Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

Maongezi ya watu ama bongo za binadamu Ni Raha tu wewe cheki hapa jukwaani nyuzi zenye wadau wengi ama bongo nyingi Ni betting nayo Ni Aina fulani ya uraibu Mana ukifaulu unajisikia Raha mno,Simba na yanga,cdm vs CCM.
Yaani kubeti mpira Ni Aina ya kilevi nacho huwa kinafanya mtu anajisikia Raha mno Ni sawa na kula cocaine,bangi, heroine,sigara,kahawa,cola , chocolate zinazo caffeine ambazo Zina trigger your limbic brain unajisikia Raha mno.
Pia na kamari unajua utafanikiwa pasipo kufanya kazi Mana kufanya kazi Kuna maumivu na binadamu hapendi na anakwepa maumivu kwa Hali na Mali ingawa anapenda kitu ambacho Ni matokeo ya maumivu.


So hapa waganga wa kienyeji, wachungaji,wanasiasa,wamiliki wa casino ama betting industry inawatumia uvivu wao Kama mtaji wao yaani unahaidiwa kuwa utafanikiwa pasipo kufanya kazi Hawa watu wote ndio njia zao za kupata pesa zimejikita,

Hujawahi jiulza why wenye dini wao kwenye ibada wanakalia viti vizuri vyenye sponchi so takoo zako haziumii Ila wewe upo kwenye benchi unaumia.


Pia muumini ukiwa na shida unapigwa maombi unaambiwa kuwa na Imani utapokea Ila hao wenye dini wakiwa na shida mzigo unakuja kwenu waumini mtajichanga hata mwaka mzima Ila lazima mchungaji ama padri awe na gari take, nyumba yake.

Watawa mfano wa rc hawajawahi uza gari wanazotembelea watumie usafiri wa umma halafu zile hela zikasaidie wengine.


Ila uwekezaji kwenye stocks market or speculation is another game yaani sio Cha race, religion, height, weight,shape, smartness,iq, education,your background,no back up,no connection,Hakuna Cha refa,Hakuna kuwaibia watu,no maneuvering of people's mind,yaani bana hii Ni biashara huru kabisa you can make millions of dollars In an embarrassing short period of time but bear it in your mind the SKILLS AND CAPITAL needed to accomplish that shiti isn't an easy thing to acquire. Yaani hii game bana Ni sio discriminator hata kidogo
 
Ushauri huu unatolewa nchi ya kimasikini kama Tanzania.
Juta kuzaliwa Tanzania juta kuzaliwa Afrika
Unafikiri ungetolewa wapi zaidi ya Tz ambako bado haijazoeleka watu kutoboa kwa vipaji vyao, huku vipaji hivyo vikisababisha wengine kuishia kufa masikini.!?
 
Forex it's not for overy one
Umeishindwa kaa kimya
 
Hii ni link na share ya video ya BBC YouTube haya makampuni ni ya kitapeli yalifadhili hadi timu za mpira wa miguu. Forex hailipi nendeni mkafanye research ya jinsi ya kuwa trader wa New York stock exchange what it takes.It is not easy, from what I know kuna watu walitajirika na forex huo ilikuwa enzi hizo miaka ya themanini ambapo ulikuwa unafanya reading kwa kupiga simu. Enzi hizo watu walikuwa wachache wanafanya trading. Sasa hivi traders ndio mnakuwa mtaji badala ya mwekezaji kwa kampuni.

 
Asikudanganye mtu.. Ni bora betting kuliko forex.... Hiyo forex ni zaidi ya izo candlestick mnazojisomea... NDIO MANA WOTE WANAOJIITA PROFESSIONAL TRADERS WANANGANGANIA KUFUNDISHA WATU.
 
Mkuu hawawez elewa... Na nilichogundua wanasema hakuna anaeweza endesha market... Kumbe big sharks wanaweza amua market iende vipi (tofauti na study za candlestick na news) na hapo mtu aliejisomea candlestick lazima ale za uso
 
Unajua hili tatizo la r na l watu kutoka nyanda za juu kusini kwatu limekita mizizi na samaki mkunje bado akiwa mbichi
Najua kabisa lipo. Ila linakuwa kwenye matamshi na siyo kuandika. Mimi nikisikia mtu ana hili tatizo kwenye matamshi wala simlaumu kwani hata mimi lugha mama yangu kuna maneno ya kiswahili kuyatamka ni changamoto. Ila ndugu yangu kwenye kuandika huwa tunajifunza shule. Hata kiingereza kuna watu kama wahindi wana matamshi mabovu sana lakini hawaandiki maneno ya kiingereza tofauti.
 
Umeshapiga million ngapi huko Forex πŸ˜€
 
Mwenye masikio, amesikia
 
Wana-trade nini?
 
Trading haiwi rahisi sababu watu wanaofanya ni wachache au wengi .
Ugumu wa soko uko tangu kitambo.

Ukitazama macro chart ya currency(chart ya miaka zaidi ya arobaini) mfano EURUSD au GBPJPY utaelewa kwamba market hakuna wakati imewahi kuwa nyepesi na kamwe haitakuja wakati ikawa rahisi asilimia za wanaofanikiwa na wanashindwa zitaendelea kuwa hivyo hivyo miaka nenda rudi sababu asilimia kubwa ya watu hawana ufahamu au saikolojia,bidii itayopelekea wanaofanikiwa wawe wengi kuliko wanaoshindwa.

Sadaka ya kuwa winner ktk hii biz hailezeki ,pia inahitaji uwe umejaaliwa tu ufahamu wa kuweza elewa hiyo biz.Kuna watu wengine hawawezi wakaja kufanikiwa hata wafanye Kwa miaka 20 au zaidi.

Si kila mtu anaweza kufanikiwa ktk biashara fulani.Mfano si kila mmoja atakayelima vitunguu anaweza fanikiwa,si kila atayefuga kuku atafanikiwa .Mafanikio yanaenda na jitihada ,kujifunza ktk makosa na pia kujaaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…