BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Upumbavu wao ni mtaji mkubwa sana kwa genge la wahuni wa maccm.
Mataga hawataki naelewa vitu vidogo hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga hawataki naelewa vitu vidogo hivi
WEWE JAMAA NI SHETANI ,NA UNA UMALAYA WA KISIASA NDANI MWAKONani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Unataka useme Magufuli aliuawa na Mbowe?Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Kwanini huo mkono mrefu haukumlinda rais wetu hadi akauawa????Serikali ina mkono mrefu unaweza kuona kama hakuna kinachoendelea kumbe mambo fire
Ukweli daima unauma..ingia mtaani tuone.WEWE JAMAA NI SHETANI ,NA UNA UMALAYA WA KISIASA NDANI MWAKO
hii nchi inavutuko sanaKipindi kile alituhumiwa anataka kulipua matank ya mafuta kigamboni sijui iliishia wapi....
HATUWEZI KUINGIA MTAANI MAANA ,WEWE NI KAMA MUNGU HUTOKUFA KAMWE WALA KUUGUA KWA KUA UHAI WETU UMEUSHIKIRIA WEWE.NAMI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NINA TANGAZA LAANA JUU YA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO KWA ROHO HII YA KISHETANUkweli daima unauma..ingia mtaani tuone.
hapo sasa.Kwanini huo mkono mrefu haukumlinda rais wetu hadi akauawa????
Mungu hana mtumishi mwendawazimu, Mungu kaagiza mzitii mamlaka zilizopo maana hakuna mamlaka isotoka kwake, nani mtumishi wa Mungu kati yangu mie nilolishika na kulifuata agizo lake na msu.kule ka wewe usoelewa hata nini unafanya?..[emoji57]HATUWEZI KUINGIA MTAANI MAANA ,WEWE NI KAMA MUNGU HUTOKUFA KAMWE WALA KUUGUA KWA KUA UHAI WETU UMEUSHIKIRIA WEWE.NAMI KAMA MTUMISHI WA MUNGU NINA TANGAZA LAANA JUU YA FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO KWA ROHO HII YA KISHETAN
Sawa Mama SamiahUkishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye....
subirini kwanza,mlikuwa mnavutiwapumzi,mlimchukulia poa sio,hapa Sasa naanza kumuelewa haiwezekani mtu mmoja aanze kuleta tahaluki nchini,mnamchukulia poa Sana.Nchi ilikuwa imeanza kwenda vizuri lakini wajinga wachache kwa masilahi yao badala ya masilahi ya kitaifa wameamua kumshauri mama afanye udikiteta wapate kutimiza lengo lao, mama kuwa makini na washauri wako maana sasa wanaenda kukuharibia sifa zako zote