Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameshikwa na butwaa hawaamini matokeo
Hahaha,Wale makada wa ccm waliokuwa wanaanzisha nyuzi humu kila dakika wako wapi? Tlaatlaah Magonjwa Mtambuka Yericko Nyerere Lucas Mashamba n.k View attachment 3209723
Oyah! 😃😃😉Safi sana twende na Lissu!
View attachment 3209690
Farewell !sema una imani nae...nilimpenda sana Lisu, lkn kwa uropokaji huo, sina hamu naye tena. Kwaheri chadema. Let me be free of these rubbish politics
🤣🤣🤣mbona kama wanawaza tutamwambiaje Mbowe?
Una unagulia maumivu ukiwa wapi?😉😉Chadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism
Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha
Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.
Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale
Je Lisu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu.Uchaguzi mkuu unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana
Na matajiri wenye pesa wataondoa mitaji na pesa zao Chadema baada ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi
Kwa sasa Chadema hakitakuwa na mvuto tena kwa matajiri
Kwa nini?Hahaha,
Ongezea hapo ChoiceVariable, Lucas Mwashambwa Joseph Ludovick
Itakuwa wanapita humu kimyakimya baada ya mtu wao kuangukia pua
vipi huko kijani wamepokeaje huu ushindi?hii ni siku ngumu sana sisi wana maridhiano
,Mimi sina bwana maana mimi ni bwana wa mtu. Labda kama wewe una bwana.
Mbowe mwenyewe kashakubaliii 😁🤣🤣🤣mbona kama wanawaza tutamwambiaje Mbowe?
namshukuru Mungu kwa hayo. pia nimpongeze Freeman Mbowe kwa kuionesha dunia demokrasia. Legacy yake Iko palepale. CHADEMA imara zaidi imekuja.Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Sasa ni muda muafaka Mpina kuhamia huku!!! Rais Mahiri atatoka CCM.
Kwamba nyumbu wa Chadomo mlikuwa mnasubiria Lisu awe Mwenyekiti ndio itakuaje Sasa?
Mpina kwa ule muonekano wake pale Dodoma na hii tweet anataka kusemaje hapa?
chadema ni chama cha mrengo wa kati acha ujingaChadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism