Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

Hao watoto wasiruhusiwe press yoyote kwa sasa, maana mpaka hapo wameonesha bado akili haijatulia!

Kawaida, Kwa Mungu kila kitu kimepangwa kwenye maisha yetu, sasa huwezi kusema eti Rais Aweza kurefusha uhai wa mtu ambao Mwanadamu amepewa na Mungu kama dhamana tu

Ni kufuru,

Wasiruhusiwe kuongelea chochote kumhusu baba yao
 
Stahiki za mstaafu na aliyeacha kazi zikoje?

Aliyewahi kuwa PM na PM mstaafu zinapaswa kuwa na maana mbili tofauti.

Nadhani sababu ya watu kutokuwa na uwajibikaji wa KUJIUZULU, ni kwasababu, nadhani unapaswa kukosa stahiki zako zote!
 
Kijan huyu wa mzee huwa hajui kuongea Wala kutoa hotuba Yuko na kauoga oga hv

Makonda kamekuja kwenye msiba akatoa dharau zake na hkn hatua amechukuwa

Leo ten bila chembe ya aibu anasema Kama siyo samia baba angefariiki siku nyingi hi Ni speech gani mbovu hvyo

Mm huwa simuelewi kbsaa Kbsa huyu bwna
 
[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stahiki za mstaafu na aliyeacha kazi zikoje?

Aliyewahi kuwa PM na PM mstaafu zinapaswa kuwa na maana mbili tofauti.

Nadhani sababu ya watu kutokuwa na uwajibikaji wa KUJIUZULU, ni kwasababu, nadhani unapaswa kukosa stahiki zako zote!
Alfu kuna mswada wa kuwatunza wake wa viongozi Hadi wanakufa

Na imepitushwaa wake watakula maisha Hadi kabutinu na kuzikwa kitaifa pindi waitwavyo
 

Siasa za kijinga za kuendekeza uchawa Hadi zinakera. Kwa sasa kihudhuria misiba ya wanaccm ni kwenda kusikiliza kinyaa tupu. Utasikia rais anatajwa kwa sifa za hadaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…