Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

Sawa mkuu.
Ngoja nikimalizana na ujana na takataka zote nikitulia nijifunze. Nitakuletea mrejesho au sio?

Hata Deci, Kalynda, Mr. kuku, Qnet na network marketing kuna watu walipiga hela that doesn't mean sio pyramid scheme. Kwenye pyramid wale wajuu watapata tu wakati wengine wakiuziwa ndoto, however more power to you Mkuu unapoenda kujaribu. Good luck
 
Na kweli dear Mimi na uvivu huu nshafeli

Bora wewe una uvivu. Mimi napenda umbea.
Nikiwa free naanza kwa Mange, nikitoka naenda Insta, nikitoka naenda YouTube halafu naenda tiktok hadi bando liishe.

Kwa namna ninavyoona vijana wa forex wanavyosoma kila ukimkuta ni ma candles tu nikajisemea hapa nisipoacha umbea hii ngoma sitaiweza.
 
Mfano mimi na girlfriend wangu tulikopa 250k USD September 2022. Tukanunua Fantom crypto ambapo wakati huo ilikuwa 0.15 usd tukapata fantoms karibu 1 million usd. February mwaka huu fantom ilipanda hadi 0.65 tukapata faida ya 294 k usd.

Sasa fikiria uwekeze Sijui dollar 500,1000 hata elfu tano tu unarisk. Ndo maana kina kajamba nani wanalia.

Crypto inalipa ukiwekeza hela nyingi sana.

Ila jamii ya black Americans crypto imewafelisha sana.

Na uhakika hadi mwezi wa nane fantom itaenda juu ya 1$.
Na ni uhakika pia inaweza collapse kabisa
 
Hata Deci, Kalynda, Mr. kuku, Qnet na network marketing kuna watu walipiga hela that doesn't mean sio pyramid scheme. Kwenye pyramid wale wajuu watapata tu wakati wengine wakiuziwa ndoto, however more power to you Mkuu unapoenda kujaribu. Good luck

Mwanzo mimi nilikuwa mbishi sana kuhusu Forex sana. Tena nadhani hadi nyuzi za kumnanga ontario nilikuwa nachangia kumnanga kisawasawa.

Ila akili ilikuja kubadilika wapi? Kuna watu ambao nawajua, na sijawajulia mitandaoni nawajua ni kama familia ya karibu. Wamemaliza chuo hamna ajira wakajifuza na bado wanajifunza ila wanaendesha maisha yao kwa hiyo hiyo forex hawana kazi nyingine.

Na ninavyokwambia hauwezi kuwakuta mtandaoni wanaandika chochote kuhusu forex. Hawafundishi wao ni kusoma na kutrade tu. Sio matajiri ila wanaendesha maisha yao. Wanalipa kodi na wanakula na wanavaa siku zinaenda.

Hawa ndio wamenibadilisha mtazamo niliokuwa nao juu ya forex.
 
Yani hayo maneno "ukombozi wa fikra" nimeanza kuyasikia siku nyingi kweli ila hayana impact chanya yoyote.

Tanzania ukisoma sana unaishia kuwa mwizi, usiposoma unakuwa fukara wa kutupwa! Na ukisoma kidogo unapata kakibarua!

Hapo ulipo unahimiza watoto wasome ilihali wewe huna unachonufaika na kusoma kwako, himiza watu kusaka hela TU wawe matajiri
Kuanza darasa la kwanza hadi na maliza chuo ni miaka 17 sijui mtaani kukoje. Nimekuja mtaani maendelea na hatua niliyo piga ndani ya miaka 2 inazidi ambaye ame pambana ndani ya miaka 15

Jamaa zangu wamesoma na kusota kitaaa miaka mitatu hadi minne walivyo pata job mwaka mmoja mbele hagusiki yuko mbali kimaendeleo kumzidi aliye mtaa miaka 30 na wapo private usije sema wanaiba kodi za wananchi
Elimu ni muhimu ila inategemeana umesoma nini ila kwa upande wetu Accoutant kutoboa ni dakika tu kama kufunua panzia
 
Mwanzo mimi nilikuwa mbishi sana kuhusu Forex sana. Tena nadhani hadi nyuzi za kumnanga ontario nilikuwa nachangia kumnanga kisawasawa.

Ila akili ilikuja kubadilika wapi? Kuna watu ambao nawajua, na sijawajulia mitandaoni nawajua ni kama familia ya karibu. Wamemaliza chuo hamna ajira wakajifuza na bado wanajifunza ila wanaendesha maisha yao kwa hiyo hiyo forex hawana kazi nyingine.

Na ninavyokwambia hauwezi kuwakuta mtandaoni wanaandika chochote kuhusu forex. Hawafundishi wao ni kusoma na kutrade tu. Sio matajiri ila wanaendesha maisha yao. Wanalipa kodi na wanakula na wanavaa siku zinaenda.

Hawa ndio wamenibadilisha mtazamo niliokuwa nao juu ya forex.

