tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Na waliompamba sio wajumbe na wala hawapigi kura. Amevuna alichopanda.Tulimuonya wapambe wakamdanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waliompamba sio wajumbe na wala hawapigi kura. Amevuna alichopanda.Tulimuonya wapambe wakamdanganya
MBOWE KAWAPIGA CHENGA KIMASTA, me nlitaka kushaa inawezekana vipi chadema wakatae lissu asiwe mkononi, vile vitu walikuwa wanaandika kina boni na mmm ni kwasababu walichukua fungu toka kwa mboga mboga...Mbowe kala PESA ya wanetu wa upande wapili now kacheza KAMA Pele hongera mbowe huna baya
Hongera san TAl Mungu mwema hangalau naona mwanga wa Taifahasira? Tulieni msije mkalia zaidi kunako uchaguzi mkuu
Sasa angefanyeji? pesa wamempelekea wenyewe kwa ujinga wao.Kawaingiza choo cha watoto mbogamboga Kala pesa zao
Kiendacho kwa mganga hakirudiMbowe rudisha pesa za wale jamaa acha uhuni
Sivyo kabisa,
Hakutakuwa na shida hiyo.
Pamoja na mambo mengine, LEMA aliliongelea hilo vizuri, msikilize hapa....
View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=6zV5p_rsK9C-vusM
Naunga mkono hojaMBOWE KAWAPIGA CHENGA KIMASTA, me nlitaka kushaa inawezekana vipi chadema wakatae lissu asiwe mkononi, vile vitu walikuwa wanaandika kina boni na mmm ni kwasababu walichukua fungu toka kwa mboga mboga...
Wamewajaza mboga mboga kwenye mfumo wakajaa walivyoingia ndani wakampigia kuwa TL technique kali sanaNaunga mkono hoja
umekula vyuma vya nguvu uko hoi ndebendebe. Tafuta mada za kuandika, za siasa umeangukia pua. Pole sana mjuba
Tutafaham tu Lissu ana nini, mpaka watu wakaamua kumbwaga Mbowe na kumchagua yeye, acha tuone ana nini.Lisu ana nini? masikini a kuchngiwa. Yeriko has nothing to loose!
Mbona nipo? Usiwe kama kipofu aileona mwezi🙂Wale makada wa ccm waliokuwa wanaanzisha nyuzi humu kila dakika wako wapi? Tlaatlaah Magonjwa Mtambuka Yericko Nyerere Lucas Mashamba n.k View attachment 3209723
Ahahahah..conversion muhim sana. Nichek kule nijue channel ya kupeleka conversion sasa🤣Usisahau ku convert aiseee 😅😅😜.Mungu akulinde
unamaanisha nini gentleman? Vyuma vinaliwa sio huko kwenu?🐒umekula vyuma vya nguvu uko hoi ndebendebe. Tafuta mada za kuandika, za siasa umeangukia pua. Pole sana mjuba