Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

SiempreSSH....

M/Mungu amlinde ,kumpa nguvu,afya na uhai mrefu mh.SSH ,aaaamin!

HAKUNA NAMNA...
NI LAZIMA KAZI IENDELEE.....
Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?
 
Toka uhuru mwalimu anaimba maadui matatu
Ujinga
Maradhi
Umaskini
Nikajua ujinga umefutika
Kumbe kuna mijitu humu bado mijinga kiasi hiki.
 
Kwa hiyo walikuwa wamepewa kaxi ya kumlinda walishindwa kazi..... Labda waanze kwa kuwawajibisha hao.
 
Unashindwa kuwahoji wakina kikwete na genge lake unaenda kwa mbowe kwa access gani mbowe aliyonayo kuishinda intelligence ya nchi

Basi kama ni hivyo hatuna ulinzi nchi hii

Hata samia atauwawa muda wowote
Pole kwa kushindwa kunielewa
 
Sasa si wameamua? Waandamane basi, tuone. Mikwara butu haisaidii.
 
Kwahyo Lissu ndo alieuzima umeme wa moyo wa magu?
 
Labda wanashindana kuvunja record ya yupi ni worse than the others.
 
Jiulize kwanza ni kwanini SSH hakubaliki kanda ya ziwa baada ya kifo cha JPM?

Hili la mbowe ni katika kujisafisha tu.....
 
Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?
Yuko mbele za HAKI...

Hata mimi nitakwenda....
Hata wewe utakwenda....

KIFO SI ADHABU.....

Kwa kuwa kifo kipo ,basi hakizuii KUILINDA NCHI kiusalama,kiutulivu na amani yake.....

#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiUtulivuWaNchi
 
Kama hizo taarifa ni za kweli. Ahojiwe vizuri aise.😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
Dunia gani? Kwamba ipo dunia ya kuhalalisha uhalifu! Kama ana makosa ya tuhuma hizo hakuna dunia itakayomkumbatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…