Safi Sana, good for them. Ukiingia huko tread carefully usije anzisha uzi wa majuto 😀. Kila la kheri mkuu
 
Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course moja tulio soma BAF inaitwa international trade ndani yake kuna forex, so haikuwa ngumu kwangu haikuwa ngumu sana kuelewana na ONTARIO.

Moja ya mifano aliyoitajija Ontario ni kijana huyu sandile shezi kutika south africa nikamfuatilia sana, nikaona interview zake alivyo acha chuo nakujiunga na forex na kutoboa kichwani mwangu moto uliwaka zaidi nikaona maisha si haya naenda kuyapatia

Nikajikita kusoma na kufungua demo account kama njia ya kujifunza pia nikawa mdau sana wakusoma vitabu vya kiyosaki, trump n.k hivi na soma hadi leo. Nikajiunga na magroup ya whatsapp na telegram nikawa member wa Ontario si unajua tena pesa ndugu zangu. Sikuwai kufungua real account cos nilikuwa na maisha yakuunga unga sana baada ya kumaliza chuo nikaona ngoja nijipe muda, nikaanza kuona wadau wanaanza kulia kuhusu Ontario kengere ikagonga kichwani nikabidi niwe ndugu mtazamaji tu. Nikaja jifunza kwa Robert kiyosaki usingie kwenye biashara ambayo hauwezi ku-control mtaji wako hasa forex hata kama biashara ina uhalisia ukiona hauwezi control capital tako achana nayo kupoteza ni dakika sifuli toka hapo nikapiga chini.

Sasa kijana huyu kutoka south anatafutwa na polisi na inasemakana ameitelekiza familia yake na hajulikani alipo na amekimbia na pesa za watu.

Ndugu zangu wana chuo hakuna pesa ya haraka haraka maisha ni mapambano leo ni mwaka sita toka nimalize chuo hata tobo bado sijalipata na BAF yangu, sio kwamba kichwani ni mweupe kwenye caree yangu najua sana cos huwa na zifungia kampuni binafsi mahesabu na kuwasaidi kwenye masula ya kodi TRA

NOTE: Vijana someni someni shule ndo mkombozi achana na forex japokuwa ni biashara halali ila usijingize kuendesha maisha yako itakuletea matatizo , muda unatumia kujifunza forex kajifunze kutengeza bajaji/ pikipiki na carpenter huku unasubilia ajira kutoka kwa government

Umemaliza chuo na bado unaandika ''machachali'', ''kengere'', ''sifuli'', etc?
 
Kusema forex ni gambling inaonyesha jinsi usivyo na uelewa kuhusu forex trading.
Kusema forex ni get rich quick scheme inaonyesha jinsi usivyo na uelewa kuhusu forex trading.
Wengi mnaijulia forex kwa kuhadithiwa au kwa kusoma articles kwa vidampa ambao ni online writing freelancer hawana ujuzi wala hawajawahi kutrade wanatafuta tu contents za kunasa vidampa wengine.
Tembelea fxstreet, myfxbook, bloomberg ukutane na Professional Traders uone wanavyoizongumzia forex ndo utajua hujui.
This is something Proffessional na wengi ukiwasikiliza utasikia I have been trading forex for 7, 10, 15 years we una muamini mtu ambaye kaielewa demo ana maneno ya kukushawishi unaingia kingi afu unakuja hapa kulialia hapa kalilie kwenu kwa mtu anayeijua real forex huwezi kumletea hizo lame excuse
 
Kusema forex ni gambling inaonyesha jinsi usivyo na uelewa kuhusu forex trading.
Kusema forex ni get rich quick scheme inaonyesha jinsi usivyo na uelewa kuhusu forex trading.
Wengi mnaijulia forex kwa kuhadithiwa au kwa kusoma articles kwa vidampa ambao ni online writing freelancer hawana ujuzi wala hawajawahi kutrade wanatafuta tu contents za kunasa vidampa wengine.
Tembelea fxstreet, myfxbook, bloomberg ukutane na Professional Traders uone wanavyoizongumzia forex ndo utajua hujui.
This is something Proffessional na wengi ukiwasikiliza utasikia I have been trading forex for 7, 10, 15 years we una muamini mtu ambaye kaielewa demo ana maneno ya kukushawishi unaingia kingi afu unakuja hapa kulialia hapa kalilie kwenu kwa mtu anayeijua real forex huwezi kumletea hizo lame excu
Speculation is the most uniformly fascinated game. But it isn't the game of inferior mental balance, mentally lazy and get quick rich adventurers.
They will die poor.
 
Sio shida ndo maana nilifeli kiswahili nikafauli math
Mimi sikukejeli wala siyo kama najua sana. Tatizo la kutokuwa makini kuandika maneno rahisi kama hayo ni just a tip of iceburg kuwa kwenye mambo muhimu hutakuwa makini. Kurahisisha mambo namna hii kunai-cost Tanzania na watanzania, fedha na muda. Nilikwenda kuchukuwa cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nikakuta watu wengi wanalalamikia makosa madogo kama haya. Mimi cheti cha mwanangu jina limeandikwa Malia badala ya Maria. Tafakari na jitahidi kujifunza na siyo kubishana.
 
Back
Top Bottom