Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Trading haiwi rahisi sababu watu wanaofanya ni wachache au wengi .
Ugumu wa soko uko tangu kitambo.
Ukitazama macro chart ya currency(chart ya miaka zaidi ya arobaini) mfano EURUSD au GBPJPY utaelewa kwamba market hakuna wakati imewahi kuwa nyepesi na kamwe haitakuja wakati ikawa rahisi asilimia za wanaofanikiwa na wanashindwa zitaendelea kuwa hivyo hivyo miaka nenda rudi sababu asilimia kubwa ya watu hawana ufahamu au saikolojia,bidii itayopelekea wanaofanikiwa wawe wengi kuliko wanaoshindwa.
Sadaka ya kuwa winner ktk hii biz hailezeki ,pia inahitaji uwe umejaaliwa tu ufahamu wa kuweza elewa hiyo biz.Kuna watu wengine hawawezi wakaja kufanikiwa hata wafanye Kwa miaka 20 au zaidi.
Si kila mtu anaweza kufanikiwa ktk biashara fulani.Mfano si kila mmoja atakayelima vitunguu anaweza fanikiwa,si kila atayefuga kuku atafanikiwa .Mafanikio yanaenda na jitihada ,kujifunza ktk makosa na pia kujaaliwa
Asikudanganye mtu.. Ni bora betting kuliko forex.... Hiyo forex ni zaidi ya izo candlestick mnazojisomea... NDIO MANA WOTE WANAOJIITA PROFESSIONAL TRADERS WANANGANGANIA KUFUNDISHA WATU.
Rate ya wanaopoteza ni kubwa huo ni ukweli mchungu na utaendelea kuwa hivyo.Hakuna anayesema ni rahisi tatizo failure rate is so high, at 95% it's alarming. Huwezi sema watu wote hao hawajui wanachokifanya.
Hilo swali lilikuwa na maana yake kiufupi ww ni motivation speakerHapana bado
Tanzania hii hii? Mwenzetu ulianza grade 1 ukiwa na umri gani kwenye taifa la kikapuku ambalo wengi wanamaliza Degree zao za kwanza wakiwa na miaka kuanzia 24.Kuanza darasa la kwanza hadi na maliza chuo ni miaka 17 sijui mtaani kukoje.
Kaanzia chini mpaka kwenye utajili hayupoHakuna mkamaria Tajiri.
Kwangu mimi bora kuandika english kuliko kiswahili inafika sehemu nashidwa kujua hapa niandike r au lNajua kabisa lipo. Ila linakuwa kwenye matamshi na siyo kuandika. Mimi nikisikia mtu ana hili tatizo kwenye matamshi wala simlaumu kwani hata mimi lugha mama yangu kuna maneno ya kiswahili kuyatamka ni changamoto. Ila ndugu yangu kwenye kuandika huwa tunajifunza shule. Hata kiingereza kuna watu kama wahindi wana matamshi mabovu sana lakini hawaandiki maneno ya kiingereza tofauti.
na ndivyo inavyotakiwa,...loss nyingi kuliko profit,.ila unatakiwa bado uwe kwenye profit....kama bado unatrade,..soma kitu kinaitwa RISK TO REWARD RATIO....hii chin ni yangu kwenye competitionLoss ni nyingi Sana kuliko profits
Kama uliweza kujifunza maneno ya kiingereza bila shaka hata kiswahili utaweza. Na kuna uwezekano mkubwa ulipoanza kujifunza kuandika ulifundishwa na mwalimu kilaza ambaye alikuwa anafanya makosa kama hayo. Hii ni kwa sababu mtoto anapoonza chekechea ukiweza kumkazania kuandika maneno kwa usahihi ukubwani hatasahau katu. Mimi nilipokuwa chekechea na darasa la kwanza mpaka la tatu kuandika maneno kwa usahihi ilikuwa inatiliwa mkazo sana sana. Kosa kwenye spelling lilikuwa linaweza kukupa adhabu na waalim wetu walikuwa wazuri.Kwangu mimi bora kuandika english kuliko kiswahili inafika sehemu nashidwa kujua hapa niandike r au l
Umeshapiga million ngapi huko Forex [emoji3]
Hilo swali lilikuwa na maana yake kiufupi ww ni motivation speaker
Wewe no trader nini?Forex haitaki vilaza. Ukiwa kilaza, vilaza waliochangamka watakutumia kama fursa yao ya kutoboa kimaisha.
Forex inataka watu wenye akili. Na watu wanaojishughulisha kwa bidii. Inataka watu ambao watalala masaa yasiozidi matano. Inataka watu ambao wataachana na mambo ya kufuatilia umbea, kuangalia tamthilia na vitu vyote ambavyo sio muhimu na huo muda autumie kwenye hiyo biashara ya forex.
Sasa mtu genge tu unashindwa kuliendesha mtaji unakufa halafu unataka ufanye forex?
Masaa yote upo insta umbea, ukitoka unaingia tiktok, ukitoka unakuja Jf ukimaliza hapo unaenda whatsap kupost memes halafu ukishachoka ndio unaenda sasa kuangalia
Candlesticks?
