Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism

Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha

Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.

Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale

Je Lisu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu.Uchaguzi mkuu unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana

Na matajiri wenye pesa wataondoa mitaji na pesa zao Chadema baada ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi

Kwa sasa Chadema hakitakuwa na mvuto tena kwa matajiri
 
Una unagulia maumivu ukiwa wapi?😉😉
 
namshukuru Mungu kwa hayo. pia nimpongeze Freeman Mbowe kwa kuionesha dunia demokrasia. Legacy yake Iko palepale. CHADEMA imara zaidi imekuja.
 
chadema ni chama cha mrengo wa kati acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…