Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

Ila hapa duniani hakuna fani tamu Kama trading. Ni fani ngumu katika fani zote zinazojulikana kwa binadamu Ila Sasa ukishaijua Ni tamu mno na unameki hela upo hata uchi kabisa na unapapaswa na titii laini linakumasaje.
Hakuna kufokeana na bosi,waajiriwa ,wateja,yaani Hakuna anayekuuliza ,you get wild freedom only dreamt by wannabe traders.

Unadhani kumeki mane easy inakuja kirahisi.

Ni ngumu sio kwa kikabila,ki race,kihadhi wote wanapigwa za uso live kabisa
 
Trading haiwi rahisi sababu watu wanaofanya ni wachache au wengi .
Ugumu wa soko uko tangu kitambo.

Ukitazama macro chart ya currency(chart ya miaka zaidi ya arobaini) mfano EURUSD au GBPJPY utaelewa kwamba market hakuna wakati imewahi kuwa nyepesi na kamwe haitakuja wakati ikawa rahisi asilimia za wanaofanikiwa na wanashindwa zitaendelea kuwa hivyo hivyo miaka nenda rudi sababu asilimia kubwa ya watu hawana ufahamu au saikolojia,bidii itayopelekea wanaofanikiwa wawe wengi kuliko wanaoshindwa.

Sadaka ya kuwa winner ktk hii biz hailezeki ,pia inahitaji uwe umejaaliwa tu ufahamu wa kuweza elewa hiyo biz.Kuna watu wengine hawawezi wakaja kufanikiwa hata wafanye Kwa miaka 20 au zaidi.

Si kila mtu anaweza kufanikiwa ktk biashara fulani.Mfano si kila mmoja atakayelima vitunguu anaweza fanikiwa,si kila atayefuga kuku atafanikiwa .Mafanikio yanaenda na jitihada ,kujifunza ktk makosa na pia kujaaliwa

Hakuna anayesema ni rahisi tatizo failure rate is so high, at 95% it's alarming. Huwezi sema watu wote hao hawajui wanachokifanya.
 
Asikudanganye mtu.. Ni bora betting kuliko forex.... Hiyo forex ni zaidi ya izo candlestick mnazojisomea... NDIO MANA WOTE WANAOJIITA PROFESSIONAL TRADERS WANANGANGANIA KUFUNDISHA WATU.

Exactly.
 
Hakuna anayesema ni rahisi tatizo failure rate is so high, at 95% it's alarming. Huwezi sema watu wote hao hawajui wanachokifanya.
Rate ya wanaopoteza ni kubwa huo ni ukweli mchungu na utaendelea kuwa hivyo.

Binafsi siwezi mshauri mtu asifanye au afanye Ila ajipime yeye mwenyewe je ni aina ya biz anayoona itamfaa.

Je Yuko tayari kujifunza mwenyewe kupitia soko bila kuwategemea hao wanaojiita mentors.

Je anapenda na anaamini anaweza fanya jitihada ya kufanya awe ktk hao asilimia 5 winners.

Vitu vya kufanya duniani viko vingi so mtu anaweza chagua kufanya chochote anachopenda na kukiamini.

Tatizo watu wengi wanaoingia kufanya Forex huwa wanakuwa na mihemko ya kudhani Forex ndio njia ya rahisi ya kupata utajiri
 
Kuanza darasa la kwanza hadi na maliza chuo ni miaka 17 sijui mtaani kukoje.
Tanzania hii hii? Mwenzetu ulianza grade 1 ukiwa na umri gani kwenye taifa la kikapuku ambalo wengi wanamaliza Degree zao za kwanza wakiwa na miaka kuanzia 24.
 
