Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Nimesoma comments zote ila sijaona jibu la swali unaloulizwa kuwa umefanyia wapi? bongo au nje?
Hospital gani? Gharama kiasi gani? Nini kinahitajika to process.
Maana watu labda wako interested na kutaka kufata nyayo zako.
Anakwepa maswali ya msingi.
 
Em tuone sura yako ndo tuchangie mada
 
Mim napenda Ila nakataliwa
 
Umerogwa au haya ni maigizo yako km mmoja aliekwambia kuwa unaangalia movie then unajifanya ndo wewe,

Tanzania hii huwezi kosa mwanamke full stop

Kuhusu ushoga ujumbe unawahusu wale wanaochukia wanawake,
Mim nimekosa ndo maana nikaamua kutumia surrogate kujenga familia unaweza usiamini Ila ndo uhalisia na ukweli wewe mwenyewe mwanaume usiyekua na hisia naye huwez mkubali
 
Mim nimekosa ndo maana nikaamua kutumia surrogate kujenga familia unaweza usiamini Ila ndo uhalisia na ukweli wewe mwenyewe mwanaume usiyekua na hisia naye huwez mkubali
Gharama ni shilingi ngap mbona hujibu hili
 
No matter how brave you are huwez lazimisha upendo ndo maana hata Mungu hakumlazimisha adamu kumpenda kama hupendwi hupendwi tu
 
Kwahiyo wanawake ni stress?

Nyie wanaume mna matatizo sana nyie [emoji848][emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji14]
 
Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.

Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
binadamu wote wamepewa uhuru wa kuchagua maisha atakayo kuishi, wewe kama mtoto sio kipaombele basi ni vizuri, sisi wengine watoto ni kipaumbele
 
Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.

Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
@kiranga we una watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…