Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii sasa ndio demokrasia, Chama kimeleta maana, asingekubali matokeo ndo ingekuwa mwisho wa CHADEMA
 
Mbowe kala PESA ya wanetu wa upande wapili now kacheza KAMA Pele hongera mbowe huna baya
MBOWE KAWAPIGA CHENGA KIMASTA, me nlitaka kushaa inawezekana vipi chadema wakatae lissu asiwe mkononi, vile vitu walikuwa wanaandika kina boni na mmm ni kwasababu walichukua fungu toka kwa mboga mboga...
 
Uchaguzi uliosubiriwa na kutabiriwa umemalizika huku jeshi la polisi likirudi kambini kwao na risasi kamili bila maganda kama lilivyotarajia. Huu ni ukurasa mpya ukiipiku dibaji ya juzi ya demokrasia iliyozoeleka ya kupoka kura, fomu moja kura asilimia 99 moja imeharibika!
Waungwana na wasio waungwana watakuwa tayari wamewapongeza washindi.
BAADA YA KUTANGAZWA MATOKEO MVUA NAYO IKAMALIZA JUKUMU LAKE LA KUSAFISHA YALIYOPITA.
 
A new era, katiba mpya ni muhimu. Tutarajie upinzani mkali
 
MBOWE KAWAPIGA CHENGA KIMASTA, me nlitaka kushaa inawezekana vipi chadema wakatae lissu asiwe mkononi, vile vitu walikuwa wanaandika kina boni na mmm ni kwasababu walichukua fungu toka kwa mboga mboga...
Naunga mkono hoja
 
Kwanza tu Kumpongeza mpinzani ni ishara ya ukomavu na ujasiri,kwani Mh.Mbowe umethibitisha kwamba ushindi wa mpinzani wako Mh.Tundu Lissu haujashindwa, bali unapaswa kutambuliwa na kuthaminiwa.Hongera sana
 
Lisu ana nini? masikini a kuchngiwa. Yeriko has nothing to loose!
Tutafaham tu Lissu ana nini, mpaka watu wakaamua kumbwaga Mbowe na kumchagua yeye, acha tuone ana nini.

Kwan na wewe una nini mkuu cha kumzidi Lissu??
 
Back
Top Bottom