Sounds like winga wa phantomMfano mimi na girlfriend wangu tulikopa 250k USD September 2022. Tukanunua Fantom crypto ambapo wakati huo ilikuwa 0.15 usd tukapata fantoms karibu 1 million usd. February mwaka huu fantom ilipanda hadi 0.65 tukapata faida ya 294 k usd.
Sasa fikiria uwekeze Sijui dollar 500, 1000 hata elfu tano tu unarisk. Ndo maana kina kajamba nani wanalia.
Crypto inalipa ukiwekeza hela nyingi sana.
Ila jamii ya black Americans crypto imewafelisha sana.
Na uhakika hadi mwezi wa nane fantom itaenda juu ya 1$.
Mkuu wanasema ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze, ungekuwa at least ushafanya hii business at least miaka kuanzia miwili ungekuwa na haki ya kuita wenzako vilaza ila Kwa Sasa unaona ni rahisi Kwa kuangalia motivational speakers wa forex hao wa mitandaoniWala mimi si trade forex. Ila nikiacha kupenda kufuatilia mambo ya umbea na mambo yasio ya maana naweza nika invest huo muda kwenye forex.
Ila nawajua watu ambao wanafanya vizuri kwenye forex ukiachana na hao noisemakers wa mitandaoni na hao ndio wanani inspire nione inawezekana.
Hakuna kitu kigumu kutibu kama kujidanganya na kujipa faraja wakati ukweli unaujua. Hili ni janga la vijana wengi sana siku hizi. Ni hilo tu mkuu jichanganye na watu mbali mbali utaamka kwenye ndoto iliyonayo.Wala mimi si trade forex. Ila nikiacha kupenda kufuatilia mambo ya umbea na mambo yasio ya maana naweza nika invest huo muda kwenye forex.
Ila nawajua watu ambao wanafanya vizuri kwenye forex ukiachana na hao noisemakers wa mitandaoni na hao ndio wanani inspire nione inawezekana.
Unavyoongea nafurahi mno Mana naiona kabisa mind yako Tena Ile subconscious one kilichofanya ukaandika , beliefs are very dangerous and very Goldy thing. Life or everything is about your mindset, perception, beliefs,your expectations,how you think,how your attitude.keep going on with what you believe. Two men ,one says impossible and another says possible, they're two equally both right.Mkuu hawawez elewa... Na nilichogundua wanasema hakuna anaeweza endesha market... Kumbe big sharks wanaweza amua market iende vipi (tofauti na study za candlestick na news) na hapo mtu aliejisomea candlestick lazima ale za uso
Listen inatakiwa wengi wafeli ili wachache wafaidike ama hujui pyramid of food chains,tax payers wanalisha wanasiasa wachache,waumini wanalisha pastors,padri wachache,wajinga wengi wanalisha wajanja wachache,nyumbu alfu kumi Ni chakula Cha familia moja ama mbili za chui,cheetah,lion,puma, crocodile, leopard, eagle,ama huoni kuwa waliowao ndio wengi mno kuliko wanaokula mkuu wewe upo dunia gani hebu fungua ubongo Basi uione dunia.Hakuna anayesema ni rahisi tatizo failure rate is so high, at 95% it's alarming. Huwezi sema watu wote hao hawajui wanachokifanya.
Listen inatakiwa wengi wafeli ili wachache wafaidike ama hujui pyramid of food chains,tax payers wanalisha wanasiasa wachache,waumini wanalisha pastors,padri wachache,wajinga wengi wanalisha wajanja wachache,nyumbu alfu kumi Ni chakula Cha familia moja ama mbili za chui,cheetah,lion,puma, crocodile, leopard, eagle,ama huoni kuwa waliowao ndio wengi mno kuliko wanaokula mkuu wewe upo dunia gani hebu fungua ubongo Basi uione dunia.
Hata matajiri like mo watanzania ama masikini ndio wamlishao kwa kununua bidhaa zake,kufanya kazi viwandani mwake kwa ujira wa 3500 kwa siku mkuu,yaani unazlisha 100 unalipwa sh 1 ndio kanuni ya maisha.
Majuzi Marian girls wamechangisha watu hela ili boys ijengwe so wanazidi kukamua watu hela na huku shule zao Zina Ada kubwa mno. Kumbuka mnajichanga Ila ukipelea Ada tu mwanao anarudishwa unajua kuwa watawa hawana utani kwenye shule zao ama hospital zao. Yaani wanakupa neno wao kwako wanachukua kitu tangible mkuu wewe unapewa intangible.yaani dunia watu wapo like kondoo yaani wanaliwa sema hawajijui ,Mara unatunziwa pension mbona Hawa wabunge hawatunziwi sema masikini wenye payroll zao ndio watunziwao pensions na yenyewe unapewa kidogo kdogo Kama serikali yako inakupenda si ingejenga nyumba ama biashara fulani sawa na hela zako za pension biashara inakuwa wewe unafanya kazi unakuja kumaliza umeshalipa hela pension yako sawa na mtaji waliokupatia serikali.
Fekio ng'ombe shit
Have you ever talked with everybody? Ama EGO iko kazini? Ama mie Ni kilaza unaongea naye uelewe am nothing.Everybody knows that