900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
GAIDI WA NCHII NI CCMMbowe huyu kumbe ni gaidi nguli,ndo wale wa Kibiti nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GAIDI WA NCHII NI CCMMbowe huyu kumbe ni gaidi nguli,ndo wale wa Kibiti nini?
Yanga na simba walijaa uwanjani na keshokutwa wanajazana tena uwanjani huko kigoma hilo Serikali ya CCM na Polisiccm hawaoni kama ni misongamanoTaja mfumo UPI unataka ,watu 300 kwenye kongamano lakini watu 5000 ruksa waingie uwanjani kutazama mpira
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
😭😭😭😭😭😭 Tanzania yangu inazidi kujipaka mavi kwenye uso wa dunia nani wa kuishauri??
Wewe ni tahadhali gani ulichikuwa ukawa safe mambo mengine kaeni kimya mkiyasikia kifo cha bwana yule ni siri kubwa ! Zaidi ya kuambiwa alikuwa anatatizo la moyo huna mengine unabumbabumba!Jiwe kaidharau korona ikamfanyizia...wote tunajua mbona...
Unaweza kukuta baba yako na mama yako wapo usisahau na anayekupumulia kisogoni nae akawepona tunaomba Jeshi letu la polisi kwa kushirikiana wafanye uchunguzi wa kina na wa kitaalamu bila kufanya makosa wakamatwe wote amabao wapo ktk mtandao wa kuratibu na kupanga matukio ya kigaidi.wasibaki maana hao ni hatari sana kwa usalama wa Ncho yetu
Hawa polisi CCM wanatumika kwa mambo ya kijinga snMbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Mda utafika tu siku binadamu akichoka ndio watakuja kujua kuwa binadamu sio vizuri kumchokozaWapuuzi hawaelewi hili. Huyu wa kudemka wiki chache tu kafuta kesi 148 za kubambikiwa na polisiccm. DPP na mahakama. Sasa kaamua kurudi kule kule kwa dhalimu mwendazake ili kuendeleza dhuluma na udhalimu.
Issue kama ya Mbowe ndiyo utaona umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya ambayo haidharauliwi.
Wameona hapo atatoka na kudai katiba mpyaKipindi kile alituhumiwa anataka kulipua matank ya mafuta kigamboni sijui iliishia wapi....
Utadhani walikuwa hawajui alipoKwamba mlisubiri mpaka kongamano