Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
milioni 96 tuh ndio anakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Biashara ya genge. Inalipa kichizDamn what a reply!
Hannah do you do any kind of investment? I mean digital investment
Mtu akishakwambia nipe hela yako afu utapata faida kiasi fulani kimbia sana
Unajua hili tatizo la r na l watu kutoka nyanda za juu kusini kwatu limekita mizizi na samaki mkunje bado akiwa mbichiMimi sikukejeli wala siyo kama najua sana. Tatizo la kutokuwa makini kuandika maneno rahisi kama hayo ni just a tip of iceburg kuwa kwenye mambo muhimu hutakuwa makini. Kurahisisha mambo namna hii kunai-cost Tanzania na watanzania, fedha na muda. Nilikwenda kuchukuwa cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nikakuta watu wengi wanalalamikia makosa madogo kama haya. Mimi cheti cha mwanangu jina limeandikwa Malia badala ya Maria. Tafakari na jitahidi kujifunza na siyo kubishana.
Uyu mwamba uvimbaji wake unashawishi.Kumbe ndo huyu Ontario wa South Africa?
View attachment 2593946
Yes. Biashara ya genge. Inalipa kichiz
Hahahaha eti anasema shule ndio mkombozi watu wasome waendelee kusubiri ajiraUshauri huu unatolewa nchi ya kimasikini kama Tanzania.
Juta kuzaliwa Tanzania juta kuzaliwa Afrika
Hata ukijuta haibadilishi ww kuwa mu-afrika/mtz.Ushauri huu unatolewa nchi ya kimasikini kama Tanzania.
Juta kuzaliwa Tanzania juta kuzaliwa Afrika
Ukute wanauza misokotoMwanzo mimi nilikuwa mbishi sana kuhusu Forex sana. Tena nadhani hadi nyuzi za kumnanga ontario nilikuwa nachangia kumnanga kisawasawa.
Ila akili ilikuja kubadilika wapi? Kuna watu ambao nawajua, na sijawajulia mitandaoni nawajua ni kama familia ya karibu. Wamemaliza chuo hamna ajira wakajifuza na bado wanajifunza ila wanaendesha maisha yao kwa hiyo hiyo forex hawana kazi nyingine.
Na ninavyokwambia hauwezi kuwakuta mtandaoni wanaandika chochote kuhusu forex. Hawafundishi wao ni kusoma na kutrade tu. Sio matajiri ila wanaendesha maisha yao. Wanalipa kodi na wanakula na wanavaa siku zinaenda.
Hawa ndio wamenibadilisha mtazamo niliokuwa nao juu ya forex.
💯🤝Mtu akishakwambia nipe hela yako afu utapata faida kiasi fulani kimbia sana
💯🤝Wajinga waliwao
Safi sana dogo kwa kuwanyoosha
Ova
Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course moja tulio soma BAF inaitwa international trade ndani yake kuna forex, so haikuwa ngumu kwangu haikuwa ngumu sana kuelewana na ONTARIO.
Moja ya mifano aliyoitajija Ontario ni kijana huyu sandile shezi kutika south africa nikamfuatilia sana, nikaona interview zake alivyo acha chuo nakujiunga na forex na kutoboa kichwani mwangu moto uliwaka zaidi nikaona maisha si haya naenda kuyapatia
Nikajikita kusoma na kufungua demo account kama njia ya kujifunza pia nikawa mdau sana wakusoma vitabu vya kiyosaki, trump n.k hivi na soma hadi leo. Nikajiunga na magroup ya whatsapp na telegram nikawa member wa Ontario si unajua tena pesa ndugu zangu. Sikuwai kufungua real account cos nilikuwa na maisha yakuunga unga sana baada ya kumaliza chuo nikaona ngoja nijipe muda, nikaanza kuona wadau wanaanza kulia kuhusu Ontario kengere ikagonga kichwani nikabidi niwe ndugu mtazamaji tu. Nikaja jifunza kwa Robert kiyosaki usingie kwenye biashara ambayo hauwezi ku-control mtaji wako hasa forex hata kama biashara ina uhalisia ukiona hauwezi control capital tako achana nayo kupoteza ni dakika sifuli toka hapo nikapiga chini.
Sasa kijana huyu kutoka south anatafutwa na polisi na inasemakana ameitelekiza familia yake na hajulikani alipo na amekimbia na pesa za watu.
Ndugu zangu wana chuo hakuna pesa ya haraka haraka maisha ni mapambano leo ni mwaka sita toka nimalize chuo hata tobo bado sijalipata na BAF yangu, sio kwamba kichwani ni mweupe kwenye caree yangu najua sana cos huwa na zifungia kampuni binafsi mahesabu na kuwasaidi kwenye masula ya kodi TRA
NOTE: Vijana someni someni shule ndo mkombozi achana na forex japokuwa ni biashara halali ila usijingize kuendesha maisha yako itakuletea matatizo , muda unatumia kujifunza forex kajifunze kutengeza bajaji/ pikipiki na carpenter huku unasubilia ajira kutoka kwa government