Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

WEWE JAMAA NI SHETANI ,NA UNA UMALAYA WA KISIASA NDANI MWAKO
 
Failed assassination ya mlinzi wa JPM, maana tundu lissu alitoa info in advance kwamba naye kavuta kumbe jamaa yupo mzima, hakunasa kwenye mtego.



 
Unataka useme Magufuli aliuawa na Mbowe?
 
Inazimwa issue ya tozo na itazimika kweli very soon maana hawataki kuiondoa bora walete hizi mambo watu wadeal na matatizo mengine.
 
Yaani mama kaingia kingi kirahisi sana. Washauri wake wamemuingiza gizani na kumwashia mshumaa anadhani ni mchana. Alisema hachezi ngoma za mitandaoni sasa anacheza live band.

Yaani hili ndio Chadema walikua wanalitafuta hasa. Sasa hivi kila media ni Chadema Chadema. Wanazuia mkutano wa locality moja wanaachia mkutano wa dunia nzima. Ni mwendawazimu tu ndio anaweza kufikiri kuwa Mbowe na watu wake hawakujua kuwa wataishia kukamatwa.
 
Ukweli daima unauma..ingia mtaani tuone.
HATUWEZI KUINGIA MTAANI MAANA ,WEWE NI KAMA MUNGU HUTOKUFA KAMWE WALA KUUGUA KWA KUA UHAI WETU UMEUSHIKIRIA WEWE.NAMI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NINA TANGAZA LAANA JUU YA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO KWA ROHO HII YA KISHETAN
 
HATUWEZI KUINGIA MTAANI MAANA ,WEWE NI KAMA MUNGU HUTOKUFA KAMWE WALA KUUGUA KWA KUA UHAI WETU UMEUSHIKIRIA WEWE.NAMI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NINA TANGAZA LAANA JUU YA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO KWA ROHO HII YA KISHETAN
Mungu hana mtumishi mwendawazimu, Mungu kaagiza mzitii mamlaka zilizopo maana hakuna mamlaka isotoka kwake, nani mtumishi wa Mungu kati yangu mie nilolishika na kulifuata agizo lake na msu.kule ka wewe usoelewa hata nini unafanya?..[emoji57]
 
It seems the incumbent president is not the one in control of the situation in this country and it is apparent that there are hidden forces behind her who are pulling the strings.

It's very easy to believe that these acts of violence against the innocent members of the opposition is what definitely prompted the untimely demise of the departed president.

But surprisingly, the incumbent president has failed to learn from this and she is perpetuating the same vices as her predecessor. I don't think if this will help her achieve anything worth mentioning. Let us wait and see.
 
subirini kwanza,mlikuwa mnavutiwapumzi,mlimchukulia poa sio,hapa Sasa naanza kumuelewa haiwezekani mtu mmoja aanze kuleta tahaluki nchini,mnamchukulia poa Sana.

Hata Kama mtamuita dikteta haiondoi ukweli halisi kuwa wananchi wanaitaka tz ya kuheshimiana na uzalendo.bigup Sana mama,lazima nchi iendelee kukaa kwenye mstari Kama mwanzo.
 
Kuna mzee mmoja nimekutana naye.. yaani ni CCM damu.

Huwa anafurahi sana viongozi au wafuasi wa Chadema wakikamatwa au kufungwa.. Kiufupi hapendi mfumo wa vyama vingi..
Ila leo mwenyewe kasema Polisi wamezidisha chumvi.

Kesi hii ya ugaidi na mauaji ya viongozi italeta vichekesho pale wale watuhumiwa waliopo gerezani kama hawafahamiani na Mbowe au hawajawahi kukutana na Mbowe kabla.

Kesi za kutengeneza wakati mwingine ni ngumu.. Kesi ikifika katikati mnagundua mlisahau kuweka mazingira flani vizuri.. Mnaomba iondolewe kisha mtuhumiwa anadakwa tena.. Mnaweza mkajikuta mnaifuta na kuifungua kesi mara 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…