Najua kabisa lipo. Ila linakuwa kwenye matamshi na siyo kuandika. Mimi nikisikia mtu ana hili tatizo kwenye matamshi wala simlaumu kwani hata mimi lugha mama yangu kuna maneno ya kiswahili kuyatamka ni changamoto. Ila ndugu yangu kwenye kuandika huwa tunajifunza shule. Hata kiingereza kuna watu kama wahindi wana matamshi mabovu sana lakini hawaandiki maneno ya kiingereza tofauti.
Kwangu mimi bora kuandika english kuliko kiswahili inafika sehemu nashidwa kujua hapa niandike r au l
 
Loss ni nyingi Sana kuliko profits
na ndivyo inavyotakiwa,...loss nyingi kuliko profit,.ila unatakiwa bado uwe kwenye profit....kama bado unatrade,..soma kitu kinaitwa RISK TO REWARD RATIO....hii chin ni yangu kwenye competition
 
Attachments

  • Screenshot_20230422-071457.png
    Screenshot_20230422-071457.png
    20.8 KB · Views: 20
Kwangu mimi bora kuandika english kuliko kiswahili inafika sehemu nashidwa kujua hapa niandike r au l
Kama uliweza kujifunza maneno ya kiingereza bila shaka hata kiswahili utaweza. Na kuna uwezekano mkubwa ulipoanza kujifunza kuandika ulifundishwa na mwalimu kilaza ambaye alikuwa anafanya makosa kama hayo. Hii ni kwa sababu mtoto anapoonza chekechea ukiweza kumkazania kuandika maneno kwa usahihi ukubwani hatasahau katu. Mimi nilipokuwa chekechea na darasa la kwanza mpaka la tatu kuandika maneno kwa usahihi ilikuwa inatiliwa mkazo sana sana. Kosa kwenye spelling lilikuwa linaweza kukupa adhabu na waalim wetu walikuwa wazuri.
 
Forex haitaki vilaza. Ukiwa kilaza, vilaza waliochangamka watakutumia kama fursa yao ya kutoboa kimaisha.

Forex inataka watu wenye akili. Na watu wanaojishughulisha kwa bidii. Inataka watu ambao watalala masaa yasiozidi matano. Inataka watu ambao wataachana na mambo ya kufuatilia umbea, kuangalia tamthilia na vitu vyote ambavyo sio muhimu na huo muda autumie kwenye hiyo biashara ya forex.

Sasa mtu genge tu unashindwa kuliendesha mtaji unakufa halafu unataka ufanye forex?

Masaa yote upo insta umbea, ukitoka unaingia tiktok, ukitoka unakuja Jf ukimaliza hapo unaenda whatsap kupost memes halafu ukishachoka ndio unaenda sasa kuangalia
Candlesticks?
Wewe no trader nini?
Umepiga mulemule
 
Mfano mimi na girlfriend wangu tulikopa 250k USD September 2022. Tukanunua Fantom crypto ambapo wakati huo ilikuwa 0.15 usd tukapata fantoms karibu 1 million usd. February mwaka huu fantom ilipanda hadi 0.65 tukapata faida ya 294 k usd.

Sasa fikiria uwekeze Sijui dollar 500, 1000 hata elfu tano tu unarisk. Ndo maana kina kajamba nani wanalia.

Crypto inalipa ukiwekeza hela nyingi sana.

Ila jamii ya black Americans crypto imewafelisha sana.

Na uhakika hadi mwezi wa nane fantom itaenda juu ya 1$.
Sounds like winga wa phantom
 
Wala mimi si trade forex. Ila nikiacha kupenda kufuatilia mambo ya umbea na mambo yasio ya maana naweza nika invest huo muda kwenye forex.

Ila nawajua watu ambao wanafanya vizuri kwenye forex ukiachana na hao noisemakers wa mitandaoni na hao ndio wanani inspire nione inawezekana.
Mkuu wanasema ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze, ungekuwa at least ushafanya hii business at least miaka kuanzia miwili ungekuwa na haki ya kuita wenzako vilaza ila Kwa Sasa unaona ni rahisi Kwa kuangalia motivational speakers wa forex hao wa mitandaoni
 
Wala mimi si trade forex. Ila nikiacha kupenda kufuatilia mambo ya umbea na mambo yasio ya maana naweza nika invest huo muda kwenye forex.

