Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Watanzania mna shida sana hivi kwani mim ndo wa-kwanza kufanya surrogate kwa taarifa yako kufanya surrogate hakuna uspecial wowote mim sio wa kwanza wako watu kibao wamefanya
Umekuwa biased, nilichoandika. Wewe umenasa tu u special. Keep it up
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake
Kwa hiyo ulifanya nae mapenzi eeeh?
 
Tatizo lako una-generelise mambo Kuna watu Wana damu za kunguni mkuu wanawake Hata hawawatamani mim ni mmoja wapo siwez jisifia kama wanawake wananipenda huo utakua uongo

Tokea nizaliwe hakuna mwanamke ambaye alinikubalia wote walinikitaa we unataka nifanyaje
Utakuwa unachagua mno na hujajua maisha. So Kama ulitaka kuwa mjeda ikashindikana kwani huwezi ukawa ticha ama mmilili wa retailer shop or ukamiliki bustani na ufugaji wa kuku na maisha bado yakaenda. Ama utakufa unalilia kuwa wewe ulitaka ujeda. Kwa iyo siwi ticha Mana bado nitakuwa nateseka na ujeda. Eti watu wapo kwenye ndoa Ila bado wanaenda kwa ma ex zao. Sasa unadhani wewe ndiye utakayeibadalisha dunia. Yaani umeikuta ivi ivi unavyoiona na utaiacha Ivyo ivyo ulivyokuita. Nothing new under the sun.
 
Kuna mahali popote nimeiponda ndoa ebu nionyeshe
 
Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma

Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, 😂😂😂 surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
 
Kwani una tatizo gani bro mpaka ukataliwr namna hiyo..maana siamini Kama una damu ya kunguni
Inatokea haya mambo ya kukataliwa yapo unajua huwez lazimisha mapenzi ukilazimisha kwa ulimwengu huu wa social media utaumia sana
 
Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma

Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, 😂😂😂 surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
Mimi sio shoga na sijawahi kuwa advocate wa ushoga na sitakaa niwe au kusuport ushoga am straight man

Sichukii wanawake na sitakaa niwachukue wanawake yes wamenikataa ila naheshimu maamuzi Yao sababu wanao uhuru wa kumkataa au kumkubali mwanaume na hata ukiangalia kwenye uzi hakuna sehemu yeyote niliyoponda wanawake au ndoa
 
Huu uzi wanawake wote wanapaswa kuja kuusoma na kujifunza kitu. Maana wamezidi kuringa na sasa ndiyo kabisaa wamegeuza mapenzi kama eti ni kitega uchumi. Umemmiss uunataka kwenda kumwona mara anakwambia umwendee na elfu ishirini ya kusuka, mara hela sijui ya lotion. So tired,.. bora kutafuta tu surrogate maisha yaendelee
Wanawake wana uhuru wa kukataa Wanaume ambao wanawatongoza, sio vizuri kuwatuhumu kwamba wanaringa ni kuheshimu maamuzi yao
 
Inatokea haya mambo ya kukataliwa yapo unajua huwez lazimisha mapenzi ukilazimisha kwa ulimwengu huu wa social media utaumia sana
Nina ndugu yangu yeye sio kukataliwa ila yeye ndo hapendi wanawake.... Kuna ndugu wengine walioa wanawake sio...vitimbi chuki ndo zao.... nadhani vilimuathiri na akaona akipata mke anaweza kuishia kuwa na tabia zile zile.....

Sishangai njia hii ni nzuri. Swala la uwezo lipo juu ya muhusika as long as hajaomba msaada katoa ushuuda tu
 
Kuna mahali popote nimeiponda ndoa ebu nionyeshe
Sijui tuache ligi. Ila uliponda kuwa watu wanaingia kwenye ndoa Ila bado wanaenda kwa ma ex zao. Hili lipo hata ungeoa anayekufanya usilale.
Na hapo nilikuwa nakupa Kama ushauri kuwa Kama ulitaka kusomea Sheria ikashindikana kwani huwezi somea uhasibu na bado maisha yakaenda. So haikutakiwa ukomae kuwa una damu ya kunguni.
Sidhani haya wanawake wanaowapa wanaume hela watoe mahari kwao ili wawaoe.

Pia uelewe hakuna siku ambayo Mambo yatanyooka kila kitu kiwe kwa mstari Kama unavyotaka.
You've to embrace the reality of the life how it's and not how do you want it to be according to your perception.
 
Nionyeshe huo uzi au comment ambao ninaponda ndoa sababu nikama unanlisha maneno

Hao wanawake wanaowapa mahari Wanaume wawaoe wana-hisia nao, mwanamke kama hana hisia na wewe hawezi kukupa mahari ukamuoe
Mfano reality ya maisha kila ukitaka kufanya jambo flani linagoma solution ni kuangalia plan b, uwezi stick na plan ambayo it ain't working
 
Mimi sio shoga na sijawahi kuwa advocate wa ushoga na sitakaa niwe au kusuport ushoga am straight man

Sichukii wanawake na sitakaa niwachukue wanawake yes wamenikataa ila naheshimu maamuzi Yao sababu wanao uhuru wa kumkataa au kumkubali mwanaume na hata ukiangalia kwenye uzi hakuna sehemu yeyote niliyoponda wanawake au ndoa
Umerogwa au haya ni maigizo yako km mmoja aliekwambia kuwa unaangalia movie then unajifanya ndo wewe,

Tanzania hii huwezi kosa mwanamke full stop

Kuhusu ushoga ujumbe unawahusu wale wanaochukia wanawake,
 
Nimesoma comments zote ila sijaona jibu la swali unaloulizwa kuwa umefanyia wapi? bongo au nje?
Hospital gani? Gharama kiasi gani? Nini kinahitajika to process.
Maana watu labda wako interested na kutaka kufata nyayo zako.
 
Nionyeshe huo uzi au comment ambao ninaponda ndoa sababu nikama unanlisha maneno

Hao wanawake wanaowapa mahari Wanaume wawaoe wana-hisia nao, mwanamke kama hana hisia na wewe hawezi kukupa mahari ukamuoe
Mfano reality ya maisha kila ukitaka kufanya jambo flani linagoma solution ni kuangalia plan b, uwezi stick na plan ambayo it ain't working
Thanks mkuu. I count him braver the one who conquer himself.This is greatest victory must be desired to be achieved in this planet.
If I allow my enemy to enter into my mental space the battle is already lost.
Kikuingiacho hakikutii unajisi Bali kikutokacho.
Kama yai likivunjika kwa external force life ends but if breaks by internal force the life continues. Kikutokacho kina nguvu mno kuliko kikuingiacho. Masihi hakukosea.
 
Mimi bhana, sina damu ya kunguni lakini dah, hakuna jambo ninaloona gumu kama kuishi na mwanamke!

I'm too old now but sijawahi kabisa kuishi na mwanamke kwa staili ya kupika na kupakua! Sipendi kabisa kitu kinachoitwa stress maishani mwangu, na hususani stress za kitu kinachoitwa mapenzi.

Nahisi mwili wangu umegoma hata kuzeeka kwa sababu upo free from useless stresses!

Uzi wako ni muhimu sana kwa watu tusiotaka makorogesheni ya kitu kinachoitwa mapenzi!!
Binamu hata wewe
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake
Sasa Unasemaje Wanawake wanakukataa wakati kuna Huyo!?
 
Back
Top Bottom