Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Sawa mim ni ngumbaru nilishakuja kukulia shida mim siwez kukudharau sababu sikujui na sijafundishwaga kumdharau mtu nisiyemjua
"Sijafundishwaga" wewe ngumbaru wakuja.

Ndiyo maana wanawake hawakutaki.
 
Weka picha!!
 
Sasa hao mapacha wasio na mama unalea saa ngapi Mkuu maana uzi unatembea tu 🥴
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake
Yai lilikuwa la mwanamke huyo huyo au mwana.ke mwingine tofauti.
 
Haya mambo yanafanyika ugaibuni TI sasa kama umekosa mwanamke ughaibuni basi utakuwa na gundu maana huko wamejaa tele
Inawezekana ntakua na gundu sababu Kuna Wanaume wanaliliwa na mwanamke zaid ya mmoja
 
Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti

Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Jamani mbona Mimi napigwa vibuti Kama wewe si ungesema mapema tuyajenge!hiyo m70 tungeanzia Maisha ya Raha mustarehe
 
Jamani mbona Mimi napigwa vibuti Kama wewe si ungesema mapema tuyajenge!hiyo m70 tungeanzia Maisha ya Raha mustarehe
Unaweza ingia mahusiano na mwanaume usiyemjua at the same time huna hisia nae ni ngumu
 
Ambao hawajaumizwa na comment yangu ni wazi ndo wanaume, kama wewe mjuni,,

waliobaki ni wanawake wenzetu wenye mikia
Nimependa ulivyofunguka, Mwanamke halisi ni lazima akasirike anapoona mwanaume asiyetamani wanawake. You are for real!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…