Ila nawajua watu ambao wanafanya vizuri kwenye forex ukiachana na hao noisemakers wa mitandaoni na hao ndio wanani inspire nione inawezekana.
Hakuna kitu kigumu kutibu kama kujidanganya na kujipa faraja wakati ukweli unaujua. Hili ni janga la vijana wengi sana siku hizi. Ni hilo tu mkuu jichanganye na watu mbali mbali utaamka kwenye ndoto iliyonayo.
 
Mkuu hawawez elewa... Na nilichogundua wanasema hakuna anaeweza endesha market... Kumbe big sharks wanaweza amua market iende vipi (tofauti na study za candlestick na news) na hapo mtu aliejisomea candlestick lazima ale za uso
Unavyoongea nafurahi mno Mana naiona kabisa mind yako Tena Ile subconscious one kilichofanya ukaandika , beliefs are very dangerous and very Goldy thing. Life or everything is about your mindset, perception, beliefs,your expectations,how you think,how your attitude.keep going on with what you believe. Two men ,one says impossible and another says possible, they're two equally both right.

The one who failed to do it shouldn't interfere those who're doing it. Huyu demu Ni Malaya mwenzako anaoa anatengeneza amaizing family.
"My son be careful with your thoughts because your life is highly shaped according to how you're thinking by Solomon proverbs.
Imani yako imekuponya by Jesus Christ na sio yeye Wala baba wa mbinguni watu aliowaponya it was all about their own faith
 
Hakuna anayesema ni rahisi tatizo failure rate is so high, at 95% it's alarming. Huwezi sema watu wote hao hawajui wanachokifanya.
Listen inatakiwa wengi wafeli ili wachache wafaidike ama hujui pyramid of food chains,tax payers wanalisha wanasiasa wachache,waumini wanalisha pastors,padri wachache,wajinga wengi wanalisha wajanja wachache,nyumbu alfu kumi Ni chakula Cha familia moja ama mbili za chui,cheetah,lion,puma, crocodile, leopard, eagle,ama huoni kuwa waliowao ndio wengi mno kuliko wanaokula mkuu wewe upo dunia gani hebu fungua ubongo Basi uione dunia.

Hata matajiri like mo watanzania ama masikini ndio wamlishao kwa kununua bidhaa zake,kufanya kazi viwandani mwake kwa ujira wa 3500 kwa siku mkuu,yaani unazlisha 100 unalipwa sh 1 ndio kanuni ya maisha.
Majuzi Marian girls wamechangisha watu hela ili boys ijengwe so wanazidi kukamua watu hela na huku shule zao Zina Ada kubwa mno. Kumbuka mnajichanga Ila ukipelea Ada tu mwanao anarudishwa unajua kuwa watawa hawana utani kwenye shule zao ama hospital zao. Yaani wanakupa neno wao kwako wanachukua kitu tangible mkuu wewe unapewa intangible.yaani dunia watu wapo like kondoo yaani wanaliwa sema hawajijui ,Mara unatunziwa pension mbona Hawa wabunge hawatunziwi sema masikini wenye payroll zao ndio watunziwao pensions na yenyewe unapewa kidogo kdogo Kama serikali yako inakupenda si ingejenga nyumba ama biashara fulani sawa na hela zako za pension biashara inakuwa wewe unafanya kazi unakuja kumaliza umeshalipa hela pension yako sawa na mtaji waliokupatia serikali.

Fekio ng'ombe shit
 
Everybody knows that. Kila mtu anajua what they get into wanapoingia kwenye hizo biashara ulizozitaja. Tatizo ni pale ambapo forex inatangaza jambo moja kumbe na yenyewe ni wale wale.
 
Back
Top Bottom