Kwani kasema uongo?Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Basi zisemee na wewe.Amesahau vifo vya uchaguzi wa 2000 Zanzibar? Au damu za Wazanzibari hazina thamani?
Mnajifanya hamna akili au mnafikiri wote hawana akili kama nyie, mnaharibu nchi wapuuzi kama weweYeye Huyo father ameshuhudia vifo vingapi na amezika watu wangapi?
Chaguzi zote ukiacha za mwalimu hakuna hata moja isiyokuwa na dosari za kuibwa kura.
Acheni chuki binafsi walioshindwa 2020 walishindwa kama wagombea wengine kura zao hazikutosha wagombee 2025 mbona nafasi zote zipo wazi hata ya Urais
Alete evidence kuwa tulikuwa na vifo vingapi na chaguzi nyingine zilikuwa na vifo vingapi.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita, mazingira ya siasa Tanzania yameharibiwa kiasi cha kutoweza tena kuwa mfano wa nchi nyingine kuja kujifunza demokrasia nchini Tanzania.
Amekosoa suala la kuwa na wabunge wengi kupita bila kupingwa kwa wakati huu. Akiitaja hiyo kuwa ni sababu ya vijana wengi kutojihusisha na masuala ya siasa ikiwemo kupiga kura. Hivyo halihuwa ni mbaya na kupata viongozi wasiostahiki.
Aeyasema hayo katika kikao cha TCD ambacho pia amekikosoa kuwa hakuna haja ya maridhiano kwa kuwa hakuna waliokoseana. Hivyo ni jukumu la nchi kuweka mipango ya kusonga mbele na sio kuwa na maridhiano kwa sasa.
Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Weka clip inayonekana akisifia, siku zote niliona akipinga jpmFather Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Yaan afukuzwe kwa vile kasema ukweli, siku wakiitwa wenye akili nyingi usikose kwenda.Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
Unaposoma comments hakikisha uko sober, ameandika "aliyewahi kuwa".Amka usingizini, Kitima sio tena VC wa Saut
Labda amebaini ya kuwa alikengeuka, si vibaya mtu kujirudi na kufuata njia iliyo sahihi.Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Sasa kama ziliminywa yeye kazipata wapi? wakati wa uchaguzi watu tulikuwa jamii form, Facebook,iliyofungwa ni tweet tu,nayo watu walikuwa wanaingia kupitia VPN,hatukuona taarifa zozote za vifo,sanasana karatasi za bandia,binadamu sio Kama mende eti watu wengi wafe vyombo vya habari visijue, BBC na Dw vyombo vya kimataifa vilikuwepo hatukuona vikizuiwa kutoa tarifa,au kufungiwa,huyo Padre wenu alikuwa na chuki na Magufuri tu.
Imekuchoma eenh?Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
Huna taarifa sahihi. U uvccm umepofusha akili zako.Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Kwa hiyo ,ugaidi ulikuwepo? Mbona si muelewi Padri?Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Zanzibar uko Karume alizamisha watu kwenye mashua wengine wakapigwa risasi na jeshi. Lakini watakwambia nchi hii hakujawai tokea mauaji kama kipindi cha Magufuli.
Kwani 2020 kulikuwa na UCHAGUZI au kulikuwa maigizo ya uchaguzi??
Unafanya mchezo na dikteta yule? Si unamuona Father Kitima anavyoleta unafiki hapo? Sasa twala asali.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Kusema ukweli ni chuki? Au unatamani angeyasema unayo yapenda kiyasikia?, kwani unadhan 2020 ulikuwepo wewe peke yako tu tanzania na wengine hawakuwepo wala hawakuona kilicho tokea?Yeye Huyo father ameshuhudia vifo vingapi na amezika watu wangapi?
Chaguzi zote ukiacha za mwalimu hakuna hata moja isiyokuwa na dosari za kuibwa kura.
Acheni chuki binafsi walioshindwa 2020 walishindwa kama wagombea wengine kura zao hazikutosha wagombee 2025 mbona nafasi zote zipo wazi hata ya Urais