo la kujifikiria wewe tu ,, em ungefikiria watoto jamani.....
Afu pia maisha huenda na mtazamk wako mie nakuona unamtazamo mibaya yaan ile unajiona unaonewa au hawakutaki
Em jiamini kawatafutie mama watoto wanyonye bhana