Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Taja mfumo UPI unataka ,watu 300 kwenye kongamano lakini watu 5000 ruksa waingie uwanjani kutazama mpira

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Yanga na simba walijaa uwanjani na keshokutwa wanajazana tena uwanjani huko kigoma hilo Serikali ya CCM na Polisiccm hawaoni kama ni misongamano
 
Reactions: BAK
kuna mahali mlikosea kulea hii tabia ya kigaidi ikashamiri.
tena walijipenyeza kila mahali bila kujua. wapo ndani ya mfumo wanawatumikia magaidi. Hakikisheni mnasafisha mnyororo wote wa kigaidi.
 
kuna mahali mlikosea kulea hii tabia ya kigaidi ikashamiri. Tena walijipenyeza kila mahali bila kujua. wapo ndani ya mfumo wanawatumikia magaidi. Hakikisheni mnasafisha mnyororo wote wa kigaidi.
 
Ina maana chairman hana ulinzi binafsi? Wanakuja kihuni huni tuu asee!! Pengine angekua mtu mwingine ambae nae akili yake kama yangu tungeongea mengine.
 
Wapuuzi hawaelewi hili. Huyu wa kudemka wiki chache tu kafuta kesi 148 za kubambikiwa na polisiccm. DPP na mahakama. Sasa kaamua kurudi kule kule kwa dhalimu mwendazake ili kuendeleza dhuluma na udhalimu.

Issue kama ya Mbowe ndiyo utaona umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya ambayo haidharauliwi.

😭😭😭😭😭😭 Tanzania yangu inazidi kujipaka mavi kwenye uso wa dunia nani wa kuishauri??
 
Nilisema hapa kuwa the so called Mama ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda, the worst is yet to come.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama bwana Chato. Tena huyu atakuwa lethal kuliko bwana Chato.

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
Jiwe kaidharau korona ikamfanyizia...wote tunajua mbona...
Wewe ni tahadhali gani ulichikuwa ukawa safe mambo mengine kaeni kimya mkiyasikia kifo cha bwana yule ni siri kubwa ! Zaidi ya kuambiwa alikuwa anatatizo la moyo huna mengine unabumbabumba!
 
Unaweza kukuta baba yako na mama yako wapo usisahau na anayekupumulia kisogoni nae akawepo
 
Reactions: Qwy
Hawa Wajinga na police wao hawatafanikiwa kwenye hili
 
Hawa polisi CCM wanatumika kwa mambo ya kijinga sn
 
Mda utafika tu siku binadamu akichoka ndio watakuja kujua kuwa binadamu sio vizuri kumchokoza
 
Reactions: BAK
Tanzania ina matatizo makubwa, katiba mpya ni muhimu kuliko chochote kile kwa sasa kurekebisha haya.

Itakuwa na gharama kubwa ila ni lazima kuna baadhi ya watu wataumia sana for the benefit (future) of this nation.

Vita hii si ndogo hata kidogo, wote walio msitari wa mbele kuwaogoza wananchi wajitoe kimwili na Kiroho.

CCM wanajua fika kwamba ujio wa katiba mpya ndiyo mwisho wa utawala wao - hawatakubali kirahisi.

Ni kazi kubwa na ngumu lakini ni LAZIMA ifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…