Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Toka uhuru mwalimu anaimba maadui matatu
Ujinga
Maradhi
Umaskini
Nikajua ujinga umefutika
Kumbe kuna mijitu humu bado mijinga kiasi hiki.
 
Hii nchi kuna watu vichwa vimejaa kamasi
255687330294_status_2e231f689b744caab2d5133e6f732c93.jpg
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Kwa hiyo walikuwa wamepewa kaxi ya kumlinda walishindwa kazi..... Labda waanze kwa kuwawajibisha hao.
 
Unashindwa kuwahoji wakina kikwete na genge lake unaenda kwa mbowe kwa access gani mbowe aliyonayo kuishinda intelligence ya nchi

Basi kama ni hivyo hatuna ulinzi nchi hii

Hata samia atauwawa muda wowote
Pole kwa kushindwa kunielewa
 
Una uhakika Tanzania inahitaji maandamano? Unadhani siku wakiamua wewe na familia yako mtabaki salama?

Omba sana hawa jamaa waendelee kuandamana nyuma ya keyboard...la sivyo, haya majivuno hamtakua nayo maana ipo siku wataamua na hakutakua na nguvu ya kuwazuia
Sasa si wameamua? Waandamane basi, tuone. Mikwara butu haisaidii.
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Kwahyo Lissu ndo alieuzima umeme wa moyo wa magu?
 
Hahaahahhahaahhahaahah. Sio Magufuli tena?? Ni Samia sasa sio??? Nyinyi watu akili zenu ni fupi.

Mwanzo mlisema Kikwete ndio worst president ever, then mkasema Magufuli is the worst president ever and now Mama Samia???

Tunawaangalia tu hahahahahahah
Labda wanashindana kuvunja record ya yupi ni worse than the others.
 
Jiulize kwanza ni kwanini SSH hakubaliki kanda ya ziwa baada ya kifo cha JPM?

Hili la mbowe ni katika kujisafisha tu.....
 
Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?
Yuko mbele za HAKI...

Hata mimi nitakwenda....
Hata wewe utakwenda....

KIFO SI ADHABU.....

Kwa kuwa kifo kipo ,basi hakizuii KUILINDA NCHI kiusalama,kiutulivu na amani yake.....

#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiUtulivuWaNchi
 
Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
Dunia gani? Kwamba ipo dunia ya kuhalalisha uhalifu! Kama ana makosa ya tuhuma hizo hakuna dunia itakayomkumbatia
 
Back
Top Bottom