Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TL amefanya siasa ngumu sana, kumshinda mwenyekiti wako sio jambo la mchezo mchezo.

Binafsi nimemuona akitafuta kura Ikungi za ubunge 2010, ukimruhusu afanye siasa atakushinda tu hata kama umegawa rushwa kiasi gani. He’s always a go-getter, a doer!

Viva TL!
 
jina lake liandikwe kwa dhahabu, kaleta mabadiliko, kaonesha demokrasia ya kweli
 
Hongera sana Mbowe kwa kuonyesha ukomavu na utulivu katika siasa,, vp team yako ipo tayari kumuunga mkono Lisu!??
 
Naamini mheshimiwa Lisu atatufikisha nchi ya ahadi.
Watanzania tuna imani nae sana.
sema una imani nae...nilimpenda sana Lisu, lkn kwa uropokaji huo, sina hamu naye tena. Kwaheri chadema. Let me be free of these rubbish politics
 
Ni kambi ya Lisu? Kumjua mtu kwa namna/maana gani?

Umehemkwa pia!
 
Nakubaliana na wewe, Lisu hana sifa za kuwa mkuu wa chama, muda utaongea tusubili mihemko ya uchaguzi iishe watu wataujuwa ukweli na watamkumbuka Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…